Tulonge

May 2012 Blog Posts (120)

P.Square waeleza sababu ya kununua ndege (jet) yao binafsi

Jude Okoye ambaye kaka wa mapacha (Peter and Paul Okoye) wanaounda kundi la mzuki la P.Square amesema sababu ya mapacha hao kununua ndege binafsi ni kuweza kurahisisha kazi zao za kimuzikina kwenda sawa na ratiba yao. Itakuwa ni rahisi kwao kufika haraka maeneo mbali mbali kwa ajili ya kurodi videos zao na kufanya kazi zao nyingine za kimuziki.

Alisema kwa sasa P…

Continue

Added by Tulonge on May 31, 2012 at 23:00 — 5 Comments

Derby: Wazazi waliopoteza watoto 6 kwa ajali ya moto, washukiwa kuwa wao ndiyo chanzo cha moto huo.Petrol yahisiwa kutumika kuwasha moto huo.

Mick na Mairead Philpott(wazazi) ambao kwa sasa ni

watuhumiwa wa mauaji hayo.

Si mbaya mkipata habari hii kwa maelezo ya mdau wa tulonge hapo chini:-

 

"Unakumbuka ile blog uliyo post (…

Continue

Added by Tulonge on May 31, 2012 at 22:00 — 1 Comment

Frank Lampard aachwa kwenye kikosi cha England, nafasi yake kuchukulia na Jordan Henderson

Kiungo wa Chelsea na England Frank Lampard amefeli kuweza kupona majeraha yake ya paja na ameondolewa kwenye kikosi cha England kitakachoshiriki michuano ya Euro 2012 nchini Poland na Ukraine.Lampard, 33, alipata majeraha hayo kwenye mazoezi jana na alipewa taarifa mbaya na jopo la madaktari kufuatia vipimo alivyofanyiwa mapema leo.Kiungo wa Liverpool aliyekuwa na msimu mbovu…

Continue

Added by Tulonge on May 31, 2012 at 22:00 — 1 Comment

WANAUME NI WAONGO WA ASILI

Wanaume wanao "cheat" wanaamini kusema ukweli kuhusiana na cheating zao ni wazo baya sana.

Wanaume hawa hudanganya wake zao, washauri wao, wanaume wenzao, wachungaji wao, wazazi wao, ndugu zao na kila mtu anayopita katika anga zao.

Wanaume hawa hudanganya hadi wanahakikisha uwongo wao wote umeisha na hawana namna tena ya kudanganya ndipo hukubali yaishe.

Hii…

Continue

Added by Tulonge on May 31, 2012 at 22:00 — 1 Comment

Hii ndiyo Barua ya Michael Jackson kwa Mkewe wa zamani (Lisa) ikieleza utata wa afya yake kati ya mwaka 1993 na 1996

Barua ya Michael Jackson aliyoandika kwenda kwa Lisa Marie Presley(his former wife) akilalamika kuhusu tatizo ambalo pengine ndilo lililosababisha kifo cha Mfalme huyo wa Pop Duniani imetua rasmi mezani mwa kampuni ya mnada.

Lisa Marie hakusema kwanini anataka barua hiyo inadiwe, lakini ni dhahiri kwamba Michael alikuwa akisumbuliwa na matatizo ya kukosa usingizi kwa…

Continue

Added by Tulonge on May 30, 2012 at 23:00 — 5 Comments

Dhahabu yagunduliwa huko Kondoa, Dodoma

Mbunge wa viti maalum mkoa wa Dodoma, Bi. Moza Said (katikati), akiangalia maji yaliyochanganywa na udongo wenye dhahabu kwenye machimbo mapya ya Tumbelo wilayani Kondoa leo. wengine ni wachimbaji wadogo wa madini.........

Dhahabu imegunduliwa katika kijiji cha Tumbelo nje kidogo ya mji wa Kondoa, mkoani Dodoma, ambako…

Continue

Added by Tulonge on May 30, 2012 at 22:46 — 4 Comments

Wanafunzi Chuo Kikuu St John's Dodoma wabakwa, walawitiwa

Wanachuo wa Chuo Kikuu cha St. John mjini Dodoma, leo wamegoma kuingia madarasani hadi wawasilishe malalamiko yao kwa Kamanda wa Polisi wa Mkoa, Zelothe Stephen kutokana na kukithiri kwa vitendo vya kupigwa nondo, kuibiwa kadi za benki, kompyuta za mkononi, kulawitiwa na kubakwa.

Hali hiyo ilisababisha wanafunzi kukusanyika huku wakiwa wamebeba mabango mbalimbali…

Continue

Added by Tulonge on May 30, 2012 at 22:30 — 1 Comment

Liberia ex-President Charles Taylor sentenced to 50 years in prison

Charles Taylor has always insisted he is innocent of the charges against him

Last month Taylor was found guilty of aiding and abetting rebels in Sierra Leone during the 1991-2002 civil war.

Special Court for Sierra Leone judges said the sentence reflected his status as head of state at the time and his betrayal of…

Continue

Added by Tulonge on May 30, 2012 at 18:00 — 3 Comments

Man Who Chewed Off Victim's Face Identified (WATCH)The naked man who was fatally shot by Miami Police Saturday as he chewed another man's face has been identified, according to Local 10.

Rudy Eugene, 31, of North Miami Beach was shot multiple times during the grisly assault on the Downtown exit ramp of the busy MacArthur Causeway. The Miami Herald reports he had been arrested 8 times since the age of 16, including… Continue

Added by Tulonge on May 30, 2012 at 8:20 — 1 Comment

Wema Sepetu avishwa pete tena na msanii mwingine

Ni yule yule Wema Sepetu, Miss Tanzania 2006 ambaye aliwahi kuvishwa pete ya uchumba na Msani wa Bongo Fleva Diamond Platinum na baadaye kukorofishana. Sasa Wema amempata msanii mwingine ambaye ni muimbaji wa Machozi Band. Picha zote na www.millardayo.com…

Continue

Added by Tulonge on May 30, 2012 at 7:00 — 17 Comments

Watatu Simba mbioni kwenda Yanga

Jessca Nangawe na Sweetbert Lukonge

KATIKA hali ya kujiimarisha kwa ajili ya msimu wa Ligi Kuu, klabu ya Yanga imepanga kuivamia kambi ya Simba na kusajili wachezaji watatu wa kikosi cha kwanza cha mabingwa hao wapya wa Bara.

Kwa mujibu wa taarifa za ndani za Kamati ya Usajili ya klabu hiyo zilizopatikana jana, zimewataja wachezaji hao kuwa ni beki wa kati, Juma Nyoso, Juma Jabu na kiungo chipukizi Uhuru Selemani.

Habari zaidi zinadai kuwa, Wanajangwani wako tayari kumwaga…

Continue

Added by Tulonge on May 30, 2012 at 1:40 — No Comments

Hali ya utulivu yaanza kurejea katika mji wa Zanzibar

Eneo la Michenzani Roud About lililokuwa kitovu cha ghasia na urushaji wa mabomu ya kutoa machozi kufuatia kuzuka vurugu katika mji wa Zanzibar

Hali ya utulivu imerejea kuwa ya kawaida katika maeneo ya Mwanakwerekwe, Amani, Magogoni na Darajabovu kufuatia jeshi la polisi kutumia mabomu ya kutoa machozi kuwatawanya watu…

Continue

Added by Tulonge on May 30, 2012 at 1:33 — No Comments

RAIS Jakaya Kikwete akiri serikali haiaminiki

RAIS Jakaya Kikwete amekiri kuwa Watanzania wengi wamekosa imani na serikali yake kwa kile alichodai kuwa kimechangiwa na utendaji mbovu wa baadhi ya watumishi.

Kikwete ametamka hayo jana, alipokuwa akifunga semina ya mafunzo kwa wakuu wa mikoa na wilaya iliyokuwa ikifanyika mjini hapa, na kudai kuwa utendaji mbovu wa baadhi ya watendaji wa serikali yake, umewafikisha…

Continue

Added by Tulonge on May 30, 2012 at 1:30 — 3 Comments

Chicago:Mwanamke ashitakiwa kwa kuiba gari la wagonjwa(ambulance)

A woman was charged for allegedly swiping a Chicago Fire Department ambulance late Sunday from St. Bernard Hospital in Englewood, police said.

Cassie Weathersby, 30, of the 1600 block of North Mango Avenue is accused of allegedly taking the emergency vehicle around 10:50 p.m. outside the hospital in the 300 block of West 64th Street, according to Chicago Police News…

Continue

Added by Tulonge on May 30, 2012 at 1:09 — 3 Comments

Alicho andika Mh Zitto Kabwe kupitia Facebook

Added by Tulonge on May 27, 2012 at 23:57 — 12 Comments

Ona maneno ya Mwl Nyerere mwaka 1958 yanavyo husiana na mradi wa kuuzwa kwa ardhi ya Kigamboni Dar.

Hapa ndipo utaamini kuwa Mwl Nyerere alikuwa anauwezo wa kipekee wa kufikiria. Mengi aliyokuwa akiyasema kipindi kile yanatokea sasa. Mambo ya rushwa, kujilimbikizia mali nk aliyapinga sana katika kipindi cha uongozi wake. Kwa sasa mambo hayo yamezidi kwa kasi ya ajabu. Mungu angempa uwezo wa kurudi Duniani nadhani angetoa adhabu ya ajabu kwa viongozi wengi sana wa…

Continue

Added by Tulonge on May 27, 2012 at 23:00 — 13 Comments

Police Kill Naked Man Eating Another Man's Face(Video)MIAMI (CBSMiami) -- Miami police shot and killed a man on the MacArthur Causeway Saturday afternoon, and police sources told CBS4 they had no choice: the naked man they shot was trying to chew the face off another naked man, and refused to obey police orders to stop his grisly meal.The bizarre shooting happened shortly after 2 p.m., when police responded to a 911…

Continue

Added by Tulonge on May 27, 2012 at 22:30 — 2 Comments

Kanisa la Assembles of God Zanzibar pamoja na gari la Askofu vyachomwa moto

Askofu wa Madhehebu ya Kanisa la Tanzania Assemblies of God la Kariakoo, Dickson Kaganga amesema watu wasiojulikana wamechoma moto jengo la Kanisa hilo jana usiku majira ya saa 3.30 usiku na kusababisha hasara kubwa.

Amesema mnamo saa hizo, watu wasiojulikana walivamia Kanisa hilo huku wakitoa lugha chafu zenye kuashiria uvunjifu wa amani, ambapo walinzi wa…

Continue

Added by Tulonge on May 27, 2012 at 21:30 — 4 Comments

Ukraine: Wabunge wachapana makonde Bungeni.A violent scuffle has taken place in the Ukraine parliament building over a bill to allow the use of Russian in public institutions. It's not the first time such scenes have been witnessed in the Kyiv legislature.

The fight broke out on Thursday evening as a debate about the place of the Russian language in the country descended into chaos.

Members of President…

Continue

Added by Tulonge on May 26, 2012 at 1:00 — 4 Comments

Monthly Archives

2014

2013

2012

2011

2010

1999

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*