Tulonge

May 2013 Blog Posts (126)

Binti ajirusha toka gorofa ya 3 baada ya kugundua mchumba wake ana mke na mtoto

Tukio hili lilitokea huko China baada ya binti wa miaka 19 kugundua kuwa mchumba wake alikua ana mke na mtoto wa miaka 10. Askari pamoja na mfanyakazi wa zima moto walimshauri asijirushe chini pale alipokua akijiandaa kuruka toka gorofa la 3.

Bahati nzuri watu waliweka puto kubwa lenye upepo ndani sehemu ya chini ambapo walihisi binti huyo angeweza kudondokea.…

Continue

Added by Tulonge on May 31, 2013 at 0:01 — 3 Comments

Dodoma: Almanusura Wabunge wachapane makonde ndani ya Bunge (video)

Almanusura baadhi ya wabunge wa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania warushiane makonde bungeni, hali iliyomlazimu naibu spika wa bunge hilo Mh Job Ndugai kuliahirisha bunge isivyo utaratibu na kuamuru kamati ya maadili ya bunge kukutana huku baadhi ya waheshimiwa wakitupiana maneno ya kashfa pamoja na matusi.

Added by Tulonge on May 30, 2013 at 23:31 — No Comments

Lindi: Kijana aliyechomwa moto na vibaka akiwa hospitali

Na Abdulaziz Lindi …

Continue

Added by Tulonge on May 30, 2013 at 23:01 — No Comments

Tahadhari kuhusu matapeli wanaotumia jina la Rais Kikwete, Taasisi, Viongozi na Watu maarufu

Benki Kuu inapenda kuutahadharisha umma kuwa katika siku za karibuni kumekuwepo na mtandao wa matapeli unaotumia TOVUTI ifuatayo http://www.jakayafoundation.wapka.mobi/index.html.

Mtandao huo unajidai kuwa ni Taasisi ya Fedha ijulikanayo kwa jina la Jakaya foundation ambayo inamilikiwa na Benki Kuu chini ya utawala wa bodi kuu ya mikopo inayotolewa na serikali kupitia sekretariat ya Utumishi wa umma ofisi ya…

Continue

Added by Tulonge on May 30, 2013 at 22:45 — 2 Comments

Ahukumiwa kwenda jela mwaka mmoja kwa kumtumia SMS mbaya Waziri Nchimbi

Na Lydia Churi -- Mkazi Wa Mburahati Jogoo jijini Dar es salaam, Nassor Issa Mohamed (25) amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja au kulipa faini ya shilingi milioni tatu kwa kosa la kuwatumia ujumbe wenye nia mbaya wa simu ya mkononi Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Dkt. Emmanuel Nchimbi na Inspekta General wa Polisi Said Mwema.

Akitoa hukumu hiyo hakimu Helen Riwa wa mahakama Kisutu aliiambia mahakama kuwa Mohamed alisajili kadi zake za simu kwa majina tofauti na kwa mitandao…

Continue

Added by Tulonge on May 30, 2013 at 22:43 — No Comments

Matokeo mapya ya kidato cha 4, ufaulu wapanda kwa 23%

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk Shukuru Kawambwa.

Baraza la mitihani Tanzania NECTA limetangaza rasmi matokeo ya Kidato cha Nne 2012. Idadi ya watahiniwa waliofaulu mtihani wa kidato cha nne mwaka jana imeongezeka kwa kati ya asilimia 20 na 23 baada ya Baraza la Mitihani la Taifa (Necta), kufanya marekebisho alama za…

Continue

Added by Tulonge on May 30, 2013 at 22:35 — 3 Comments

Taarifa kuhusu msiba wa Mangwea toka kwa Baba yake mdogoAlbert Mangwea…

Continue

Added by Tulonge on May 30, 2013 at 19:36 — 2 Comments

Zaidi ya wanafunzi 600 wa sekondari ya Mzumbe wamezuiwa kuandamana

Wanafunzi zaidi ya 600 wa sekondari ya serikali ya wavulana ya vipaji maalum Mzumbe, wamezuiwa kuandamana baada ya kutembea zaidi ya Kilometa 16 kutoka shuleni hapo, kuelekea ofisi ya mkuu wa mkoa wa Morogoro, kuwasilisha madai yao mbalimbali waliyodai yameshindwa kufanyiwa kazi kwa muda mrefu na hivyo kuwaathiri kiafya na kitaaluma.

Added by Tulonge on May 29, 2013 at 23:50 — 3 Comments

P.Funk "Sitaki kusikia nyimbo za Ngwea zikipigwa Clouds FM,wao ndio waliomfanya aanze kuvuta Bangi"

P.Funk

DJ Choka alipokea simu kutoka kwa Producer mkongwe hapa bongo anayejulikana kwa jina la P Fuck Majani na kumuuomba aipokee message hii hapa chini na kuwaomba watanzania walijue hili na baadae atatoa barua rasmi.…

Continue

Added by Tulonge on May 29, 2013 at 23:19 — 2 Comments

Kenya:Tume ya mishahara yatoa Onyo kali endapo wabunge watalipwa mishahara mikubwa

Maandamano ya kupinga wabunge kujiongeza mishahara mjini Nairobi

Tume ya mishahara nchini Kenya, imesema kuwa makarani wa bunge wenye jukumu la kuwalipa mishahara wabunge huenda wakapatikana na hatia ya kutumia vibaya mamlaka yao na kufuja pesa za umma ikiwa watawalipa mishahara ya juu wabunge kinyume na ile iliyoratibiwa na tume…

Continue

Added by Tulonge on May 29, 2013 at 14:35 — 1 Comment

Kifo cha Msanii Albert Mangwea kilisababishwa na dawa za kulevyaAlbert Mangwea…

Continue

Added by Tulonge on May 29, 2013 at 14:00 — 3 Comments

TRA imeteketeza shehena kubwa ya vipodozi vyenye viambata vya sumu.

Mamlaka ya mapato -TRA mkoani Mbeya imeteketeza shehena kubwa ya vipodozi vyenye viambata vya sumu pamoja na pombe inayoingizwa nchini kinyume cha sheria ikiwa imefungwa kwenye pakti za nailoni, zinazojulikana kwa jina maarufu la viroba.

Added by Tulonge on May 29, 2013 at 0:13 — 2 Comments

Wapiga kura ya siri kuwafichua Walimu watuhumiwa wanaofanya mapenzi na wanafunzi

KATIKA hali isiyo ya kawaida, wanafunzi wa Shule ya Sekondari Nyasubi, iliyopo Wilaya ya Kahama, mkoani Shinyanga, wamepiga kura za siri ili kuwafichua walimu wenye tabia ya kufanya mapenzi na wanafunzi wao shuleni hapo.Uamuzi wa kupigwa kura hizo ulifikiwa hivi karibuni kwenye Kikao cha Baraza la Shule la Watoto ambacho kiliitishwa kwa lengo la kujadili vurugu zilizokuwa zikijitokeza shuleni hapo na…
Continue

Added by Tulonge on May 29, 2013 at 0:00 — No Comments

Tanzania yasema vitisho M23 haviinyimi usingizi

Msemaji wa JWTZ, Kanali Kapambala Mgawe

Dar es Salaam. Tanzania imesema vitisho vinavyoendelea kutolewa na waasi wa M23 wanaopigana Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC), haviinyimi usingizi.

Hata hivyo, imetaka Jumuiya ya Kimataifa kutopuuza vitisho hivyo.

Kauli ya…

Continue

Added by Tulonge on May 28, 2013 at 7:30 — 1 Comment

Pamoja na yote haya, Rais Mugabe hana mpango wa kuachia madaraka

Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe akiwa ameuchapa usingizi kwa raha zake.

Picha hii ya Rais Mugabe imekua ikisambaa katika mitandao mbalimbali kuonesha ni jinsi gani Rais huyu alivyochoka kutokana na umri wake kusonga mbele sana.…

Continue

Added by Tulonge on May 28, 2013 at 1:39 — 5 Comments

Sindano ya kuongeza ukubwa wa makalio ilimfanya mwanamke huyu kuwa hivi.

A mum of two told last night how her quest for a bigger bottom left her a quadruple amputee – and 24 hours from death. Apryl Michelle Brown had black-market silicone injections which turned out to be BATHROOM SEALANT.

It left her in agony and led to her losing her hands and feet, as well as her buttocks.

The 46-year-old former hairdresser blames “vanity”…

Continue

Added by Tulonge on May 28, 2013 at 1:00 — 5 Comments

Iringa: Omba omba aliyeigiza ulemavu ashtukiwa na kuachiwa kichapo na wananchi

Kulia omba omba huyo akiwa kazini na mkono wake ambao ameutengeneza na kuonekana kama mlemavu ili apate msaada kirahisi. Picha ndogo inamuonesha akipigwa na wananchi baada ya kugundua si mlemavu.…

Continue

Added by Tulonge on May 28, 2013 at 0:03 — 2 Comments

Alichokiandika Lady Jay Dee kuhusu kilichojiri leo kwenye kesi yake

Hiki ndicho alichokiandika mwanamuziki Lady Jay Dee kwenye ukurasa wake wa twitter kuhusu kesi yake inayoendelea Mahakama ya Kinondoni. Mwana dada huyo amefunguliwa mashtaka na Mkurugenzi Mtendaji wa Clouds Media Group (Joseph Kusaga) na Mkurugezi wa Utafiti na Matukio (Ruge Mutahaba) kama inavyoonekana hapo chini.…

Continue

Added by Tulonge on May 27, 2013 at 23:33 — No Comments

Mshindi wa Promosheni ya Vodacom Mahela akabidhiwa kitita chake kinono

*Baada ya Mshindi wa Mahela kuzoa Milioni 100 Sasa ni Cheka Nao.

*Maelfu ya Watanzania kucheka na mamilioniDar es Salaam 27 Mei 2013 -- Siku chache baada ya Mwanafunzi wa chuo cha ualimu Kasulu mkoani Kigoma, Valerian Nickodemus (22)  kuibuka kidedea na kujishindia kitita cha Shilingi milioni 100 katika promosheni ya MAHELA iliyoendeshwa kwa mafanikio makubwa na…

Continue

Added by Tulonge on May 27, 2013 at 22:28 — 1 Comment

Monthly Archives

2014

2013

2012

2011

2010

1999

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*