Tulonge

June 2012 Blog Posts (121)

Euro 2012: Andrea Pirlo ndiye "Carlsberg Man of The Match" katika mchezo wa Italy na Germany jana.

Mchezaji wa Italy,Andrea Pirlo (kushoto) akipokea zawadi yake baada ya kuwa "Man of the match" katika mchezo wa nusu fainali za Euro 2012 kati ya Italy na Germany. Italy iliibuka na ushindi wa magoli 2-1 na kutinga fainali ambapo itakutana na Spain tarehe 1 July.Kulia ni Peter Schmeichel.…

Continue

Added by Tulonge on June 29, 2012 at 5:30 — 1 Comment

TAMKO FUPI LA JUMUIYA YA MADAKTARI KWA WAANDISHI WA HABARI

KAMATI YA JUMUIYA YA MADAKTARI TANZANIA

YAH: TAMKO FUPI LA JUMUIYA YA MADAKTARI KWA WAANDISHI WA HABARI TAREHE 28.06.2012

Madaktari wote hatuna imani na tume iliyoundwa na Jeshi la polisi nchini yenye lengo la kuendesha uchunguzi juu ya kutekwa, kunyanyaswa na kupigwa vibaya kwa Dr. Ulimboka Stephen na tunataka chombo huru kiundwe ili kupata ukweli wa tukio hilo.

Pia tunakemea na kuonya juu ya vitisho vyote…

Continue

Added by Tulonge on June 29, 2012 at 5:00 — 6 Comments

Madaktari 72 Watimuliwa Kazi -MBEYA

Mwenyekiti wa Bodi Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Norman Sigara Aikzungumza na waandishi wa habari ofisini kwake kuhusu kufukuzwa kazi kwa madaktari hao.

BODI ya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mbeya, imewasimamisha kazi madaktari 72 kwa kosa la kutoingia kazini kwa siku tano jambo ambalo ni kinyume cha makubaliano ya…

Continue

Added by Tulonge on June 29, 2012 at 4:21 — 3 Comments

Picha 6 na Video ya Dk. Steven Ulimboka akiwa chumba cha matibabu.

Dk Steven Ulimboka akiendelea kupatiwa matibabu.…

Continue

Added by Tulonge on June 29, 2012 at 3:00 — 4 Comments

Madaktari bingwa nao wagoma

Katibu wa Jumuiya ya Madaktari,Dk Edwin Chitage akitoa tamko la Jumuia hiyo kwa Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam la kutokuwa na imani na Tume iliyoundwa na Jeshi la Polisi kuchunguza tukio la kupigwa kwa Mwenyekiti wao Dk Stephen Ulimboka.Picha na Fidelis Felix

TUKIO la kutekwa nyara, kupigwa na kujeruhiwa vibaya, kisha…

Continue

Added by Tulonge on June 29, 2012 at 2:00 — 3 Comments

Tazama video ya Dogo Asley feat. Chege "Umbea"

 • Kama hufahamu huyu ndiye star wa wimbo wa "Naenda kusema kwa mama" uliofanya vizuri sana.
 • Ana kipaji kikubwa cha kuimba na ana busara kama mtu mzima
 • Anaijali sana familia yake,aliwahi mpatia mamaye mtaji wa kuanza kufanya biashara.
 • Anamsaidia mamaye kujenga nyumba yao ambayo ipo Gongo la Mboto kwa kazi yake ya muziki

Added by Tulonge on June 29, 2012 at 0:30 — 3 Comments

Euro 2012: Balotelli awatesa Wajerumani!!!! duh si mchezo

Timu ya soka ya Ujerumani imetupwa nje ya michuano ya Euro 2012 baada ya kuchapwa 2-1 na Italy. Magoli ya Italy yalifungwa na Balotelli na Ozil aliipatia bao Ujerumani kwa penati kama inavyoonekana hapo juu. Italy itakutana na Spain katika mchezo wa fainali utakaochezwa tarehe 1/07/2012,siku ya jumapili…

Continue

Added by Wa Kimberly on June 28, 2012 at 23:30 — 4 Comments

Picha 12 za harusi ya beki wa Manchester City "Kolo Toure"

Manchester City defender Kolo Toure finally got married to his long time girlfriend, Chimene Akassou penultimate weekend in Abidjan, Ivory Coast.

The wedding ceremony was held at a mosque in the capital city while they proceeded to a registry to sign their marriage documents.

Both Kolo and Chimene have been living together as couple for nine years until they…

Continue

Added by Tulonge on June 28, 2012 at 21:30 — 2 Comments

Uso wa mwenyekiti wa chama cha madaktari ulivyo baada ya kupigwa na watu wasio julikana

Mwenyekiti wa chama cha madaktari Dk. Steven Ulimboka akihojiwa na Clouds TV baada ya kupigwa.

 • Kwa muda wa siku tatu nyuma alikuwa akipigiwa simu na watu hao.
 • Alipokutana na mmoja wao, mara walitokea wengine watano na kuwaambia wengine waondoke na abaki yeye (Steven)
 • Walimpiga sana, mateke na kwa kutumia kitako cha…
Continue

Added by Tulonge on June 27, 2012 at 16:31 — 14 Comments

Mpeleke mwanao akapate mtone ya Vitamin A,zimebaki siku 4 tu kwa awamu hii.Wadau nimeona tukumbushane juu ya hili suala la kupeleka watoto wetu wakapate huduma ya BURE ya matone ya Vitamin A na Dawa ya minyoo inayotolewa kwenye vituo mbali mbali vya afya. Matone ya Vitamin A ni kinga dhidi ya magonjwa kwa mtoto wako. Huduma hii imeletwa kwenu na Wizara ya Afya na ustawi wa jamii, ambayo hutolewa mara mbili kwa mwaka yaani mwezi wa 6 na mwezi wa…

Continue

Added by Tulonge on June 27, 2012 at 8:17 — 3 Comments

Mtazame Vicent Kigosi (Ray) ndani ya kipindi cha Mkasi

 • Hadi Kanumba anafariki walisha maliza ugomvi wao.
 • JB ndiye aliyemuingiza kwenye tasnia ya filamu.
 • Hana girl friend,mke wala mtoto wa kusingiziwa.
 • Hadi sasa ana filamu kati ya 45-50.

 

 

Added by Tulonge on June 27, 2012 at 6:30 — 1 Comment

50cent aruhusiwa toka hospitali baada ya kupata ajali ya gari juzi.

50cent baada ya ajali.

Kwa sasa 50cent ameruhusiwa toka New York Hospital Queens ambapo alikua akipata matibabu baada ya kupata ajali juzi pale gari yake ilipogongana na lori. Alijeruhiwa shingo na mgongo katika ajali hiyo. Baada ya matibabu hali yake imeelezwa kuwa ni…

Continue

Added by Tulonge on June 27, 2012 at 2:11 — No Comments

Hii ilitokea kweli, au ilipangwa iwe hivi ili kunogesha harusi?

Added by Tulonge on June 27, 2012 at 1:30 — No Comments

Hii ndiyo video ya wimbo "Amerudi" wa Belle 9

Added by Tulonge on June 26, 2012 at 23:53 — 1 Comment

Aliye watukana wachezaji wa England (Cole na Young) akamatwa.

Hivyo ndivyo shabiki Steve alivyo watukana wachezaji Ashley Cole na Ashley Young wa timu ya Soka ya England kupitia mtandao wa kijamii (tweeter) baada ya kukosa penati katika mechi ya robo fainali ambapo England walitolewa na Italy kwa mikwaju ya penati. Shabiki huyo amekamatwa na polisi.

Itakumbukwa mwanafunzi Leam Stacey alihukumiwa kifungo cha siku 56 baada ya…

Continue

Added by Tulonge on June 26, 2012 at 22:00 — 7 Comments

Hili ndilo onyo la Mahakama kuu ya Tanzania kwa Madaktari kuhusu mgomo.

Mahakama kuu ya Tanzania Kitengo cha kazi leo kimetoa onyo kwa Chama cha Madaktari Nchini (MAT) kuzingatia amri ya Mahakama hiyo iliyotolewa siku ya Ijumaa tarehe 22 Juni 2012 ya kusitisha na kutoshiriki katika mgomo na kumtaka Rais wa Chama cha Madaktari kutangaza kutii amri hiyo kupitia vyombo vya habari.

Chanzo: issamichuzi…

Continue

Added by Tulonge on June 26, 2012 at 21:51 — 1 Comment

Alichokiandika Msanja Makandamizaji kwenye ukurasa wake wa Facebook kuhusu Vengu

Hiki ndicho nilicho kitkuta kwenye page ya msanii wa kundi la Original Comedy (Masanja) akigusia kiduchu kuhusu hali ya Vengu ambaye ni muigizaji mwenzake kwenye kundi hilo kuwa ni salama.Vengu amekuwa akiumwa kwa muda mrefu sasa na alipelekwa nje kwa matibabu.Hivi karibuni ilisemekana amerudishwa hapa…

Continue

Added by Tulonge on June 26, 2012 at 21:00 — 2 Comments

Wema azindua filamu yake iitwayo "Super Star"

Wema Sepetu akiwa amepozi kabla ya kuanza kuoneshwa demo ya filamu hiyo ndani ya ukumbi wa Kilimanjaro Hyatt Regency usiku wa juzi.

Wadau wakishuhudia uzinduzi huo…

Continue

Added by Tulonge on June 25, 2012 at 2:00 — 5 Comments

Euro 2012: Ona penati ya ajabu ya Pirlo iliyo wafungasha virago England

Swali la kizushi:
Ni kweli Pirlo alinuia kupiga penalty hii kwa style hiyo? Maana naona alitifua chini, isije ikawa alikosea halafu sisi tunaona penalty ya kitaalam.

Added by Tulonge on June 25, 2012 at 1:30 — 3 Comments

Monthly Archives

2014

2013

2012

2011

2010

1999

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*