Tulonge

July 2012 Blog Posts (118)

Lissu ayataja majina ya Wabunge watuhumiwa wa hongo; Baadhi yao wazungumza

Mnadhimu Mkuu wa kambi hiyo, Tundu Lissu amewataja wabunge wa CCM ambao wanatuhumiwa kujihusisha na hongo kuwa ni Nasir Abdallah (Korogwe Mjini), Mariam Kisangi (Viti Maalumu), Vicky Kamata (Viti Maalumu) na Charles Mwijage (Muleba Kaskazini) ambao hata hivyo, wote wamekanusha madai hayo.

Wabunge wengine watatu gazeti la MWANANCHI limeshindwa kuwataja kwa kuwa…

Continue

Added by Tulonge on July 31, 2012 at 7:20 — 11 Comments

Hivi ndivyo huwa

Added by Tulonge on July 31, 2012 at 6:55 — 1 Comment

Ngasa anauzwa kwa dola 50,000 tu.

Mwenyekiti wa Yanga, Yussuf Manji akisalimiana na Ngassa

Klabu ya Azam FC inapenda kutoa taarifa rasmi kuwa milango iko wazi kwa klabu yoyote kumnunu mchezaji Mrisho Ngassa kwa gharama ya $ 50,0000.

Azam FC imefikia hatua hiyo baada ya mchezaji huyo…

Continue

Added by Tulonge on July 31, 2012 at 1:00 — 2 Comments

Museveni atoa hadhari dhidi ya Ebola

Rais Museveni atoa hadhari dhidi ya virusi vya Ebola

Rais wa Uganda Yoweri Museveni amewataka watu kuepuka kugusana moja kwa moja baada ya virusi hatari vya Ebola kuenea katika mji mkuu Kampala.

Watu kumi na wanne wamekufa akiwemo mmoja mjini Kampala, tangu kuzuka kwa ugonjwa huo magharibi mwa Uganda wiki tatu zilizopita,…

Continue

Added by Tulonge on July 31, 2012 at 0:02 — No Comments

Tazama wimbo "Nasema nao" wa Ney wa Mitego.Madongo kibao, kama kawaida yake.

  • Amponda Chidi Benzi kwa kutoboa pua.
  • Asema Prof. Lipumba kila uchaguzi ni wewe kwani wengine hakuna?
  • Awataka Madee na Afande Sele wakaimbe taarabu
  • Aponda mabinti kutoa mimba.Wangekua wapi na wao wangetolewa enzi hizo?

Added by Tulonge on July 30, 2012 at 23:30 — 2 Comments

Serikali ya Tanzania yalifungia gazeti la MwanaHalisi

SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, imelifungia gazeti la MwanaHalisi kwa muda usiojulikana kwa kile kilichoelezwa kuwa na mwenendo wa kuandika habari na makala za uchozezi.

Sababu nyingine ya kufungiwa kwa gazeti hilo ni pamoja na kujenga uhasama na uzushi likiwa na nia ya kusababisha wananchi kukosa imani na vyombo vya dola hali inayoweza kuhatarisha amani…

Continue

Added by Tulonge on July 30, 2012 at 15:30 — 4 Comments

Majigambo ya kiungo wa Yanga Athuman Chuji kupitia "facebook", ajilinganisha na Pirlo wa Italy.

Hapa Athuman Chuji akijilinganisha na Pirlo, mchezaji wa timu ya Taifa ya Italy. Anadai Pirlo anajaribu kuiga kiwango chake (Chuji) teh teh teh.Nimeipenda hii.…

Continue

Added by Tulonge on July 30, 2012 at 12:48 — 1 Comment

Licha ya tamko la Serikali: Chama cha Walimu chatangaza mgomo kuanza kesho, Jumatatu

Chama Cha Walimu Tanzania (CWT), kimetangaza kuwa mgomo wao uko palepale na utaanza rasmi kesho, baada ya msuluhishi aliyeteuliwa na Tume ya Usuluhishi na Uamizi (CMA), kushindwa kuusuluhisha mgogoro kati yao na Serikal0.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Rais wa chama hicho, Gratian Mukoba, alisema kuwa mgomo huo ni halali kwani umefuata taratibu zote za kisheria zilizotakiwa, na kuwataka walimu wote nchini kushiriki bila ya woga, “Baada ya usuluhishi…

Continue

Added by Tulonge on July 30, 2012 at 0:17 — No Comments

Mauaji ya balozi yachunguzwa Kenya

Polisi wa Kenya wanasema kuwa wanaendelea na uchunguzi, juu ya mauaji ya balozi mpya wa Venezuela nchini humo, ambaye aliuwawa Ijumaa.

Olga Fonseca, aliyeanza kazi Kenya kati ya mwezi Julai, alikutiakana ameuwawa nyumbani kwake, na watu sita wamekamatwa hadi sasa.

Watu hao sita wamekamatwa siku mbili tu baada ya balozi huyo kupatikana amefariki nyumbani…

Continue

Added by Tulonge on July 30, 2012 at 0:09 — No Comments

Kenya's Ruth Matete Wins Tusker Project Fame Season 5

The Tusker Project Fame started off eight weeks back with 15 contestants but at the end of it all, Kenya's Ruth Matete was crowned the winner of Tusker Project Fame season 5. Ruth was the last contestant to perform for the night and judge Ian told her that she was the winner.

Joe from Burundi was in the fourth position, followed by Jackson Kalimba in the third…

Continue

Added by Tulonge on July 30, 2012 at 0:05 — 2 Comments

"Sisi sote ni ndugu" Jumapili njema wadau

Yatupasa tukumbuke sisi sote ni ndugu. Tuepuke kujenga tofauti yoyote kati yetu, iwe ya kidini,kikabila nk.

Added by Tulonge on July 29, 2012 at 9:30 — No Comments

Wabunge mafisadi watajwa

SPIKA AVUNJA KAMATI YA NISHATI, WAZIRI AELEZA WALIVYOITAFUNA TANESCO

Kizitto Noya na Boniface Meena, Dodoma

WAKATI wabunge wakitoa tuhuma nzito dhidi ya wenzao wanaodaiwa kujihusisha na ufisadi ndani ya Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), imebainishwa kuwa wabunge wenye tabia hiyo ni watano, watatu kutoka chama tawala CCM na wawili upinzani.

Habari…

Continue

Added by Tulonge on July 29, 2012 at 8:24 — 10 Comments

Picha 10 za Yanga wakishangilia Ubingwa wa kombe la Kagame baada ya kuifunga Azam 2-0 jana.

Mabingwa wapya wa Mashindano ya Cecafa Kagame Cup,Timu ya Yanga ya jijini Dar es Salaam wakishangilia ubingwa wao dhidi ya Azam FC ikiwa ni mara ya pili mfululizo.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ambaye alikuwa Mgeni rasmi katika fainani hiyo,Mh.…

Continue

Added by Tulonge on July 29, 2012 at 8:00 — No Comments

Ebola yazuka tena Uganda

Baada ya tetesi za majuma kadha, serikali ya Uganda na Shirika la Afya Duniani, WHO, wamethibitisha kuwa ugonjwa wa Ebola umeibuka magharibi mwa nchi.

Watu kama 13 wamekufa na wengine kadha wanauguwa ugonjwa huo katika wilaya ya Kibaale.

Chanzo cha ugonjwa huo safari hii kingali kinachunguzwa.

Virusi vya Ebola havina dawa wala chanjo ya kinga, na…

Continue

Added by Tulonge on July 29, 2012 at 7:30 — No Comments

Zimbabwe: "Give our children condoms at school", Parents and traditional leaders demand

ZIMBABWE - Traditional leaders and parents in Chiwundura District want schoolchildren to be given condoms to protect themselves from sexually transmitted diseases and unwanted pregnancies.

Speaking at a dialogue workshop organised by Padare and Safaids at Chief Gambiza Township on Thursday, traditional leaders said it was high time Government intervened to stop…

Continue

Added by Tulonge on July 28, 2012 at 23:00 — 1 Comment

Picha 13 za baadhi ya miji mizuri Afrika

Harare, Zambabwe

Dakar, Senegal

Abidjan,…

Continue

Added by Tulonge on July 28, 2012 at 23:00 — 2 Comments

Picha 10 za matukio ya Olympic-London

muenekano wa uwanja wa Olympic. Wametumia low carbon concrete (zege) lililotengenezwa toka kwenye uchafu wa viwandani kujengea majengo yote ya Olympic Games hadi footpaths na car parking. Eneo hili lote lilikuwa open space kumwagia takataka lakini limejengwa vizuri for Olympic na kuwa kiji-mji…

Continue

Added by Tulonge on July 27, 2012 at 7:00 — 2 Comments

Nigeria: Baby Born With Three Legs

A baby girl identified as Nafisat, born with many legs and imperforated anus in Borno State needs your help.According to medical experts, baby Nafisat needs N1million for corrective surgery for her to remain alive.Baby Nafisat was born to the Ahmed family in Bayo LGA of Borno state on the 18th of June, 2012.

The family’s joy quickly turned to sorrow as they witnessed…

Continue

Added by Tulonge on July 27, 2012 at 5:09 — No Comments

Mama wa P.Square kuzikwa August 2

Mtandao wa Nigeriafilms umeyapata maelezo yaliyoandikwa na msemaji wa P-Square, Square Image Associates, yanayothibitisha kuwa mwili wa mama yao mzazi na wasanii hao Mrs Josephine Okoye, utazikwa August 2, 2012.Mrs Okoye, 62, aliyefariki jumatano ya July 11, 2012, atazikwa kwenye nyumba ya mume wake huko Ifite-Dunu, kijiji cha Akwa katika jimbo la Anambra siku ya…

Continue

Added by Tulonge on July 27, 2012 at 5:02 — 3 Comments

Monthly Archives

2014

2013

2012

2011

2010

1999

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*