Tulonge

July 2013 Blog Posts (60)

Admin wa tulonge akabidhiwa zawadi zake na Msanii bora wa hiphop Tanzania, Kala Jeremiah

Kushoto ni Admin wa tulonge.com(Dismas) akikabidhiwa zawadi zake na Kala Jeremiah

Mnamo tarehe 28 Juni 2013 msanii bora wa Muziki wa HipHop Tanzania Kala Jeremiah alitangaza shindano kupitia ukurasa wake wa Facebook. Alitaka wadau waupige picha ukurasa wake wa facebook siku ambayo utafikisha 'likes' 44,444. Mdau wa kwanza kupiga…

Continue

Added by Tulonge on July 28, 2013 at 14:13 — 20 Comments

POLENI wadau wangu kwa kuwa kimya kwa muda, admin yupo hoi na majukumu

Kwa siku mbili au tatu zilizopita kijiji chetu cha tulonge kimekua kimya sana, hakuna jipya lililoonekana hapa. Hii ni kutokana na kubanwa na majukumu mengi kwa Mwenyekiti 'Admin' hivyo kushindwa kuwajuza yaliyojiri ndani na nje ya Tanzania.

Ila hata wewe mdau unaweza msaidia Admin kuweka habari. Angalia ukurasa wa kwanza (home) ,chini karibu…

Continue

Added by Tulonge on July 20, 2013 at 7:25 — 15 Comments

Jaji mstaafu wa mahakama kuu ya Tanzania Buxton Chipeta afariki Dunia

 Buxton D. Chipeta

Jaji mstaafu wa Mahakama Kuu ya Tanzania Buxton Chipeta amefariki Dunia leo saa tatu asubuhi katika hospitali ya Hindu Mandali. Jaji alizidiwa leo asubuhi akiwa nyumbani kwake na baadae kukimbizwa hospitali ambapo mauti ilimkuta. Alikua akisumbuliwa na ugonjwa wa kisukari.

Wasifu wa marehemu kwa…

Continue

Added by Tulonge on July 16, 2013 at 17:43 — 2 Comments

Mmh! Huyu Mwalimu anatoa adhabu kwa wanafunzi au anaua joka?


Nimekutana na hii video sehemu ila nimeshindwa kutambua ni mwalimu wa shule ya nchi ipi. Sina hakika kama adhabu hii ni halali kutolewa kwa watoto hawa au la. Nguvu itumikayo ni balaa, utadhani anaua joka. Na watoto wake huwa anawaadhibu hivi?

Added by Tulonge on July 16, 2013 at 8:40 — 11 Comments

Wanajeshi wa Kitanzania waliojeruhiwa katika shambulio huko Darfur wakiwa hospitali kwa matibabu

A UNAMID peacekeeper based in Khor Abeche, South Darfur, recovers in the hospital from the injuries she suffered in the attack. Photo by Albert González Farran,…

Continue

Added by Tulonge on July 16, 2013 at 7:26 — 5 Comments

Miili ya wanajeshi 7 wa Tanzania ikiagwa huko Darfur kabla ya kusafirishwa kuja TZ

The African Union – United Nations Mission in Darfur (UNAMID), held a memorial ceremony, in Nyala, the capital of South Darfur, to honor the seven fallen peacekeepers who lost their lives in the 13 July attack in South Darfur. The bodies are scheduled to be repatriated to Tanzania, the home country of the fallen peacekeepers. In addition to the seven killed, 17 military and…

Continue

Added by Tulonge on July 16, 2013 at 7:00 — 2 Comments

Majambazi wamewapora raia 2 Wakichina mamilioni ya shilling eneo la Posta DSM

Watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi wamewapora raia wawili wa Kichina mamilioni ya shilingi katika eneo la posta jijini Dar es Salaam baada ya kuwatisha kwa kitu kinahisiwa kuwa ni mlipuko wa baruti na kisha kutokomea kusikojulikana kwa kutumia usafiri wa pikipiki.

Added by Tulonge on July 16, 2013 at 0:00 — 1 Comment

Rais Mugabe atishia kuwatia jela mashoga na wasagaji endapo hawatatiana mimba

Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe alitishia kuwafunga jela mashoga na wasagaji endapo watashindwa kutiana mimba. Kauli hiyo aliitoa alipokua akifungua kampaini ya chama chake cha Zanu PF kwaajili ya uchaguzi mkuu utakaofanyika mwezi huu nchini humo.

 …

Continue

Added by Tulonge on July 15, 2013 at 23:39 — 3 Comments

Askari 7 wa Jwtz wauwawa baada ya kushambuliwa na waasi Sudan

Askari saba wa jeshi la wananchi wa Tanzania wameuwawa huku wengine 14 wakijeruhiwa akiwemo askari polisi mmoja baada ya msafara wa wanajeshi 36 wa kikosi cha kulinda amani kilichopo Darfur nchini Sudani kushambuliwa ghafla na kikundi cha waasi nchini humo.

Added by Tulonge on July 15, 2013 at 8:29 — 1 Comment

Matokeo ya Uchaguzi katika Kata Nne za Arusha

Uchaguzi uliofanyika leo Jumapili, Julai 14, 2013 wa kuwapata madiwani wa Kata Nne --Themi, Kaloleni, Kimandolu na Elerai-- za mkoani Arusha umemalizika.

Huku Tume ya Uchaguzi ikisubiriwa kuwatangaza rasmi washindi, taarifa za awali zinasema kuwa CHADEMA imepata ushindi kwa kunyakua Kata zote Nne kama ifuatavyo:

KATA YA THEMI: CHADEMA 678; CCM 326; CUF 313

KATA YA KIMANDOLU: CHADEMA 2,665; CCM 1,169

KATA YA KALOLENI: CHADEMA 1,019; CCM 389; CUF 169

KATA YA…

Continue

Added by Tulonge on July 15, 2013 at 8:20 — 7 Comments

Haiingii akilini: Miss Tanzania amtesa mama yake

Imeandikwa na MOSHI LUSONZO via NIPASHE JUMAPILI

Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mshiriki wa Miss Tanzania 2002, Samia Khan (26) anadaiwa kumfanyia vitendo vya kitumwa mama yake mzazi ikiwa ni pamoja na kumpiga na kumfungia ndani bila kula.

Inadaiwa Samia mkazi wa Ungindoni, Kigamboni jijini Dar es Salaam, alifanya unyama huo kwa kipindi cha mwezi Juni mwaka huu kwa kushirikiana na mchumba wake mwenye uraia wa…
Continue

Added by Tulonge on July 15, 2013 at 8:13 — 4 Comments

"tusiombee wapinzani hawa washike nchi, hawafai" Mkapa

RAIS mstaafu, Benjamin William Mkapa, ameonyesha wazi kutoridhishwa na mwenendo wa matukio ya uvunjifu wa amani hivi sasa. …

Continue

Added by Tulonge on July 13, 2013 at 9:08 — No Comments

Jeshi la polisi TZ kuwapeleka askari wake Afrika Kusini kuwahoji Agnes na Mellisa ambao walikamatwa na dawa za kulevya

Jeshi la Polisi litapeleka askari wake Afrika Kusini kuwahoji washiriki wa video za wasanii wa muziki wa Bongo fleva, Agnes Gerald ‘Masogange’ na mwenzake Melisa Edward waliokamatwa nchini humo na dawa za kulevya.

Kamanda wa Kikosi cha Kuzuia Dawa za Kulevya, Godfrey Nzowa aliiambia Mwananchi kwa simu jana kuwa watawapeleka polisi kuwahoji na wanaamini wahusika…

Continue

Added by Tulonge on July 13, 2013 at 2:19 — 6 Comments

Mama amchoma mwanae kwa mkasi mara 90 kwa madai ya kumng'ata alipokua akimnyonyesha

Ni kama miujiza kwa mtoto wa kichina kuwa hai mpaka sasa licha ya kuchomwa chomwa mara 90 na mama yake mzazi huko China kwa madai kuwa alimng’ata ziwa mama yake wakati akinyonyesKwa mujibu wa Daily Mail mtoto huyo Xiao Bao mwenye miezi 8 tu ameshonwa zaidi ya nyuzi 100 ili kuurudisha…

Continue

Added by Tulonge on July 13, 2013 at 1:30 — 7 Comments

Tanzania yaijibu Rwanda, yaionya isijaribu kuota ndoto za kuishambulia kijeshi

SERIKALI ya Tanzania imeipa onyo kali nchi ya Rwanda ikiitaka isijaribu kuota ndoto za kuishambulia kijeshi, vinginevyo itajibu mapigo kwa nguvu zote na kuhakikisha kuwa imeichakaza.

Kauli hiyo ya kwanza nzito imetolewa jana na Wizara ya Mambo ya Nje ya…

Continue

Added by Tulonge on July 13, 2013 at 0:30 — No Comments

Aliye tumbukiza kichanga chooni ahukumiwa kifungo cha miaka mitano (5) jela

Rukia Haruna (31) akitolewa nje na Askari wa Jeshi la Polisi akitolewa nje ya Mahakama kwenda Gerezani kutumikia kifungo cha miaka 5 Jela

Mwanamke mmoja mkazi wa Manga A Jijini Mbeya amehukumiwa kifungo cha miaka 5 jela kwa kosa la kutupa mtoto wake chooni.

 

Tukio hilo lilitokea Juni 14, Mwaka huu katika eneo hilo…

Continue

Added by Tulonge on July 12, 2013 at 4:20 — 1 Comment

Aliyeruhusu masanduku ya Agnes na Melisa yapite na dawa za kulevya hapa TZ ni nani?

Polisi imekiri kuwa wasichana wawili raia wa Tanzania waliokamatwa nchini Afrika Kusini wakiwa na dawa za kulevya zenye thamani ya Sh. bilioni 6.8, walipitia katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam.Wasichana hao walisafiri kwa ndege ya Shirika la Ndege la South African Airways…
Continue

Added by Tulonge on July 12, 2013 at 2:43 — 4 Comments

Taarifa zaidi kuhusu kifo cha Mama Mzazi wa mwanamuziki Profesa J

Habari zilizopokewa usiku huu ni kwamba mama yake mzazi msanii maarufu wa muziki nchini, Joseph Haule a.ka. 'Profesa J' amefariki dunia usiku huu baada ya kugongwa na gari maeneo ya Mbezi juu, jijini Dar es salaam, alikokuwa anaishi na mwanae.

Habari zinasema marehemu, Bi. Rosemary Majanjara Haule, aligongwa na gari akiwa anavuka barabara kuelekea dukani kiasi cha saa mbili usiku, na kwamba baada ya kugongwa wasamaria wema walimkibiza hospitalini tumbi kwa kutumia bajaji…

Continue

Added by Tulonge on July 11, 2013 at 6:42 — 1 Comment

Monthly Archives

2014

2013

2012

2011

2010

1999

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*