Tulonge

July 2013 Blog Posts (60)

Wakati mwingine kifo huwa kimetulia zake ila kuna watu wanaki-beep, hebu angalia hii bembea (picha 4)

Sina hakika na utimamu wa akili ya mtu aliyefunga hii bembea hapa. Ukisikia kuki-beep kifo ndo huku, sasa ngoja kiwapigie sijui watapokea au vipi.…

Continue

Added by Tulonge on July 11, 2013 at 2:00 — 10 Comments

Taarifa ya kifo cha Mama mzazi wa Msanii Profesa Jay toka kwa DJ Choka

Profesa Jay kushoto akiwa na marehemu mama yake enzi za uhai wake.

Hii ni taarifa iliyotolewa na DJ Choka kupitia ukurasa wake wa twitter kuhusu kifo cha mama mzazi wa msanii wa hiphop Joseph Haule a.k.a Profesa J. Hii ni taarifa ya awali. Tulonge itaendelea kuwajuza juu ya hili.…

Continue

Added by Tulonge on July 11, 2013 at 1:30 — 3 Comments

UEFA yatangaza wachezaji 10 kuwania tuzo ya mchezaji bora 2012/13.

Shirikisho la soka barani ulaya UEFA limewatangaza wachezo kumi watakao wania tuzo ya mchezaji bora wa mwaka 2012-13 tuzo zinazo taraji kufanyika tarehe 29 ya mwezi ujao jijini Monaco nchini Ufaransa.

Added by Tulonge on July 11, 2013 at 1:05 — No Comments

Kenya yaongoza kwa ufisadi

Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Transparency International, Kenya imeshika nafasi ya nne kwa ufisadi ikiwa ni miongoni mwa nchi 107 ambako utafiti huo ulifanywa.

Ripoti hiyo ilibaini kwamba Wakenya saba kati ya 10 waliohojiwa walisema wamewahi kutoa hongo maishani mwao ili waweze kupata huduma moja hadi nane kati ya zilizochunguzwa.

Kulingana…

Continue

Added by Tulonge on July 11, 2013 at 1:00 — 3 Comments

Gwiji wa Manchester United Quinton Fortune atembelea Azam Chamazi Complex, ashangazwa na ubora wake

Quinton Fortune, Mchezaji wa zamani wa Manchester United ambaye kwa sasa anasomea fani ya ualimu wa soka kwenye kompaundi ya Manchester United alipotembelea Azam FC Chamazi leo kwa mwaliko wa DHL, Fortune alishangazwa na ubora wa Center ya Azam FC na kusema hajawahi kuona kitu kama hiki kinachomilikiwa na klabu hata kwenye nchi yake ya Afrika ya Kusini hakuna...…

Continue

Added by Tulonge on July 11, 2013 at 1:00 — 1 Comment

Tulonge inawatakia MFUNGO MWEMA waislam wote

Added by Tulonge on July 10, 2013 at 7:59 — 3 Comments

Meno ya tembo yenye thamani ya Sh. bil 4.2 yakamatwa

OFISA Uvuvi wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT ), Seleman Chasama (50), amepandishwa kizimbani akikabiliwa na mashitaka ya kukutwa na meno ya tembo, yenye thamani ya Sh bilioni 4.2.

Chasama alifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam jana, na kusomewa mashitaka na Wakili wa Serikali, Shadrack Kimaro mbele ya Hakimu Mkazi, Nyigulila…

Continue

Added by Tulonge on July 10, 2013 at 7:51 — 3 Comments

Kumbe Star Agness Jerald a.k.a Agness Masogange ni mmoja ya wawili waliokamatwa na dawa za kulevya Afrika Kusini

Hii ni picha ya Agness Jerald a.k.a Agness Masogange aliyoiweka kwenye mtandao hv karibuni akiwa Afrika Kusini.Wanawake wawili raia wa Tanzania wametambuliwa kuwa ndiyo wanaodaiwa kuingiza shehena ya dawa za kulevya zenye thamani ya zaidi ya Shilingi bilioni 6.8 nchini Afrika Kusini wakitokea…

Continue

Added by Tulonge on July 9, 2013 at 18:35 — 6 Comments

Video:Jengo la wizara ya uchukuzi lanusurika kuungua moto

Shughuli za serikali zimelazimika kusimama kwa zaidi ya saa moja kutokana na wafanyakazi wa wizara ya uchukuzi kukimbia nje ya ofisi zao baada ya jengo lililoungana na wizara hiyo kupata hitilafu ya umeme iliyosababisha kutaka kuanza kuungua moto.

Added by Tulonge on July 9, 2013 at 3:30 — No Comments

Majeruhi wa mlipuko wa petroli baada ya mwanafunzi wa VETA Dodoma kujilipua

Mtoto Shabani P. Shaban wa darasa la tatu alikutana na janga hili baada ya kwenda kwa fundi kuchukua nguo zake za shule ambapo ni eneo jirani na mlipuko huo ulipotokea. Mh Mbunge wa Dodoma Mjini David Mallole ameahidi kumlipia ada yake ya shule.…

Continue

Added by Tulonge on July 9, 2013 at 3:17 — 5 Comments

Wanawake wawili wakamatwa na dawa za kulevya Afrika Kusini wakitokea Tanzania

Ripoti kutoka Afrika Kusini zinasema wanawake wawili wamekamatwa katika uwanja wa ndege wa kimataifa OR Tambo nchini Afrika Kusini wakitokea Tanzania, wakiwa na madawa ya kulevya yenye thamani ya Rand million 42.6 kiasi ambacho ni kikubwa zaidi kuwahi kukamatwa katika mpaka wowote wa nchi hiyo.

 

Kwa mujibu wa taarifa iliyoripotiwa na shirika la habari la Africa Kusini SABC siku ya Ijumaa (July 5), msemaji wa South African Revenue Services (SARS) Marika Muller amesema, wanawake…

Continue

Added by Tulonge on July 9, 2013 at 3:03 — 3 Comments

Taarifa ya TANAPA kuhusu Moto uliozuka katika Mlima Kilimanjaro

Added by Tulonge on July 9, 2013 at 2:49 — No Comments

Dodoma: Mwanafunzi wa Veta ajilipua kwa petroli na kufa kwa wivu wa mapenzi

MWANAFUNZI wa Chuo cha Ufundi Stadi (VETA) mkoani Dodoma, Taliki Juma (22), amekufa kwa kujilipua kwa petroli, kutokana na wivu wa kimapenzi ambapo katika tukio hilo, watu wanane wamejeruhiwa.

Taliki alifariki dunia jana mchana, wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Mkoa wa Dodoma.

Akielezea tukio hilo, Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Suzan Kaganda alisema Taliki alijilipua juzi saa kumi na nusu jioni kwenye…

Continue

Added by Tulonge on July 8, 2013 at 8:41 — 3 Comments

Video: Daktari ampiga ngumi kadhaa mgonjwa wa moyo na kupelekea kifo chake huko Urusi

Dk.Andrey Votyakov muhusika wa tukio hilo.

Tukio hili lilitokea huko Urusi (Federal Cardo-Surgery Centre) baada ya daktari pichani kumshambulia mgonjwa wa moyo kwa kumpiga ngumi kadhaa upande wa kushoto ambapo moyo upo bila kujua kuna kamera iliokua ikimrekodi.Baada ya muda mfupi mgonjwa huyo…

Continue

Added by Tulonge on July 8, 2013 at 1:30 — 4 Comments

Nigeria: Kijana wa miaka 23 afunga ndoa na bibi wa kizungu wa miaka 82

Kumekua na matukio kadhaa kama hili kwa vijana wa Nigeria kuoa wanawake walio wazidi umri.Mara nyingi wanawake hao huwa ni wa Kigeni(wazungu). Hali hii hupelekea wengi kuamini kuwa hela/mali ndiyo husababisha vijana hao kuvutiwa na mijimama hiyo. Yote kwa yote, tunawatakia mema katika maisha yao ya…

Continue

Added by Tulonge on July 8, 2013 at 0:59 — 2 Comments

Picha za mpambano wa masumbwi kati ya Wolper VS Mdee, na Aunt Vs Bulaya

Mbunge wa jimbo la Kawe Mh. Halima Mdee kushoto akipambana na Bongo Movie Star Jacqueline Wolper katika mchezo wa Tamasha la Matumaini uliofanyika uwanja wa Taifa Dar leo. Matokeo ya mchezo huu yalikua ni sare.…

Continue

Added by Tulonge on July 7, 2013 at 23:00 — 3 Comments

Mh.Zitto Kabwe ashindwa kushiriki Tamasha la matumaini, alichokieleza ni hiki.

Global Publishers leo 7.7.2013 waliandaa Tamasha la Matumaini. Bahati mbaya sana sikuweza kuwahi kutokana na safari nilizonazo. Hii ni hotuba niliyopanga kuitoa na kuwatumia waandaaji.

TAMASHA LA MATUMAINI

Leo nilikuwa niwe nanyi kwa ajili ya siku hii muhimu sana kwa nchi yetu, siku ya matumaini kama inavyoandaliwa na Kampuni ya Global Publishers.…

Continue

Added by Tulonge on July 7, 2013 at 21:30 — 1 Comment

Rais Kikwete akijiandaa kupuliza filimbi kuanzisha mchezo kati ya Wabunge wa Yanga na Simba

Rais Kikwete alipokua akijiandaa kupuliza filimbi kuashiria kuanza kwa mchezo wa Tamasha la Matumaini kati ya Wabunge washabiki wa Yanga dhidi ya wale wa Simba.Mchezo huo ulifanyika ktk uwanja wa Taifa Dar . Wabunge wa Yanga waliibuka washindi baada ya kuwafunga Simba kwa penati 4-3 baada ya sare ya 0-0 katika muda wa kawaida.

 

Zifuatazo ni baadhi ya picha…

Continue

Added by Tulonge on July 7, 2013 at 20:30 — 4 Comments

Monthly Archives

2014

2013

2012

2011

2010

1999

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*