Tulonge

August 2012 Blog Posts (133)

Pinda akutana na Mwalimu wake wa darasa la tatu.

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mwalimu wake, John Kasalamimba wakati walipokutana Mkjini Mpanda Agust 30,2012.Mwalimu Kasalamimba alimfundisha Waziri Mkuu kuanzia mwaka 1960darasa la tatu katika Shule ya Msingi ya Kibaoni wilayani Mlele, Mpanda. (picha na Ofisi ya Waziri…

Continue

Added by Tulonge on August 31, 2012 at 17:31 — 1 Comment

DC Korogwe awajibishwe kwa udhalilishaji

Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP), tumesikitishwa sana na kauli iliyotolewa na Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mkoani Tanga Ndugu Mrisho Gambo, kwa mwanasheria wa Halmashauri hiyo Bi. Najum Tekka, kuhusu uhalali wa shahada aliyonayo hususan kuihusisha shahada hiyo na vitendo vya ngono! Kama ilivyoripotiwa na vyombo vya habari ikiwepo gazeti la Majira Augosti 29,2012 Uk.3

Kauli hii ni udhalilishaji na ukiukwaji mkubwa wa haki za wanawake na inaenda kinyume na misingi ya kuzingatia usawa…

Continue

Added by Tulonge on August 31, 2012 at 16:43 — No Comments

Cheka na Ziro...

Added by Tulonge on August 31, 2012 at 10:01 — No Comments

Naibu Waziri wa wizara ya nishati na madini aiagiza Tanesco isikate umeme hovyo

George Simbachawene, Naibu waziri wa wizara ya nishati na madini.

*Aiagiza isikate umeme ovyo * RC Simbakalia amwaga ‘kilio’

SERIKALI imeliagiza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), kuacha mara moja kukata umeme katika taasisi zote ambazo zinatoa huduma muhimu kwa jamii.

Kauli ya Serikali imetolewa jana na Naibu Waziri wa…

Continue

Added by Tulonge on August 31, 2012 at 9:46 — No Comments

Tiketi Precision kwa M-Pesa

Patricia Kimelemeta

KAMPUNI ya Ndege ya Precision air imeingia ubia na Kampuni ya Vodacom ili kuwawezesha abiria kuanza kununua tiketi za ndege za shirika hilo kwa kutumia M-Pesa.

Akizungumza na waandisi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Kifedha cha Vodacom Tanzania, Innocent Ephraim, alisema kuwa ushirikiano huo ni mwendelezo wa…

Continue

Added by Tulonge on August 31, 2012 at 9:28 — No Comments

Majina ya vituo vya "kuchimba dawa" kwa abiria wawapo safarini Tanzania

Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA) ilifanya kikao na wasafirishaji na kuweka mikakati ya utekelezaji wa agizo la Waziri wa Uchukuzi, Dkt. Harrison Mwakyembe katika Mkutano wa Nane wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2012 uliomalizika hivi karibuni mjini Dodoma, alipotangaza kukataza tabia ya abiria ya kushuka maporini na kujisaidia…

Continue

Added by Tulonge on August 31, 2012 at 8:30 — 1 Comment

Mbeya: Waliogoma kuhesabiwa washikiliwa na jeshi la polisi.

Pichani wananchi waliokataa kuhesabiwa mbele ya Mkuu wa Wilaya ya Mbarali Bwana Guram Hussein Kifu. katikati ni Kiongozi wa Mgomo Bwana Ally Mwangoto, kutoka dini ya Kiislamu wanaojiita wenye msimamo mkali wakiwa chini ya ulinzi katika mahabusu ya Afisa Mtendaji wa Kata ya Ruiwa,Wilaya ya Mbarali Mkoani Mbeya,wakisubiri kupelekwa Polisi…

Continue

Added by Tulonge on August 30, 2012 at 10:38 — No Comments

Polisi yasema: Aliye uawa Morogoro alipigwa na kitu kizito na siyo risasi.

Mwili wa mwana Chadema aliyedaiwa kuuawa kwa kupigwa na risasi kichwani.BAADA ya kufanyika kwa uchunguzi wa kitabibu kuhusu kifo cha mfuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Ally Zona, matokeo ya madaktari yamebaini jeraha lililosababisha kifo chake limetokana na kugongwa na kitu kizito na si risasi kama…

Continue

Added by Tulonge on August 30, 2012 at 10:30 — 3 Comments

Mimi sisemi lolote,napita tu...

Added by Tulonge on August 30, 2012 at 8:24 — 1 Comment

CHADEMA yaikalia kooni polisi kuhusu mauaji ya Morogoro

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema hakina imani na Tume iliyoundwa na Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) kuchunguza mauaji yanayodaiwa kufanywa na Polisi mkoani Morogoro wakati wa maandamano ya chama hicho.

Mkurugenzi wa Habari na Uenezi wa Chadema, John Mnyika alisema hayo jana Dar es Salaam wakati akitoa taarifa juu ya tukio la mauaji ya muuza magazeti…

Continue

Added by Belita on August 30, 2012 at 3:09 — 1 Comment

Mzungu akamatwa na kg 4 za Cocaine Kilimanjaro.

Polisi nchini inamshikilia raia wa Lithuania kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya aina ya kokeni.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana na Polisi Viwanja vya Ndege Dar es Salaam jana, anayeshikiliwa ni Christina Biskasevskaja (20) ambaye ni mwanafunzi, mwenye pasipoti namba LTY 231302121 iliyotolewa Lithuania Agosti 7.

Mshukiwa huyo alikamatwa katika Uwanja…

Continue

Added by Joan on August 30, 2012 at 3:00 — No Comments

Manyara: Polisi wampiga na kumjeruhi vibaya mtoto wa miaka 16.

• Wamshambulia kwa marungu na kumbana sehemu zake za siri hadi kutokwa na haja ndogo.

• Apoteza fahamu na kulazwa wodi ya wagonjwa mahututi.

Mtoto aliyepigwa na askari polisi hadi kupoteza fahamu,Kadogoo Kalanga(16)mkazi wa Orkesmet Wilayani Simanjiro akiwa katika chumba cha wagonjwa mahututi(ICU) ndani…

Continue

Added by Tulonge on August 30, 2012 at 2:28 — 5 Comments

Kenya: Walimu kuanza mgomo jumatatu

Mwenyekiti wa Umoja wa Walimu nchini Kenya(KNUT) Wilson Sossion akizungumza katika mkutano wao wa kujadili hatua mbambali za mgomo wao unaotaraji kuanza wiki ijayo nchini kote. KNUT walikutana Agosti 29,  2012 mjini Nairobi.…

Continue

Added by Tulonge on August 30, 2012 at 1:00 — No Comments

World's oldest woman celebrates 116th birthday

Jessica Mcgowan / Guinness World Records Besse Cooper celebrates her 116th birthday in Monroe, Ga., on Aug. 26, 2012. Her secrets? “I mind my own business. And I don’t eat junk food.”

She doesn’t look a day over 115.

Georgia woman Besse Cooper, the world’s oldest person, celebrated her 116th birthday on Sunday to become only…

Continue

Added by Tulonge on August 29, 2012 at 1:11 — 3 Comments

Songea: Mama na mtoto wake wa kumzaa waishi kama mume na mke.

Joseph Mapunda mwenye umri wa miaka 40 amesema ameweza kuishi kindoa na Mama yake Mzazi Condorada Ngonyani 70 baada ya yeye kukubaliana wenyewe yeye na mama yake mzazi kuishi kindoa kama mume na mke alipo ulizwa Mama alikiri kuwa kweli wameishi kindoa kwa miaka 10 na anampenda Mume wake ambaye ni Mtoto wake Joseph Mapunda.

Umati wa watu uliofurika kwa Mganga wa Jadi Flora…

Continue

Added by Tulonge on August 29, 2012 at 1:01 — 6 Comments

Kweli Bwana yu mwema, tazama mjengo wa Mama Lwakatale (MB)

Picha na taarifa via Rulea Sanga, RumaAfrica blog -- Mch. Mh. Getrude Pangalile Rwakatare siku ya Jumapili alikuwa anahamia rasmi katika nyumba yake mpya iliyoko Mbezi Beach jijini Dar es Salaam pembezoni mwa bahari ya Hindi.

Kabla ya kuhamia kwenye hekalu lake jipya, alikuwa akiishi Mikocheni B katika nyumba ya kifahari pia.

Waumini wa Kanisa hilo takribani 300…

Continue

Added by Tulonge on August 29, 2012 at 0:35 — 13 Comments

Yanga yatua bila Twite, kocha atamba

Wachezaji wa Yanga wakiteremka kutoka kwenye ndege baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere wakitokea Kigali, Rwanda jana. Picha na Doris Maliyaga

Sosthenes Nyoni

MABINGWA wa Kombe la Kagame, Yanga wamerejea nyumbani wakitokea ziarani Kigali, Rwanda bila ya beki wake mpya Mbuyu Twite anayetarajia kuwasili leo…

Continue

Added by Tulonge on August 28, 2012 at 7:03 — No Comments

CCM yawatosa vigogo watuhumiwa wa ufisadi

*KAMATI KUU YATOA TAMKO KUWAPONGEZA MAWAZIRI WALIOWAWAJIBISHA WATENDAJI WA MASHIRIKA YA UMMA

Raymond Kaminyoge

KAMATI Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM (CC), imewapongeza mawaziri kwa kuchukua hatua dhidi ya watendaji wanaotuhumiwa kwa vitendo vya matumizi mabaya ya ofisi za umma wakiwamo wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) na Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) na kuwataka waendelee na kasi hiyohiyo.

Pongezi hizo za Kamati Kuu zimetolewa baada ya kikao chake…

Continue

Added by Tulonge on August 28, 2012 at 6:57 — No Comments

Waliogomea sensa sasa kukiona cha moto.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadiki (pichani) amesema wanaogomea Sensa ya Watu na Makazi, watatambulika kwa namba za nyumba zao na baada ya siku saba baada ya sensa, watachukuliwa hatua za kisheria kwa kutenda kosa la jinai.Akizungumza na waandishi wa habari jana, Sadiki alisema wapo baadhi ya watu mitaani wamegoma kuhesabiwa na kufafanua kuwa…

Continue

Added by Tulonge on August 28, 2012 at 1:01 — No Comments

Monthly Archives

2014

2013

2012

2011

2010

1999

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*