Tulonge

August 2013 Blog Posts (119)

Video:Man born without hands designs and drives cars with his legs

Richie Parker, 30, grew up with a chorus of doubters telling him what he couldn’t do without hands – ride a bike, drive a car or find a good job. But Parker never listened, and today he drives his own car and is a respected engineer for NASCAR’s most winning organization, Hendrick Motorsports.

 

Scroll down for video…

He’s a number of things: car…

Continue

Added by Tulonge on August 31, 2013 at 23:45 — No Comments

Wabunge wataka mbio za mwenge zifutwe

MBIO za Mwenge wa Uhuru nusura ziahirishe shughuli za Bunge baada ya baadhi ya wabunge kutaka zifutwe na hoja hiyo ijadiliwe bungeni.…

Continue

Added by Tulonge on August 31, 2013 at 21:05 — 4 Comments

Bondia Francis Cheka amtwanga Mmarekani na kutwaa Ubingwa wa Dunia wa WBF

Mgeni Rasmi katika Mpambano wa Kimataifa wa kuwani Mkanda wa Ubingwa wa Dunia wa WBF,kati ya Mabondia Francis Cheka wa Tanzania na Phil Williams wa Marekani,Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo,Mh. Dkt. Fenella Mukangala (mwenye koti jeupe) akimvisha Mkanda wa Ubingwa huo,Bondia Francis Cheka baada ya kumshinda kwa Point Mpinzani…

Continue

Added by Tulonge on August 31, 2013 at 11:30 — No Comments

Tahadhari ya Wizara ya Maji juu ya utapeli wa kutumia simu, vyeo, majina ya viongozi

TAARIFA KWA UMMA

Kwa wiki kadhaa sasa, kumejitokeza wimbi la vitendo vya kitapeli la kutuma ujumbe mfupi wa maneno (SMS) pamoja na kupiga simu kwa baadhi ya Wakurugenzi Watendaji wa Mamlaka za Majisafi na Majitaka Mijini katika Mikoa mbalimbali wakijitambulisha wao ni Mhe Waziri wa Maji au Mhe. Naibu Waziri wa Maji na kuwa wanahitaji msaada wa fedha au wao wametumwa na vingozi hao.

Wizara ya Maji inapenda kuutaarifu Umma kuwa, watu hao ni matapeli na…

Continue

Added by Tulonge on August 30, 2013 at 22:32 — No Comments

Mwanajeshi JWTZ auawa Kongo

Mkuu wa Majeshi ya ulinzi,Jenerali Davis Mwamnyange

Mashirika. Mpiganaji wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania, JWTZ Khatibu Mshindo aliuawa kwa kupigwa bomu juzi na waasi wa M23 kwenye Mji wa Goma ulioko Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo baada ya kuzuka mapigano makali.

Wakati Mshindo ambaye alikuwa…

Continue

Added by Tulonge on August 30, 2013 at 6:40 — 4 Comments

Diamond amkabidhi Mzee Gurumo gari aina ya Funcargo

Diamond akimkabidhi funguo ya gari (Toyota Funcargo) Mzee Gurumo katika ukumbi wa Serena Hotel Dar es Salaam. Picha kwa hisani ya DJ Choka Blog

Tukio hili lilifanyika ukumbi wa Serena Hotel DSM wakati wa Diamond alipokua akizindua video ya wimbo wake mpya uitwao Number One. Diamond alisema alijisikia vibaya baada ya Mzee Ngurumo…

Continue

Added by Tulonge on August 30, 2013 at 1:00 — 6 Comments

Taarifa ya kifo cha askari wa Tanzania wa jeshi la MONUSCO nchini DRC

TAARIFA KUHUSU TUKIO LA KUFARIKI KWA AFISA WA JWTZ KATIKA JUKUMU LA KULINDA AMANI-DRC,GOMA

1. Kama mnavyofahamu, JWTZ linashiriki katika operesheni za Umoja wa Mataifa huko Goma DRC. Kikosi chetu kimeendelea kutekeleza majukumu yake ya kulinda amani kama kinavyopangiwa na Jeshi la Umoja wa Mataifa nchini DRC lijulikanalo kama MONUSCO.

 

2. Tarehe 28 Agosti 2013 Wanajeshi wetu wakiwa katika eneo lao la Ulinzi waliangukiwa…

Continue

Added by Tulonge on August 29, 2013 at 23:49 — No Comments

Saa 4 zawatenganisha pacha walioungana, mama wa mtoto atumia dk 30 kufanya maombi kabla ya kazi kuanza

Daktari Bingwa wa Watoto katika Hospitali ya Muhimbili, Profesa Karim Manji (wa pili kushoto) akifurahia na wenzake baada ya kufanikiwa kwa operesheni ya kuwatenganisha watoto walioungana, kazi iliyofanywa na jopo la madaktari bingwa saba kwa saa 4. Picha na Michael Jamson

 Dar es Salaam. Jopo la Madaktari Bingwa Saba wa Hospitali…

Continue

Added by Tulonge on August 29, 2013 at 21:30 — 3 Comments

Video: Mashuduha waelezea tukio la Majambazi kupora fedha Benki ya Habib African Kariakoo leo

Majambazi wapatao saba akiwemo mmoja alivaa sare za jeshi la polisi Tanzania wamepora mamilioni ya fedha zikiwemo dola za marekani 181,885 katika benki ya Habibu African Bank iliyopo mtaa wa Livingistone na Uhuru Karikaoo Jijini Dar es salaam na kutokomea kusikojulikana.

 

Itv ilifika katika benki ya Habibu African Bank Ltd…

Continue

Added by Tulonge on August 29, 2013 at 21:23 — 2 Comments

Pumzika kwa Amani Askofu Moses Kulola

Askofu Mkuu wa Evangelistic Assemblies God Tanzania, Moses Kulola amefariki dunia.

Kwa mujibu wa taarifa za kuaminika ambazo Gospel Kitaa imezipata kutoka kwa watu wa ndani wa familia hiyo, Askofu Kulola amefariki katika hospitali ya AMI (African Medical Investments) iliyopo Slipway jijini Dar es Salaam.

Askofu Kulola, ambaye amezaliwa mwaka…

Continue

Added by Tulonge on August 29, 2013 at 15:30 — 5 Comments

Siri zaidi za jengo lililo jirani na Ikulu zaanikwa mahakamani

Imeandikwa na Happiness Katabazi, TanzaniaDaima — SHAHIDI wa  tatu katika kesi ya matumizi mabaya ya madaraka katika ujenzi wa jengo la ghorofa 18, lililo karibu na Ikulu, Saimon Maembe ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa Manispaa ya Ilala iliwanyima kibali washtakiwa katika kesi hiyo cha kuongeza idadi ya ghorofa kwenye juu.Kesi hiyo inawakabili vigogo wawili wa Wakala wa Majengo (TBA) ambao ni…
Continue

Added by Tulonge on August 29, 2013 at 15:22 — 2 Comments

Mtoto ang'olewa macho Uchina

Polisi nchini Uchina imetangaza kuwa itatoa zawadi kwa yeyote atakayetoa habari zitakazowasaidia kumkamata mama mmoja ambaye anashukiwa kumng'oa macho mvulana mwenye umri wa miaka sita.

Shambulio hilo linasemekana kutokea tarehe ishirini na nne mwezi huu katika eneo na Fenxi, iliyoko katika mkoa wa Shanxi.

Mvulana huyo anasemekana alikwenda…

Continue

Added by Tulonge on August 28, 2013 at 23:30 — 10 Comments

Kumbe! Jeuri , kiburi cha Kagame vinatoka kwa wakubwa!

Aliyekuwa Rais wa Marekani Bill Clinton, hivi majuzi amemtetea Kagame kutokana na tuhuma zinazomkabili za kuwasaidia waasi wa M23 nchini DRC.

 

Kwa muda wa miezi takriban minne kumekuwa na maneno ya kejeli kutoka kwa Serikali ya Rwanda na kwa hakika maneno hayo yanatoka mdomoni mwa Rais Paul Kagame na maofisa wa ngazi za juu katika Serikali…

Continue

Added by Tulonge on August 28, 2013 at 23:17 — 3 Comments

Basi hili unaweza kupanda bila nauli ila utasaini ulipe siku nyingine...

Kaka Beda Msimbe mmiliki wa blogu ya Lukwangule Entertaiment akiwa nje ya basi anasema, “Jamani nimekutana na basi lenye namba za kisasa muundo wa mwaka arobaini na saba. Nimeambiwa kwa wenyeji wa Songea ni kama alama vile. Hili basi unaweza kulipanda bila kuwa na fedha kuna kitabu maalumu unasaini ukirejea unaweza kulipa kwa fedha au hata kwa kuku. Likienda mjini ujuwe…

Continue

Added by Tulonge on August 28, 2013 at 22:55 — 3 Comments

Askofu Dk Shao akosoa desturi ya Wachagga ya kuzikana majumbani

Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Kaskazini, Dk Martin Shao, amekosoa utamaduni wa wakazi wa mkoa wa Kilimanjaro, ambao wengi ni Wachaga, wa kuzikana nyumbani (vihamba) na kusema ni utaratibu wa hovyo.

Akifafanua kauli hiyo juzi, Askofu huyo alielezea hofu ya kupotea kwa mashamba ya mibuni mkoani humo, kutokana na utamaduni uliosababisha ongezeko la makaburi kwenye mashamba hayo.

“Naomba Serikali mkoani, iweke utaratibu wa…

Continue

Added by Tulonge on August 28, 2013 at 22:41 — 2 Comments

Lukuvi: Wabunge wengi wamo kwenye orodha ya dawa za kulevya

Dodoma. Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), William Lukuvi amesema baadhi ya majina ya wabunge yametajwa miongoni mwa watu wanaoshukiwa kujihusisha na biashara ya dawa za kulevya lakini Serikali haiwezi kuwataja hadharani kwa haraka.

 

Majibu hayo ya Waziri Lukuvi yamekuja baada ya wabunge kumbana na wengine wakizomea…

Continue

Added by Tulonge on August 28, 2013 at 2:30 — 2 Comments

Teh teh teh!! 'Night Shift' ni balaa, ona kilichomtokea huyu dada

Sleeping On duty call center agent which is very humorous and this guard funny duty make smile laugh to say it happens only in South Africa.

Added by Tulonge on August 28, 2013 at 2:19 — 2 Comments

Gonjwa lampelekea mtoto wa miaka 14 kuwa na mwili wa mzee

Progeria kama ujulikanavyo kwa kimombo, ni ugonjwa unaomfanya mwili akue kiumri haraka mara 8 zaidi ya ukuaji wa kawaida wa mwanadamu. Pichani ni mtoto Ali Hussain (14) aishie India na wazazi wake ambao wamehangakaika sana juu yake bila mafanikio. Ugonjwa huwapata watu mara chache sana Duniani. Ni takribani watu 80 wameugua ugonjwa huu Dunia nzima. Pia…

Continue

Added by Tulonge on August 28, 2013 at 1:54 — 1 Comment

Video:Jinsi Moto ulivyo teketeza Baa ya Samaki Samaki Mbezi Beach

Moto mkubwa umeteketeza jengo la baa ya Samaki Samaki Mbezi Beach Jijini Dar Es Salaam na kuleta taharuki kwa wamiliki wa majengo jirani jijini Dar es salaam.

Kwa mujibu wa mashuhuda,moto huo ulioanza majira ya saa tano umelipuka gafla na kusambaa mara baada ya tingatinga lililokuwa likibomoa kupisha njia ya ujenzi wa bomba kuu la…

Continue

Added by Tulonge on August 28, 2013 at 0:28 — No Comments

Bondia maarufu Duniani Francis Botha pamoja na Rais wa WBF wawasili nchini

Mgeni rasmi katika mpambano wa Kimataifa wa Ubingwa wa WBF Bondia bingwa wa Dunia wa Uzito wa Juu Zamani, Francois Botha 'Wwite Buffalo' katikati baada ya kupokelewa alipowasili katika uwanja wa kumataifa wa Julius Nyerere Dar es salaas leo wengine kushoto ni Raisi wa TPBO Yassini Abdalla na Rais wa World Boxing Federation ,Howard Goldbeg pamoja na…

Continue

Added by Tulonge on August 28, 2013 at 0:19 — No Comments

Monthly Archives

2014

2013

2012

2011

2010

1999

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*