Tulonge

September 2013 Blog Posts (93)

Wakazi Dodoma waandamana kupinga agizo la CDA la kuwataka kubomoa nyumba zao.


Zaidi ya wakazi 3,500 kutoka kata za Kikuyu kusini na Kilimani manispaa ya Dodoma wamefanya maandamano kupinga agizo la mamlaka ya ustawishaji makao makuu Dodoma -CDA la kuwataka kubomoa nyumba zao ndani ya siku saba kwa madai kuwa wamevamia eneo hilo ambalo wanasema wameishi zaidi ya miaka 40 hata kabla ya kuanzishwa kwa CDA.

Added by Tulonge on September 30, 2013 at 23:56 — 1 Comment

Mbunge 'tozi' wa Kenya Mike Sonko alivyojichanganya kwenye tukio la Westgate Mall kuokoa Mateka(picha 4)

Nairobi senator Mike Sonko was in the front line to help victims at Saturday's Westgate terror attack.

The flamboyant politician had a military bulletproof vest, and the kind of headgear worn by anti-riot police.

Where did he get them from? Good question…

Continue

Added by Tulonge on September 30, 2013 at 21:52 — No Comments

JK: Wanaomwagia watu tindikali tutawakomesha

RAIS Jakaya Kikwete amesema Serikali yake imedhamiria na itahakikisha inalimaliza tatizo la watu kumwagiwa tindikali, iwe ni Visiwani Zanzibar au Tanzania Bara. Katika kukabiliana na tatizo hilo, Rais Kikwete amesema hivi karibuni Jeshi la Polisi lilifanya operesheni katika mitaa ya Zanzibar na kukamata watu 10 wanaodaiwa kushiriki katika mipango ya kuandaa na kutekeleza…

Continue

Added by Tulonge on September 30, 2013 at 5:00 — No Comments

Grace Aikaeli Mbowe na mumewe wafariki kwa ajali ya gari Kabuku Tanga

Grace Aikaeli Mbowe (kushoto) wakati akijiunga na CCM akitokea Chadema mwezi Agosti mwaka huu.

Na Mashaka Mhando,Korogwe…

Continue

Added by Tulonge on September 30, 2013 at 4:30 — 3 Comments

Majambazi saba wameteka benki Dar es Salaam


Majambazi saba akiwemo mmoja ambaye amevalia sare za polisi wameiteka benki ya I&M jijini Dar es Salaam na kuchukuwa fedha zinazohisiwa kuwa ni zaidi ya shilingi milioni 150 na kutokemea kusikojulikana.

Added by Tulonge on September 29, 2013 at 10:30 — No Comments

Video: NTV yafanya mahojiano na yule shujaa aliyaokoa mateka wengi ndani Westgate Mall

Former Defense Minister Yusuf Haji's son Abdul Haji was photographed rescuing many victims of the Westgate attack. He told NTV's Mark Masai and Smriti Vidyarthi about how he got to the Mall and helped rescue many civilians.

Added by Tulonge on September 28, 2013 at 22:54 — 1 Comment

Serikali imeyafungia magazeti Mtanzania na Mwananchi

Serikali imeyafungia  kutochapishwa Magazeti ya MWANANCHI na MTANZANIA kuanzia

27 Septemba,2013  kutokana na mwenendo wa magazeti hayo kuandika habari

na makala  za uchochezi na uhasama kwa nia ya kusababisha wananchi

wakose imani kwa vyombo vya dola hivyo kuhatarisha amani na mshikamano

ulipo nchini.…Continue

Added by Tulonge on September 28, 2013 at 22:40 — 2 Comments

Video: Ujasiri Wa Mpiga Picha Joseph Mathenge ndani ya Westgate MallMatukio ndani ya jumba la kibiashara la Westgate yamesalia tu mingong'ono na kubahatisha huku waandishi wa habari wakiwekwa mbali kabisa na eneo la mkasa. Lakini kiza hicho kimekatizwa na ujasiri wa mkenya mmoja, Joseph Mathenge, ambaye alihimili milio ya risasi ili kuweza kunasa picha za video na zinginezo ambazo zimejuza ulimwengu mzima jinsi mambo yalivyokuwa ndani ya…

Continue

Added by Tulonge on September 26, 2013 at 23:49 — No Comments

Chama chadhamiria kuwaburuta ICC Marais wastaafu Mkapa na Karume

CHAMA cha National League for Democracy (NLD) kimesema kuwa kina dhamira ya kuwafikisha kwenye Mahakama ya Kimatifa ya Makosa ya Jinai (ICC) huko The Hague, Uholanzi marais wastaafu; Benjamin Mkapa na Amani Karume.

 

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na chama hicho mjini Zanzibar, marais hao wanadaiwa kutumia nguvu kubwa za kijeshi na kusababisha vifo vya wato 60 kisiwani Pemba mwaka 2001 wakiwa madarakani.

 

Naibu Katibu Mkuu wa NLD Zanzibar, Khamis Haji Mussa…

Continue

Added by Tulonge on September 26, 2013 at 23:41 — No Comments

Watu watatu wafariki dunia katika ajali Mbeya

Watu watatu wamekufa papo hapo kufuatia ajali mbaya iliyotokea katika mlima inyara wilayani mbeya ikihusisha malori matatu ambayo yamegongana yakiwa kwenye mwendo mkali na kisha kulipuka moto.

Added by Tulonge on September 26, 2013 at 23:00 — 1 Comment

Babu wa Loliondo aitabiria makubwa Tanzania

MCHUNGAJI Ambilikile Mwaisapila wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) amesema Mungu ameendelea kujifunua kwake na kumuonyesha kuwa Tanzania itakuwa kioo cha Afrika na baadaye kioo cha dunia.

Ametoa kauli hiyo jana asubuhi (Jumanne, Septemba 24, 2013) mbele ya Waziri Mkuu Mizengo Pinda wakati akizungumza na wakazi wa kijiji cha Samunge, wilayani…

Continue

Added by Tulonge on September 25, 2013 at 17:14 — 1 Comment

Rais Obama amimina pongezi kwa Tanzania

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Rais Obama amimina pongezi kwa Tanzania

<·       

Amkumbatia Rais Kikwete akimwita “kaka na…
Continue

Added by Tulonge on September 25, 2013 at 8:30 — No Comments

"Wewe ni mtu mbaya, tuache tuondoke" Mtoto (4) amchimba mkwara gaidi 'live' ndani ya Westgate Mall

Elliot (4) kushoto akiwa na dada yake Amelie(6) baada ya kutoka nje ya jengo

Hapa ndipo utaamini kuwa mwanaume ni mwanaume tu. “You’re a bad man, let us leave", hayo ni maneno ambayo mtoto Elliot (4) alimtamkia gaidi ambaye alikua ameshika bunduki(AK47) mbele yake wakiwa ndani ya Wesgate Mall katika tukio la shambulizi la kigaidi…

Continue

Added by Tulonge on September 25, 2013 at 7:45 — 14 Comments

Watu wawili wakamatwa wakiwa na maiti iliyokutwa na dawa za kulevya

Kufuatia kuongezeka kwa wimbi la madawa ya kulevya nchini jeshi la polisi kanda maalumu ya Dar es Salaam limewatia mbaroni watu wawili wakiwa na maiti iliyokutwa na dawa za kulenya aina ya heroine pipi 33 zenye thamani ya mamilioni ya shilingi.

Added by Tulonge on September 24, 2013 at 23:30 — No Comments

Bondia Francis Cheka kupewa cheo cha Waziri wa michezo ktk chuo cha St Joseph School Morogoro atakapoanza masomo

Bingwa wa dunia mkanda wa WBF uzani wa Super Middle, Francis Cheka ‘SMG’ akiwaonyesha mashabiki mkanda wa ubingwa huo waliojitokeza kando ya barabara eneo la stendi kuu ya daladala wakati wa mapokezi yake baada ya kumtwanga bondia Phil Williams wa Marekani jijini Dar es Salaam hivi karibuni.

Na Juma Mtanda, Morogoro.

BINGWA wa…

Continue

Added by Tulonge on September 24, 2013 at 22:20 — No Comments

Video:Rais Kenyatta atangaza mwisho wa zoezi la kupambana na magaidi Westgate Mall

Dondoo za hotuba ya Rais Kenyatta

-Magaidi watano wameuawa

-Wanajeshi watatu wa KDF (Kenya Defence Forces) wameuawa

-11 washikiliwa kwa mahojiano kuhusu tukio hilo

-Atangaza siku tatu za maombolezo kuanzia kesho

-Wanausalama 6 wameuawa

-62 wajeruhiwa na wanaendelea na matibabu

-Zaidi ya milioni 60 za Kenya zachangwa ksaidia katika tukio…

Continue

Added by Tulonge on September 24, 2013 at 22:00 — 2 Comments

Huyu ndiye mwanamke aliyefananishwa na gaidi Samantha Lewthwaite akitoroka kiujanja eneo la Westgate Mall

Yasemekana alitoroka akiwa mbele ya macho ya vikosi vya ulinzi vya kenya bila wao kumtambua.

Habari hii imeandikwa kwenye tovuti ya The Kenyan Daily Post ikidai kuwa huyu ndiye Samantha Lewthwaite ambaye ni gaidi wa kike ambaye alitoroka kwa ujanja wa kumsaidia mateka mmoja bila vikosi vya ulinzi vya Kenya kutamtambua. Alipohakikisha jengo lipo katika himaya ya vijana…

Continue

Added by Tulonge on September 24, 2013 at 13:00 — 7 Comments

Zanzibar: Jaribio la kulipua eneo la biashara lashindikana

Watu wasiofahamika bado, usiku wa kuamkia jana Jumatatu walitupa kitu kinachosadikiwa kuwa bomu lililokuwa katika mfano wa 'sausage' karibu na eneo la biashara kando ya Barabara ya Darajani mjini Zanzibar.Msaidizi wa Kamishna wa Polisi wa Mkoa wa Mjini Magharibi Zanzibar Mkadam Khamis Mkadam akizungumza na waandishi wa habari ofisini…

Continue

Added by Tulonge on September 24, 2013 at 12:30 — 2 Comments

Majina ya magaidi 6 wanaoshukiwa kushambulia Westgate Kenya

Majina haya yameripotiwa na kituo cha Televisheni cha K24 huko Kenya bila kueleza chanzo cha upatikanaji wa majina haya. Hawa ni baadhi kati ya magaidi wote

Added by Tulonge on September 24, 2013 at 11:00 — 7 Comments

Tanzania yajipanga kufuatia taarifa za Al Shabaab kujiandaa kushambulia Tanzania na Uganda

Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai (DCI), Robert Manumba.

Dar es Sakaam/Nairobi. Wakati wa Jeshi la Polisi la Tanzania likisema linafuatilia taarifa za vitisho za kundi la Al-Shabaab la Somalia za kushambulia, Mtanzania mmoja, Vedasto Nsanzugwanko ambaye alijeruhiwa kwenye shambulio la Kenya ameelezea…

Continue

Added by Tulonge on September 24, 2013 at 9:30 — 7 Comments

Monthly Archives

2014

2013

2012

2011

2010

1999

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*