Tulonge

October 2012 Blog Posts (126)

Angalia picha hizi(4), Umemuona Mwenye Karatasi Mkononi???

Jamaa wa Korea

Angalia picha hizi utamuona, hii sio mara yake ya kwanza kubeba makaratasi mkononi anapokuwa na maongezi ya faragha na viongozi ziarani magharibi. Hawa wote ni viongozi wa nchi za nje walikutana USA kwenye mkutano wa kimataifa, viongozi wote walipata fursa kutana na Obama kwa muda wa dakika chache tu lakini wa TZ hadi alibeba…

Continue

Added by Mama Malaika on October 31, 2012 at 8:00 — 14 Comments

Mbeya: Mwanafunzi wa Darasa la 3 ajinyonga kwa kamba ya viatu

Mwili wa Mwanafunzi wa darasa la tatu, Shule ya Msingi Iwambi, Jijini Mbeya Kervin Patrick (8) jinsi ya kiume ukiwa umefunikwa baada ya kufariki dunia kutokana na kujinyonga kwa kutumia kamba ya viatu katika bomba ya maji nje ya nyumba yao.

Na Ezekiel Kamanga, Mbeya.

Mwanafunzi wa Shule ya Msingi Iwambi, darasa la tatu Kervin Patrick (8)…

Continue

Added by Tulonge on October 30, 2012 at 23:59 — 7 Comments

Watuhumiwa wa uchomaji makanisa Mbagala wapandishwa tena kizimbani

Baadhi ya watuhumiwa 47 waliyofikishwa kizimbani wakiwa ndani ya mahakama.

Na Musa Mateja

WATUHUMIWA 47 wanaokabiliwa na kesi ya kuharibu na kuchoma moto makanisa wakati wa vurugu za baadhi ya waumini wa dini ya Kiislamu Mbagala, leo wamepandishwa tena kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na kusomewa…

Continue

Added by Tulonge on October 30, 2012 at 16:52 — 6 Comments

Serikali yaridhia Wafanyakazi kujitoa kwenye Mifuko ya Jamii

Imeandikwa na Maulid Ahmed, Dodoma via HabariLeo

BAADA ya wafanyakazi na baadhi ya wabunge kulalamikia Sheria ya Hifadhi ya Jamii ya mwaka 2012 inayozuia mwanachama kujitoa kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii, Serikali imeridhia wafanyakazi kujitoa kwenye mifuko hiyo na kupewa mafao yao kama ilivyokuwa awali.

Chanzo cha habari kutoka serikalini, kimebainisha kuwa katika mkutano wa tisa wa Bunge la 10 unaoanza leo, Serikali itawasilisha tamko lake la kuruhusu fao hilo la…

Continue

Added by Tulonge on October 30, 2012 at 7:00 — 2 Comments

Singida: Mtoto wa miezi 4 afariki baada ya kukeketwa

Na Nathaniel Limu

Mtoto mmoja mwenye umri wa miezi minne amepoteza maisha baada ya kukeketwa, akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake tarehe 28/10/2012, kamanda wa polisi mkoa wa Singida, Linus Sizumwa, alimtaja mtoto huyo wa kike aliyefariki dunia baada ya kukeketwa, kuwa ni Shamila Saidi.

Alisema tukio hilo la kinyama na la kusikitisha, limetokea oktoba 27 mwaka huu saa kumi alfajiri, huko katika kijiji cha Mwanyonyi tarafa ya Ilongero jimbo la Singida…

Continue

Added by Tulonge on October 30, 2012 at 6:58 — 1 Comment

Wazee wawili wambaka mjukuu wao wa miaka 11

Kamanda Charles Kenyela.

Mtoto wa miaka 11 aliyekuwa anasoma Darasa la Sita katika Shule ya Msingi ya Mbezi wilayani Kinondoni mkoani Dar es Salaam, amedaiwa kubakwa na babu zake wawili wenye umri wa zaidi ya miaka 50.

Kutokana na hali hiyo, mama wa mtoto huyo (wote majina tunayo), anatishiwa maisha na ndugu wa mwanamume aliyezaa naye…

Continue

Added by Tulonge on October 29, 2012 at 23:53 — 4 Comments

Picha 9 za usafiri wa treni ulioanza leo jijini Dar es Salaam

Hatimaye ile ahadi ya Waziri wa Uchukuzi, Dkt. Harrison Mwakyembe kuhusiana na kuanzishwa kwa usafiri wa daladala za treni jijini Dar es Salaam utakaoanza Oktoba mwaka huu, imeanza kutekelezwa leo asubuhi na wananchi mbalimbali wakanufaika na huduma hiyo kwa usafiri kati ya Ubungo Maziwa na Posta, Stesheni kwa reli ya TRL.…

Continue

Added by Tulonge on October 29, 2012 at 22:00 — 7 Comments

Mbinu mpya ya bei nafuu kupima HIV

Ikiwa mtu anavirusi rangu ya kifaa inabadilika kuwa buluu na ikiwa hana rangi unakuwa nyekundu

Aina mpya mbinu ya kuchunguza na kuona hata viwango vya chini vya virusi na hata aina ya saratani imezinduliwa na watafiti nchini Uingereza.

Utafiti huo unahusu majimaji ambayo hubadilika rangi kuonyesha ikiwa mtu ameathirika au…

Continue

Added by Tulonge on October 29, 2012 at 15:49 — 4 Comments

Walichojibu P.Square juu ya tuhuma za kuhusika na kifo cha Mama yao ili kujiongezea umaarufu na utajiri

Below is how they responded to the issue:

  1. “We feel so bad to know that our mum is no more. But who are we to question the Almighty God. Traditionally, we are supposed to bury her and not the other way round. It is just that it happened so soon. Indeed, her death was a big blow to us.
  2. “Then, it is too bad to hear that people are accusing us of…
Continue

Added by Tulonge on October 29, 2012 at 10:48 — 7 Comments

Dovutwa asema: Rais Kikwete ajiuzulu, TAKUKURU ifutwe

Imenukuliwa kutoka kwenye gazeti la MTANZANIA

MWENYEKITI wa Chama cha United Peoples’ Democratic (UPDP), Fahmi Dovutwa, ametoa kauli yenye ukakasi kwa Rais Jakaya Kikwete, akimshauri ajiuzulu urais. Dovutwa alisema, Rais Kikwete hana sababu za kuendelea kubaki tena madarakani, kwa madai kuwa…

Continue

Added by Tulonge on October 29, 2012 at 9:38 — 1 Comment

Taarifa ya Wanaharakati juu ya Gazeti la MwanaHalisi

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU HATIMA YA MWANAHALISI 

28 Oktoba 2012

Mtandao wa Watetezi wa Haki za Bidamu (THRD-Coalition), wadau wanaounda mtandao huu na mwanachama mwanzilishi wa Mtandao likiwa  ni shirika lenye  majukumu ya  ya kutetea uhuru wa habari kusini mwa Afrika (MISA-Tan) tunaendelea kwa pamoja kuonyesha kusikitishwa kwetu kwa kufungiwa kwa gazeti la Mwanahalisi.Kwa mara kadhaa sasa tunawakutanisha…

Continue

Added by Tulonge on October 29, 2012 at 9:37 — No Comments

Disadvantages Of Being Handsome. Kazi kwenu ma-hb

1. Gays- Gay men stare at men the way men stare at women. It's annoying and infuriating and makes me want to fight but I'm not an so i refrain. Either way the worst part about it is gay men staring or trying to talk to you. So when a guy you think is straight glances at your arm or chest. Abomination

2. Older Women- Older women are pushy and aggressive and…

Continue

Added by Tulonge on October 29, 2012 at 9:30 — 8 Comments

Jumba alimofia Michael Jackson lapata mnunuzi

Jumba ambamo Mfalme wa Pop duniani, Michael Jackson alifia sasa iko mnadani na unakaribiwa kufungwa ... imefahamika ... na mnunuzi alikuwa na wasiwasi, anahamia humo wiki chache zijazo kabla ya tarehe iliyopangwa ya mnada huo kufungwa.

Mnunuzi huyo ni Steven Mayer, mwekezaji tajiri mno wa benki. Vyanzo vya habari vimesema bei ya kununulia ilikuwa kati ya Dola za…

Continue

Added by Tulonge on October 28, 2012 at 23:45 — 1 Comment

Mmemuona Elizabeth Michael "Lulu" alipotokea?

Huku ndipo Lulu alipotokea, anaonekana kinda kabisa. Kwa sasa bado anakabiliwa na kesi ya kumuua aliyekua msanii mwenzake wa filamu Steven Kanumba.

Added by Tulonge on October 28, 2012 at 23:40 — No Comments

TAKUKURU ndiyo vinara wa rushwa !

Habari hii imeandikwa na Happiness Mnale via Tanzania Daima

WABUNGE wameigeuzia kibao Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kuwa ndiyo inaongoza kwa vitendo vya rushwa.

Wakizungumza kwa jazba jana jijini Dar es Salaam katika semina ya siku moja iliyoandaliwa na Umoja wa Mataifa, ikiwa ni harakati ya mapambano ya rushwa, wabunge hao waliwashutumu vikali watendaji wa…

Continue

Added by Tulonge on October 28, 2012 at 19:30 — 4 Comments

Marehemu Kamanda Barlow na tu-utajiri twake

SIKU chache baada ya Jeshi la Polisi kutoa taarifa yake ya uchunguzi kuhusu kifo cha aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Liberatus Barlow, umeibuka utata wa mali alizokuwa akimiliki, huku akidaiwa kumiliki utajiri wa kutisha likiwamo jengo la ghorofa.Habari za kiuchunguzi zilizopatikana zinaeleza kuwa mbali ya jengo hilo, Kamanda Barlow anadaiwa pia kumiliki magari zaidi ya saba yakiwamo malori mawili aina ya Fuso, malori mawili ya mchanga, gari dogo aina ya Toyota Cresta…

Continue

Added by Tulonge on October 28, 2012 at 19:30 — 1 Comment

SUMATRA yaridhia nauli za treni Dar ya 400/- na 500/-

USAFIRI wa treni ndani ya jiji la Dar es Salaam unaanza rasmi kesho huku Serikali ikiwa imetoa msimamo wa nauli zitakazotozwa kwa safari moja kuwa ni Sh 400 kwa reli ya Kati na Sh 500 kwa ya Tazara.

Msimamo huo umetokana na uamuzi wa Mamlaka ya Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA) kupunguza kati ya Sh 200 na Sh 300 kutoka katika nauli zilizopendekezwa awali na waendesha huduma ya usafiri huo ambazo ni Sh 700 kwa treni ya Kati na Sh 800 kwa ya…

Continue

Added by Tulonge on October 27, 2012 at 20:27 — No Comments

41 wauawa msikitini nchini Afghanistan

Takriban watu arobaini na moja wameuawa na wengine arobaini kujeruhiwa katika shambulizi la bomu lililotokea nje ya msikiti katika eneo la Maymana.

Shambulio hilo lilitekelezwa nje ya msikiti waumini walipokuwa wakishereheka siku kuu ya Eid al-Adha.

Afisaa mmoja katika mkoa huo alisema kuwa gavana wa eneo hilo pamoja na mkuu wa polisi walikuwa ndani ya smikiti huo…

Continue

Added by Tulonge on October 26, 2012 at 16:00 — 1 Comment

Eid Mubarak wana tulonge wote

Added by Tulonge on October 26, 2012 at 8:32 — 2 Comments

Monthly Archives

2014

2013

2012

2011

2010

1999

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*