Tulonge

November 2011 Blog Posts (34)

Uchaguzi mkuu nchi ya Kongo bado ni utata na ufisadi wa hali ya juu!

 

Added by Gratious Kimberly on November 30, 2011 at 14:02 — No Comments

Huyu naye sijui alitumwa na Wathungu aongee hivi...au biasharasha ya net??????? Ruhksa!!

Haya naomba wadau sikilizeni hii....alafu tujiulize...eti mtoto wake  mmoja alifariki na Maralia baada ya kuugua  miezi 3   na wa pili baada ya siku 50.....??!!   Kweli maralia inaweza kuvumilia mtu bila matibabu kwa siku 90 au mwezi 1 na siku 20?!!!....alafu anasema ...tutumie chandarua........!!...Wangapi wana chandarua lakini wamepatwa na maralia.....au tutembee nazo?   Badala ya kuongelea chanjo .., dawa, kinga, au kutokomeza madimbwi yaliyosimama( maji hayatiririki) ana-advitise…

Continue

Added by Gratious Kimberly on November 29, 2011 at 2:30 — 4 Comments

"The Legacy of Julius Nyerere" - 3/3

Jembe hiloo!!! CCM ..., CHADEMA,  CUF; TLP...na wengineo...yote ni matunda ya jembe!!!!!!

Added by Gratious Kimberly on November 29, 2011 at 1:54 — No Comments

CCM njia panda

CHADAIWA KILIKURUPUKA KUJIVUA GAMBA, SASA KIMEKWAMA 
Claud Mshana 
WAKATI CCM imemaliza vikao vyake  vikuu vya maamuzi mjini Dodoma juzi bila kufikia kikomo cha dhana yake ya kujivua gamba, wasomi, wanaharakati nchini  wamedai chama hicho tawala kilikurupuka ndiyo maana imeshindwa kutekelezeka.
 
Wakizungumza na gazeti hili kwa nyakati tofauti jana, wasomi, wanaharakati na  wanasiasa  hao walisema  kuwa, chama hicho hakikufanya utafiti wa kina…
Continue

Added by Tulonge on November 27, 2011 at 7:36 — 3 Comments

Kumbe kijana huyu anaweza ku-flow rymes...Alafu eti Binti Lulu anamtaka kwa hali na mali....Maweeeeee!!!!

Run up my enemies,.. see if they remember me,  soon they remember me, I wipe away the memory.......!!!!!! oooops.....dope!

Added by Gratious Kimberly on November 25, 2011 at 9:35 — 1 Comment

The Legacy of Nyerere 2/3

Added by Gratious Kimberly on November 24, 2011 at 23:31 — 1 Comment

The Legacy of Nyerere 1/3...akiwa ni Mtanzania wa kwanza kwenda kusoma nje!!!

God save the queen will be replaced by " God save Africa"....Freeeeeeeeedom!!

Added by Gratious Kimberly on November 24, 2011 at 5:40 — 5 Comments

Ambassodors of Christ choir kutia timu Bongo

Kwaya ya kisabato toka Kigali Rwanda inatarajia kufanya ziara Bongo na kutangaza injili ya Bwana katika ukumbi wa Diamond Jubilee siku ya tarehe 4/12/2011 kuanzia saa 7 mchana. Kiingilio ni sh 20,000 (VIP), SH 10,000/5,000 (Kawaida). Kwaya hiyo ambayo imetamba na nyimbo zake nzuri ikiwemo kwetu pazuri imekuwa na mafanikio makubwa toka kuanzishwa kwake ,ona hapo…

Continue

Added by Tulonge on November 23, 2011 at 18:46 — 4 Comments

Wadau wa Tulonge Mnasemaje Kuhusu Huyu Mama?

 

Nimesoma habari hii gazetini nikaona nichangie na wadau wa Tulonge. Mume wa mama huyu kamsifia mkewe kuwa ingawa ni mnene kuzidi wanawake wote duniani na kavunja Guinness World Record lakini inapokujakwenye masuala ya kitandani "kufanya tendo la ndoa" mwanamke huyu ni hodari na hatari. Ama kweli waswahili wanasema…

Continue

Added by Mama Malaika on November 23, 2011 at 7:56 — 18 Comments

Kings of the World – Rich Living Monarchs and their Royal Residences

Samahani wadau  kwa lugha ya Kingereza hapa

Uneasy lies the head that wears the crown” – so goes this age-old proverb. However, it is not just uneasiness in store for a monarch. Emperors globally have enjoyed and continue to enjoy luxurious lifestyles. Some even have 13…

Continue

Added by Gratious Kimberly on November 23, 2011 at 1:00 — 1 Comment

Rais Kikwete akubali kukutana na Chadema

AAGIZA WAPANGIWE SIKU YA KUKUTANA IKULU,CCM NGOMA NZITO

RAIS Jakaya Kikwete amekubali kukutana na viongozi wa ngazi za juu wa Chadema kusikiliza madai yao juu ya Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Katiba wa mwaka 2011, uliopitishwa bungeni juma lililopita.Taarifa iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu jana jioni ilieleza kuwa Rais amelipokea ombi…

Continue

Added by Tulonge on November 23, 2011 at 1:00 — 8 Comments

Bomani: Gamba litapasua CCM

WAKATI mfululizo wa vikao vya CCM vya Kamati ya Maadili, Kamati Kuu (CC) na Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC), vinaanza leo Mjini Dodoma, Mwanasheria Mkuu wa zamani wa Serikali, Jaji Mark Bomani amekitaka chama hicho kuachana na mpango wa kujivua gamba akisema utakipasua.

 

Moja ya agenda kubwa na ambayo imekuwa ikiwasumbua makada, wafuasi na hata wapinzani wa…

Continue

Added by Tulonge on November 21, 2011 at 4:30 — No Comments

Nyerere alishikwa hasira zaidi juu ya telegram aliyotumiwa na nduli Iddi Amini

Katika barua hiyo Dada alimmwambia mchonga hivi : "Nataka nikuhakikishie kwamba nakupenda saana, na  kama ungelikua mwanamke basi ningefikiria jinsi ya kukuoa japo kichwa chako kimejaa mvi. Lakini kwakuwa wewe ni mwanaume basi uwezekano huo haupo"............. Kwa Kashfa hii Nyerere hakujibu kitu maana alijua siku ya huyu mshenzi inakaribia.…

Continue

Added by Gratious Kimberly on November 17, 2011 at 20:30 — 13 Comments

TUKUMBUKE SIKU ZA ZAMANI KIDOGO NYINGINE NAWAPOSTIA KARIBUNI !!!!!

Added by Gratious Kimberly on November 17, 2011 at 4:30 — No Comments

Hii ni adhabu aliyopewa mtoto wa miaka 8 baada ya kuiba mkate sokoni

Binadamu inabidi tuwe tunatoa adhabu kulingana na kosa lenyewe endapo tunalazimika kufanya hivyo. Kitendo cha kuiba mkate kilimponza mtoto wa miaka 8 huko Iran kupewa adhabu ya kukanyangwa mikono yake na gari kama inavyoonekana hapo chini.…

Continue

Added by Tulonge on November 16, 2011 at 20:17 — 20 Comments

JAMANI MAMBO YA SAMAKI NCHANGA NI NOUMAAAAA

Jamani kama hali yenyewe ndo hii basi kuna siku tutaanza kula Mijusi mende!!

Added by Gratious Kimberly on November 16, 2011 at 19:41 — 8 Comments

Monthly Archives

2014

2013

2012

2011

2010

1999

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*