Tulonge

November 2013 Blog Posts (109)

JK "Atakaye bainika kumbaka au kumuoa mwanafunzi akamatwe bila kujali cheo"

RAIS Jakaya Kikwete ameviagiza vyombo vya dola kuhakikisha vinamkamata mtu yeyote bila kujali cheo, atakayebainika kumbaka au kumuoa mwanafunzi wa shule.Ametoa kauli hiyo huku aliyekuwa waziri wa wizara tofauti katika awamu mbalimbali za uongozi, Profesa Juma Kapuya, akiandamwa na tuhuma za kumbaka na kutishia kumuua binti, mwanafunzi mwenye umri wa miaka…

Continue

Added by Tulonge on November 30, 2013 at 23:48 — 2 Comments

EAC Heads Sign the Monetary Union Protocal today in Kampala President Dr.Jakaya Mrisho…
Continue

Added by Severin on November 30, 2013 at 23:00 — 2 Comments

Dondoo za ripoti ya kuporomoka kwa ghorofa mtaa wa Indira Gandhi DSM

KUPOROMOKA kwa jengo la ghorofa  Mtaa wa Indira Gandhi jijini Dar es Salaam Machi 29 mwaka huu na kusababisha vifo vya zaidi ya watu 36, kunadaiwa kutokana na  uzembe wa serikali.Kwa mujibu wa ripoti ya utafiti iliyotolewa Novemba 24 mwaka huu na taasisi isiyo ya kiserikali ya Twaweza, asilimia 87 ya watu waliohojiwa, iliitupia lawama serikali kwamba inahusika kwa…

Continue

Added by Tulonge on November 30, 2013 at 8:15 — 1 Comment

Teh teh teh! Eti nani wa kupata nafuu hapa?

Added by Tulonge on November 29, 2013 at 23:46 — 4 Comments

Rais JK aaigiza kukamatwa kwa wanaooa wanafunzi

Mh. Rais Jakaya Kikwete

Rais Jakaya Kikwete, ameviagiza vyombo vya dola na viongozi wa ngazi mbalimbali nchini, kuanza mara moja kufanya msako mkali wa kuwakamata watu wanaoa wanafunzi wa kike wa shule za msingi na baada ya kukamatwa wafikishwe katika vyombo vya sheria kwa makosa ya ubakaji.Rais Kikwete ametoa agizo hilo…

Continue

Added by Tulonge on November 29, 2013 at 23:11 — 1 Comment

Rais Kikwete alipokea kombe la Dunia jijini Mwanza leo

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akilifunua na kulinyanyua Kombe la Dunia katika uwanja wa michezo…
Continue

Added by Tulonge on November 29, 2013 at 23:00 — 10 Comments

Kapuya arejea nchini bila kutiwa mbaroni

HATIMA ya Mbunge wa Urambo Magharibi Juma Kapuya (CCM), anayetuhumiwa kutishia kumuua binti anayedaiwa kumbaka, amerejea nchini jana akitokea nchini Sweden, huku Jeshi la Polisi likikwama kumtia mbaroni kama lilivyokuwa likitamba.

 

Wakati mbunge huyo akiwasili nchini na kupokewa na kusindikizwa na wapambe wake, Bunge limeridhia kukamatwa kwake kwani tuhuma…

Continue

Added by Tulonge on November 29, 2013 at 9:00 — 1 Comment

Duh! watoto walipolazimika kuhatarisha maisha ili kupata elimu huko Indonesia(video)

Hili ni daraja lililopo kijiji cha Sanghiang Tanjung huko Indonesia. Lilivunjika baada ya mafuriko kutokea katika mto huo. Hali hii ilipelekea wanafunzi kupata shida wakati wa kuvuka kwenda shuleni kama uonavyo pichani wakilazimika kuvuka kwa kujishikiza kwenye mabaki ya daraja hilo.

 

Hii ni hatari kubwa, sijui watoto hawa walitoa wapi ujasiri wa kuthubutu…

Continue

Added by Tulonge on November 29, 2013 at 8:00 — 4 Comments

Michuano ya CECAFA: Tanzania Bara yatoka sare ya 1-1 na ZambiaContinue

Added by Tulonge on November 29, 2013 at 6:00 — No Comments

Mtanzania afanya vema kwenye mashindano ya 'Miss Earth' huko UfilipinoMrembo wa Tanzania anayewania taji la Miss Earth, Clara Noor (wa pili kulia) akiwa…
Continue

Added by Tulonge on November 28, 2013 at 23:09 — No Comments

Mzee ambaka mtoto wa miaka 12 na kujitosa baharini kuepuka mkono wa dolaKamishna wa polisi Zanzibar, Musa Ali Musa…

Continue

Added by Tulonge on November 28, 2013 at 12:00 — 3 Comments

Usiku wa saa 7 mama huyu na wanae watatu wakiwa wamelala Feri DSM

Huu ulikua ni usiku mnene eneo la Feri umbande wa Magogoni DSM, nilimkuta mama huyu akiwa amelala ndani ya eneo ambalo abiria hukaa kusubiri kivuko. Mchana mama huyu na wanae watatu huonekana wakiomba hela ili kukidhi mahitaji yao.

Fikiria watoto hawa wanapata wakati mgumu kiasi gani. Wakati wenzao wakiwa wamelala kwenye vitanda vyenye magodoro mazuri, wao…

Continue

Added by Tulonge on November 28, 2013 at 11:44 — 30 Comments

Songea: Mtoto wa miaka mitano akatwa panga mdomoni na usoni kwa kutuhumiwa kuiba mapera

KATIKA hali isiyo ya kawaida ambayo imewashangaza wakazi wengi Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma, mtoto Benson Nilah (5), mkazi wa madizini katika manispaa hiyo amejeruhiwa vibaya kwa kupigwa panga usoni na mdomoni mithili ya kibaka.


Mtoto huyo ambaye ameshonwa nyuzi sita na…
Continue

Added by Tulonge on November 25, 2013 at 8:03 — 8 Comments

Picha 64 za onesho la P-Square ndani ya Leaders Club DSM

Paul akipanda stejini

Paul akipanda stejini

P-Square ambao walisindikizwa na bendi yenye watu wanne tu (mpiga drums, mpiga kinanda, mpiga gitaa la bass na gitaa la solo), walitoa mfano wa namna live show inavyotakiwa kufanywa. Wakitaniana mara kwa mara jukwaani na kuendesha mashindano ya wao kwa wao, Peter na Paul Okoye walipiga show ya takriban masaa matatu, kwa kasi, nguvu na uwezo ule ule, kuanzia mwanzo hadi mwisho.

Peter akiimba wimbo kwa hisia kali

Peter akiimba…

Continue

Added by Tulonge on November 24, 2013 at 16:34 — 1 Comment

Taarifa ya Zitto na Dr.Kitila kuhusu kuvuliwa nafasi za uongozi ndani ya chama cha CHADEMA zipo hapa

TAARIFA YA ZITTO ZUBERI KABWE (MB)

1. Utangulizi

Katika kikao chake cha siku mbili kilichofanyika tarehe 20 - 22 Novemba 2013, Kamati Kuu ya CHADEMA, pamoja na mambo mengine, iliazimia kunivua nafasi zangu zote za uongozi ndani ya chama. Kwa mujibu wa taarifa ya chama iliyotolewa katika mkutano na waandishi…

Continue

Added by Tulonge on November 24, 2013 at 16:00 — 3 Comments

Tabora: Akata uume wake kuepuka usumbufu wa wanawakeKijana Ayubu Mnazi Alphonce(24)ambaye amelazwa katika hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Tabora Kitete akipatiwa matibabu baada ya kuamua kujikata uume wake kwa kitu alichodai kuwa ni wembe mpya,sababu za kufanya hivyo Ayubu alieleza kuwa inatokana na usumbufu anaoupata kutoka kwa wanawake ambao…
Continue

Added by Tulonge on November 23, 2013 at 7:28 — 18 Comments

Video:Watu 10 wanaotuhumiwa kumuua Dr. Mvungi wafikikswa mahakamani


Watu kumi ambao wanatuhumiwa kumuua Dk. Sengondo Mvungi ambaye alikuwa mjumbe wa tume ya kuratibu maoni ya katiba wamefikishwa katika mahakama ya hakimu mkazi Kisutu jinini Dar es Salaam na kusomewa shtaka la kuua.

Added by Tulonge on November 22, 2013 at 23:08 — 1 Comment

P-Square watembelea kituo cha watoto wenye ulemavu DSM na kutoa zawadi

Mkuu wa Kitengo cha Vodacom Foundation, Yesaya Mwakifulefule akipeana mkono na wasanii, Peter na Paul Okoye, maarufu kama P Square wakati walipowasili kwenda kutoa msaada…
Continue

Added by Tulonge on November 22, 2013 at 22:45 — 1 Comment

Taarifa kamili kuhusu Chadema kuwavua uongozi Zitto, Dk Kitila na Mwigamba

Kamati kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema imewavua Uongozi Viongozi wake watatu baada ya Kugundua waraka wa Siri uliowahusisha na mpango wa kukipasua Chama vipande vipande. Viongozi waliovuliwa Uongozi ni Zitto Kabwe ambaye alikuwa Naibu Katibu Mkuu, Dr Kitila Mkumbo na Samsoni Mwigamba aliyekuwa Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini. Hatua hiyo ilichukuliwa katika…

Continue

Added by Tulonge on November 22, 2013 at 22:10 — 11 Comments

P-Square watua Bongo tayari kwa onesho Leaders Club kesho Mwanamuziki wa kundi la P - Square,

Paul Okoye akiwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu

Julius Kambarake Nyerere, Tayari kwa ajili ya kutoa burudani kwa

Watanzania, Msanii huyo aliambatana na Pacha wake Peter…

Continue

Added by Tulonge on November 22, 2013 at 8:00 — 4 Comments

Monthly Archives

2014

2013

2012

2011

2010

1999

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*