Tulonge

December 2011 Blog Posts (71)

Iran kujaribu Makombora ya masafa Mafupi na Marefu,ya nchi kavu hadi baharini,baharini kwa baharini,baharini hadi nchi kavu....katika Lango la kiistratejia la Hormuz.

Tehran imesema kwamba siku ya Jumamosi, hatua itakayofuatia katika mwendelezo wake wa maneva yaliyopewa jina la 'VELAYAT 90' ni kujaribu  makombora katika…

Continue

Added by ILYA on December 31, 2011 at 22:30 — 10 Comments

Mapindunzi bado yanaendelea.....Syria hakuna amani tena kwa wananchi!

Ukisikia sauti ya njugu ( risasi) kimbia au kajichimbie sehemu, maana hazina huruma na zina spidi zaidi ya upepo....Hatari!!!

Added by Gratious Kimberly on December 30, 2011 at 5:00 — 7 Comments

Polisi wapata msaada wa Kamera

Mkuu wa Operesheni wa Jeshi la Polisi, Paul Chagonja (wa pili kushoto), akipokea moja ya kamera ndogo 20 zilizotolewa kama msaada na kampuni ya Puma Energy Tanzania kwa lengo la kuimarisha ulinzi nchini.

Kamera zenyewe ishirini tu jamani, hapa sasa mimi naona kuna walakini...watazichakachua hao...angalia ofisini kwenyewe wamejaa mabosi wamejifungia…

Continue

Added by Gratious Kimberly on December 29, 2011 at 22:00 — 17 Comments

Mkurugenzi,Diwani CCM wazichapa wakigombea Posho

Anthony Kayanda, Kigoma

MKURUGENZI wa Manispaa ya Kigoma Ujiji, Lewis Kalinjuna amepigana hadharani na Diwani wa Kata ya Machinjioni (CCM), Salum Akilimali kutokana na kile kilichodaiwa ni kutofautiana kuhusu malipo ya posho ya vikao vya Baraza la Madiwani.Ugomvi huo umetokea muda mfupi baada ya kumalizika kwa kikao maalumu cha Baraza la Madiwani wa Manispaa hiyo kilichokuwa kikijadili mgogoro wa kugawa maeneo ya ujenzi wa viwanja katika Kata za Rusimbi, Kibirizi na Buhanda…

Continue

Added by Gratious Kimberly on December 29, 2011 at 21:40 — 2 Comments

Tanzania kutosajili tena magari na maboti mitumba

MAMLAKA ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra),  imesema haitavisajili vyombo vya usafiri vinavyozidi miaka 10 ili kuhimiza utunzaji wa mazingira.

Mamlaka hiyo imesema vyombo vingi vinavyoingizwa nchini ni chakavu na kwamba vimesababisha uharibifu wa mazingira na kufanya Tanzania kuwa dampo la magari chakavu.Kaimu Mkurugenzi…

Continue

Added by Gratious Kimberly on December 29, 2011 at 2:53 — 3 Comments

K-Lynn aachana na muziki

Mwana muziki mkongwe wa muziki wa kizazi kipya ambaye pia ni mshindi wa taji la miss Tanzania 2000 K-Lynn, ametangaza rasmi kuachana na muziki na kujikita zaidi kaita sanaa ya upambaji.Akihojiwa katika kipindi cha "Wanawake live " cha EATV, mwanadada huyo alisema amefanya muziki kwa muda mrefu sasa tangu alipokuwa na umri wa miaka 17. Sasa ni muda wa kustaafu umefika…

Continue

Added by Tulonge on December 28, 2011 at 7:03 — 11 Comments

Reli ya kati yasimamisha huduma zote za abiria kuanzia Leo!

Kutokana na mvua kali zinazonyesha sehemu mbalimbali ya Mikoa ya Tanzania, Uongozi wa TRL umefikia uamuzi mgumu na kufuta safari zote za abiria wanaotumia treni kutoka  Dar hadi Kigoma kuanzia leo tarehe 27/ 12/ 2011  hadi itakapotangazwa vingine.  Abiria waliokuwa wamekata tiketi za kusafiria wiki hii na ijayo, wametakiwa kuenda na tiketi zao katika ofisi za Stesheni…

Continue

Added by Gratious Kimberly on December 27, 2011 at 19:00 — No Comments

Maeneo kadhaa ya nchi yetu yataendelea kupata mvua kwa siku kadhaa!!

UNGUJA

Tomorrow

Dec 28

Thursday

Dec 29

Friday

Dec 30

Saturday

Dec 31

Sunday

Jan 1
T-storms

T-storms

T-storms

T-storms…

T-storms
Continue

Added by Gratious Kimberly on December 27, 2011 at 18:30 — 1 Comment

Serikali yaonya wanaojipenyeza kwenye kambi za waathirika

 

Ofisi ya Waziri Mkuu imewaonya viongozi wa serikali za mitaa iliyokumbwa na mafuriko kuacha kusajili watu hewa kwa lengo la kuwawezesha kupata viwanja vya bure vinavyotarajiwa kutolewa wakati wowote kuanzia sasa.

Aidha, serikali imesema haitawavumilia watu wanaojipenyeza katika makambi ya waathirika ili kupata huduma za…

Continue

Added by Gratious Kimberly on December 27, 2011 at 13:03 — 4 Comments

Mvua inasadikiwa kuendelea kunyesha katika Jiji la Dar es Salaaam

Tomorrow

Dec 27

Wednesday

Dec 28

Thursday

Dec 29

Friday

Dec 30

Saturday

Dec 31
T-storms

T-storms

T-storms

T-storms

T-storms

T-storms…

T-storms
Continue

Added by Gratious Kimberly on December 26, 2011 at 19:30 — 7 Comments

Kuna utata hapa maana hakuna mtu anajua ukweli wenyewe haswa!!

Maiti hii zilkutwa katika jangwa la Sahara kwenye mipaka ya nchi ya Libya na Niger (mwanzo wa mwaka huu). Watu wameshindwa kuelewa yafuatayo:

 *Je walikua ni wale waanaotokea Nigeria na nchi jirani kupitia Libya wakitafua njia ya kuingia Italy?  au…

Continue

Added by Gratious Kimberly on December 23, 2011 at 21:38 — 10 Comments

Mapacha wenye vichwa 2 na moyo 1 wazaliwa nchini Brazil !

 

Mapacha wawili walioungana wamezaliwa katika nchi ya Brazil.

 

Mmoja wa mapacha hao amepewa jina la Jesus na mwingine Emanuel.Mapacha hao wamezaliwa wakiwa ni wenye kushea mwili mmoja,wakiwa na vichwa viwli,migongo miwili (uti wa mgongo) lakini wakiwa na moyo mmoja.

 

Hali hii adhimu isiyo na kifani inasemekana kwamujibu wa utafiti…

Continue

Added by ILYA on December 23, 2011 at 21:24 — 20 Comments

Kijana aingia uwanjani na kumvamia Golikipa wa timu ya Alkmaar,apokea maumivu na manundu kutoka kwa kipa huyo.

Baada ya Ajax kuongoza iliyokuwa ikimenyana na kutoana jasho na…

Continue

Added by ILYA on December 22, 2011 at 22:09 — 7 Comments

Mabali na vita dhidi ya Gaddafi.....Wa Afrika wengi huko Libya wameuawa na kutesw sana. Ebu shuka na hii hapa;

Kila Mwafrika anapenda maisha mazuri na wengine uamua kutoka kwenye nchi zao kwenda nchi nyingine kujitafutia maisha bora.  Tatizo ni pale mtu anapojikuta kaenda ambako siko., na anakuta hali ya huko sio kama alivyotegemea. Ushauri ni muhimu saana kabla y mtu kuchukua uamuzi kama huo maana ni hatari sana!!

Added by Gratious Kimberly on December 22, 2011 at 22:07 — No Comments

Is China colonizing Africa?

Added by Gratious Kimberly on December 22, 2011 at 5:15 — No Comments

MAFURIKO DAR YAONGEZA VIFO, MAJERUHI, MADARAJA na NYUMBA ZABOMOKA, BARABARA KUU ZAFUNGWA

Waokoaji wakiwaokoa watoto waliokuwa wamezingirwa

na maji majumbani mwao eneo la Kigogo Mbuyuni, jana,

kufuatia Mafuriko ya Mvua zinazoendelea kunyesha…

Continue

Added by Tulonge on December 22, 2011 at 0:47 — 3 Comments

Matukio ya Mafuriko Dar katika picha

Wananchi wanaoishi kwenye bonde la Msimbazi Spenco, maeneo ya Vingunguti, Dar es Salaam, wakiwa

wamepanda kwenye paa la Msikiti ili kujiokoa na mafuriko yaliyotokana na mvua zilizonyesha jijini.…

Continue

Added by Tulonge on December 21, 2011 at 22:30 — 16 Comments

Monthly Archives

2014

2013

2012

2011

2010

1999

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*