Tulonge

December 2013 Blog Posts (75)

Ibada ya kumuombea Mandela kwenye uwanja wa FNB Johannesburg

 Rais wa Marekani, Barack Obama akihutubia maelfu wa waombolezaji wa Msiba wa Rais wa Zamani wa Afrika Kusini, Hayati Nelson Mandela waliopo kwenye Uwanja wa FNB Soccer City, Jijini Johannesburg.Rais Obama…
Continue

Added by Tulonge on December 10, 2013 at 22:00 — 1 Comment

Shabiki wa Man U ajiua kwa kujirusha chini toka ghorofa ya 7 kufuatia kufungwa 1-0 na Newcastle(video)

Ni tukio la kusikitisha lililotokea huko Nairobi nchini Kenya baada ya kijana John Jimmy Macharia (23) kujiua kwa kujirusha chini toka ghorofa ya 7 kufuatia timu yake ya Manchester United kufungwa na Newcastle bao 1-0 siku ya jumamosi iliyopita. Rafiki wa marehemu alieleza kuwa John aliwaambia kuwa hawezi kuvumilia kuona timu yake ikifungwa mara ya pili. Ndipo alipowaacha cha…

Continue

Added by Tulonge on December 9, 2013 at 7:30 — 1 Comment

Binti wa miaka 16 anaswa akijiuza na mwanae mgongoni

Ama kweli shida haina aibu wala huruma! Binti wa miaka 16 aliyetajwa kwa jina la Mama K, amenaswa laivu akifanya shughuli haramu za uchangudoa akiwa na mwanaye mgongoni, akidai chanzo cha kufanya hivyo ni kutokana na shida inayoiandama familia yake. Binti huyo alibambwa hivi karibuni akijiuza huku mgongoni akiwa na mwanaye wa mwaka mmoja katika Barabara ya Uhuru (kwenye taa…

Continue

Added by Tulonge on December 8, 2013 at 21:47 — 14 Comments

Ghana:Ndege yageuzwa Mgahawa

An old aircraft of the defunct Ghana Airways has been turned into a 118-seat restaurant, serving both local and international cuisine to hungry travelers at airport.

 

The defunct national carrier, DC-10, was refurbished into the new La Tante Restaurant DC 10, located right opposite the Marina Shopping Mall at the Airport City in Accra.

 

The…

Continue

Added by Tulonge on December 7, 2013 at 7:30 — 3 Comments

Basi la kwanza la mradi wa mabasi yaendayo haraka limewasili nchini

Basi la kwanza la mradi wa mabasi yaendayo haraka limewasili nchini na kuanza kufanya majaribio katika barabara zilizokwisha kamilika huku mengine yakitarajiwa kuwasili mapema mwaka kesho.

 

Mtendaji mkuu wakala wa mradi wa mabasi yaendayo haraka Bi Asteria lambo amesema basi hilo ni miongoni mwa mabasi madogo yatakayoingia nchini yenye uwezo wa kubeba zaidi ya…

Continue

Added by Tulonge on December 6, 2013 at 23:48 — 3 Comments

Makamu wa Rais Dkt. Bilal aomboleza kifo cha Mandela

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa…
Continue

Added by Tulonge on December 6, 2013 at 22:18 — 1 Comment

Picha 80 kufuatia kifo cha Nelson Mandela

Journey: The Flag covered coffin carrying the body of former South African President Nelson Mandela is taken from his home in Johannesburg, South Africa, this morning as his beloved country began eight days of mourning

Journey: The Flag covered coffin carrying the body of former South African President Nelson Mandela is taken from his home in Johannesburg, South Africa, this morning as his beloved country began eight days of mourning

A world mourns his passing: Nelson Mandela whose courage in the face of persecution made him the most potent symbol of the struggle against apartheid - died last night

A world mourns his passing: Nelson Mandela, whose courage in the face of persecution made him the most potent symbol of the struggle against apartheid and inspired millions in his own country…

Continue

Added by Tulonge on December 6, 2013 at 21:33 — 3 Comments

Rais Kikwete atangaza siku tatu za maombolezo Kitaifa kufuatia kifo cha Mandela

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIRais wa Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia Salamu za rambirambi Rais Jacob Zuma wa Afrika ya Kusini na kupitia kwake, kwa mkewe Bi. Graca Machel, wanafamilia wote na wananchi wote wa Afrika ya Kusini kufuatia kifo cha Mzee Nelson Mandela…

Continue

Added by Tulonge on December 6, 2013 at 21:30 — No Comments

Serikali yajipanga kupunguza kodi kwa watumishi baada ya kukiri kuwa ni kubwa

Serikali imekiri kiwango cha kodi ambacho imekuwa ikitoza kwa wafanyakazi ni kikubwa kuliko nchi zingine Afrika mashariki na hivyo imeanza kufanya mpango wa kubadilisha viwango hivyo ili viweze kuendana na vile vya nchi zingine za jumuiya hiyo.

 

Hayo yamesemwa na waziri mkuu Mh Mezengo Pinda katika kipindi cha maswali ya papo kwa papo alipokuwa akijibu swali la…

Continue

Added by Tulonge on December 5, 2013 at 23:13 — No Comments

Ahukumiwa miaka 10 jela kwa kuzini na MBUZI

Kushoto ni mbuzi aliyetendewa ukatili huo na Bwana Katana kulia wakiwa mahakamani

Katana Kitsao Gona (28) amehukumiwa miaka 10 jela baada ya kukutwa na hatia ya kufanya mapenzi na mbuzi huko Malindi Kenya. Tukio hili lilitokea tarehe 25 Novemba 2013. Shuhuda wa tukio alieleza kuwa alishangazwa kuona nguo zikiwa zimetundikwa kwenye…

Continue

Added by Tulonge on December 5, 2013 at 22:49 — 8 Comments

Nelson Mandela Amefariki Dunia

Nelson Mandela, raisi wa zamani wa Afrika Kusini amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 95. Katika taarifa yake kwa watu wa Afrika Kusini, Rais Jacob Zuma alisema kuwa Mandela amewaaga lakini yuko mahali salama. Rais Zuma amesema kuwa taifa limepoteza mtu waliyemjua kama mtoto wa taifa hilo. Huku raisi mzungu wa zamani, WF de Clerk amesema kuwa Mandela alikuwa ni kiunganishi kati ya watu weupe, weusi na wengineo na hakuwa na kinyongo na wabaya wake kwani aliwasamehe. Naye waziri mkuu wa…

Continue

Added by Mama Malaika on December 5, 2013 at 0:30 — No Comments

Watoto wawili wamechomwa moto viganja na baba yao

Watoto wawili wenye umri wa miaka tisa,wamechomwa moto viganja vyao vya mikono na baba zao katika wilaya ya Newala mkoani Mtwara.

 

Ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku kumi na sita za kupinga ukatili wa kijinsia hapa nchini, ITV kwa kushirikiana na chama cha waandishi wa habari wanawake Tanzania TAMWA waliamua kufuatilia tukio la ukatili waliofanyiwa watoto…

Continue

Added by Tulonge on December 4, 2013 at 23:00 — No Comments

Mashitaka 11 ya Zitto haya hapa

MASHITAKA 11 dhidi ya aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Zitto Kabwe, yamebainisha kuwa kosa kubwa la kiongozi huyo kijana, ni nia yake ya kutaka kuwania nafasi ya Mwenyekiti wa Taifa, Freeman Mbowe.

Chanzo chetu cha habari kilichoona mashitaka hayo kabla ya kutumwa kwa…

Continue

Added by Tulonge on December 2, 2013 at 8:23 — 5 Comments

Monthly Archives

2014

2013

2012

2011

2010

1999

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*