Tulonge

Dixon Kaishozi's Blog (4)

Bunge Lisirushe Matangazo yake 'LIVE' - Nape

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nauye, amesema kuwa jambo lolote ambalo linaleta heshima kwa Bunge analiunga mkono.“Suala la Bunge kurushwa ‘live’ halirushwi kwa wakati ambao watu wanafuatilia kwani wakati wa asubuhi watu wanakuwa maofisini, wakati wa mchana wao wanakuwa wako mapumziko wanakula na Bunge nalo linakuwa mapumziko, sasa…

Continue

Added by Dixon Kaishozi on February 15, 2013 at 20:32 — 3 Comments

MAAJABU YA DUNIA KIJANA AFUNGA NDOA NA MAITI ILI KUTIMIZA AHADI YA UPENDOPicha 4 zikionyesha sehemu ya ibada ya harusi , akimbusu na tendo la kuvishana pete!!

Sarinya Kamsook kwa bahati mbaya alifariki katika ajali ya gari, siku moja kabla ya tukio kubwa la harusi yao, Deffy aliamua kuendelea na harusi yao kama ilivyopangwa. Sarinya alihusika katika ajali mbaya ya gari, na…
Continue

Added by Dixon Kaishozi on May 4, 2012 at 15:00 — 5 Comments

ANGALIA PICHA ZA MCHUNGAJI ALIYEMWAGIWA TINDIKALI ANAVYOENDELEA SASA

Mchungaji Umar Umulinde wa Uganda akiwa hospitalini. Hizi ni baadhi ya picha alizopiga hivi karibuni mchungaji Umar Umulinde wa Uganda ambaye alimwagiwa tindikali katika mkesha wa sikukuu ya christmas mwaka jana mara baada ya kumaliza ibada,ambapo mpaka sasa kikubwa ambacho mchungaji Umulinde ambaye alikuwa muumini wa dini ya kiislamu kabla ya kubadili na kuokoka anasema ni…

Continue

Added by Dixon Kaishozi on March 2, 2012 at 9:31 — 13 Comments

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*