Tulonge

Shinyanga :Vurugu zazuka kati ya wafanyabiashara(Machinga) na mgambo

Vurugu kubwa zimezuka mjini Shinyanga kati ya wafanyabiashara wadogo maarufu kwa jina la Machinga wanaofanya biashara katika mtaa wa Sukari eneo la Nguzo nane na mgambo wa manispaa hiyo wakati wa zoezi la kuwahamisha kutoka eneo hilo kwenda eneo la Ndembezi.

Views: 454

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by kabegulahamza on January 11, 2013 at 17:37
Sawa,mkuu.
Comment by David Edson Mayanga on January 11, 2013 at 17:32
KAKA ITIFAKI IMEZINGATIWA PIA PROTOKO LAZIMA IWEKAMA KAWA ILA HADIWANAHAMISHIWA HUKO SIZANIKAMA YAWEZEKANA KUKAWA OVYO KIVILE OK ILA NAHISI WEWE UMENIPATA NAMIMI NIMEKUPATA PIA
Comment by kabegulahamza on January 11, 2013 at 17:29
Aksante sana,mkuu kwa kinifahamisha ila ikumbuke mara nyingi task kama hizi ni zima moto,huwenda kule hakuna umeme,vyoo yaani kijumla miundo mbinu mara nyingi huwa 0.lakini kwa nguzo 8 ingawa vimechakaa lakini vipo.
Comment by David Edson Mayanga on January 11, 2013 at 11:36

KAKA NDEMBEZI SIO MBALI UNAJUA UNAPOFANYA KAZI YA SERIKARI NA NDANI YAKE KUNA MIPANGO MIJI SASA BASI HUONIMPANGO MJI KAKA SIO MBALI ILA SEMA TU HAO WAFANYA BIASHARA WAMEZOEA TU PAHARI PAMOJA  SAWA NDG KABEGULAHAMZA

Comment by kabegulahamza on January 9, 2013 at 8:04

dah,hiyo sehemu naijua sana ila kutoka nguzo 8 mpaka ndembezi ni mbali sana kisha ni nje kabisa ya mji poleni ndugu zangu.

Comment by David Edson Mayanga on January 9, 2013 at 1:01

YANI KWETU HUKO WANWANYASA NYASA NDG ZANGU OK NGOJA NIENDE NA MR SUGU HUKO TUKAWAOKOE NDG ZETU

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*