Tulonge

AFCON 2013 yaanza na mdudu wa sare

Views: 346

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by william massawe on January 22, 2013 at 11:46

Sare manake ni kwamba mpira wa AFRICA,hauna cha kanda...angalia sare ya ETHIOPIA VS ZAMBIA!

Comment by Masha waryoba on January 20, 2013 at 15:31
Hiyo kweli!maake kuna Miamba iko hapo;ambayo Bafanabafana asipojipanga atakula kichapo cha kutosha!!
Comment by Tulonge on January 20, 2013 at 15:26

Binafsi naona mpira waliocheza Afrika Kusini niwa kawaida sana.Hawakuonesha uchu wa kushinda.Inabidi wajitume sana, vinginevyo watakua wamewaandalia kombe wageni kama ilivyo kuwa Kombe la Dunia.

Comment by Masha waryoba on January 20, 2013 at 13:47
Bafana bafana yawapasa wajipange,kwani hawakupaswa kutoa droo!coz ukizingatia tim wanayocheza nao lengo lao lilikuwa ili mradi kufuzu,ili waje kushiriki,Je Afrika kusuni kama wenyeji wa mashindano watafuzu kuingia round ya Robo fainali!!!!?

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*