Tulonge

TID na Wema wapendekezwa zaidi kuiwakilisha Tanzania kwenye BBA 2013

Tarehe 26 tuliandika habari kuhusu Mastaa 10 wanaoweza kuwa wawakilishi wazuri wa Tanzania katika shindano la Big Brother Africa 2013. Katika majina hayo 10, Wema Sepetu, TID, Lisa Jensen na Fezza Kessy ndio walionekana kuwavutia wengi.

Leo kupitia ukurasa wetu wa Facebook tumeendesha kura ya maoni ambapo tumewataka watu wawataje mastaa kati ya hao wanne wanaoweza kuwa wawakilishi wazuri wa Tanzania. Katika kura hizo zaidi ya 800 TID na Wema ndio walioongoza kwa kutajwa zaidi.

Baada ya matokeo hayo tumempigia simu TID kumpa taarifa hiyo aliyoipokea kwa furaha kubwa na kudai kuwa hiyo ni ishara ya jinsi anavyokubalika kwa mashabiki.Tulipomuuliza kama atafikiria kuchukua fomu kwaajili ya kujaribu bahati yake, Top in Dar amesema kwakuwa watanzania wamemtaka afanye hivyo basi ataenda kuchukua.

Chanzo: bongo5.com

Views: 1107

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Christer on February 4, 2013 at 11:44

Hahaahahahahahahahahaaaaaa @ Omary naona umempasulia jipu Dogo, anaweza kujirekebisha labda. maana anapenda sana watoto wa wenzake, teheeeeee

Comment by Mama Malaika on February 3, 2013 at 0:03

Kha! Huyo wa kulia hiyo ni ngozi yake au cream?

Comment by william massawe on January 31, 2013 at 13:17

DU!!TID sawa,lakini WEMA SEPE2!!!!,ATATUAIBISHA!!!!!!atapigwa mikasi na TAIFA litaaibika!!!

Comment by Omary on January 30, 2013 at 21:04

Hahahahahah mzee wa kuwamimba wenzake unafurahiiiia we ngoja uje kuanza kulea wajukuu hapo kwako halafu mungu anajuwa anakuletea wa kike makusudi ili uje ulipiziwe hahahah

Comment by Tulonge on January 30, 2013 at 20:18

ishu ya kababe kwa upande wangu ni lazima.Lazima niujaze ulimwengu bana teh teh teh

Comment by Christer on January 30, 2013 at 15:50

Hahahahhahahhahahhahahahahahaaaaaaaaaa @ Remmy sasa mbona unanambia mimi peke yangu? tuambie wote na tulonge kuwa tukirudi tusiwaletee kababe, teheeeteheee. mi nimesikia sijui yeye amesikia itabidi umuulize, akujibu.

Comment by Tulonge on January 30, 2013 at 15:36

Hahahhahahahaaaa Remmy chizi sana. Hujui mimi huwa wananibembeleza sana niende nikashiriki lkn nakataa.

Comment by Remmy Benson Mganga on January 30, 2013 at 15:32
Hahahaaaaaa, basi itabidi tupeleke wawakilishi wawili safari, tulonge na Christer wakatuwakilishe ila mkirudi tafadhali msiturudishie ka-babe@Christer
Comment by Christer on January 30, 2013 at 15:23

Teheheteeeheteheeeeeeeeee @ Remmy, akienda tulonge na mm naenda tuwe wawili atleast mmoja kati yetu anaweza bahatika kuiwakilisha Tz na Tulonge. Hahahhahahahaahahaahhaaaaaaa

Comment by Remmy Benson Mganga on January 30, 2013 at 15:11
TID anafaa kati ya wote hao, elimu inahusika vp jamani kwenye BBA....tulonge tunaomba na ww uchukue fom ya kushiriki

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*