Tulonge

Baba amkata mwanae mapanga baada ya kuangusha baiskeli iliyokua na matrei 25 ya mayai(picha 3)

Tukio hili lilitokea eneo la Kitunda Dar es salaam pale mtoto huyu alipoangusha baiskeli iliyokua na trei 25 za mayai. Ni ngumu kuamini kama Baba mzazi wa mtoto ndiye aliyetenda kitendo hiki.

Views: 1645

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Tulonge on February 6, 2013 at 20:56

Duuh! Goodluck una hasira kweli.

Comment by goodluck costantine on February 6, 2013 at 20:55

segerea watu wamezoea tunalemba sana matukio dawa ya moto ni moto

Comment by Tulonge on February 6, 2013 at 20:38

Yani mimi hata sielewi, yani ninakamata panga halafu naanza kumkata Doreen kiasi hiki. Mtoto analia kwa uchungu lkn wewe unaendelea tu.

Comment by Mama Malaika on February 6, 2013 at 18:50

Hadi chozi limenitoka. Mie ningekuwa mama wa huyu mtoto kwa hakika huyo baba angenitambua....

Comment by Mama Malaika on February 6, 2013 at 18:36

This boy is incredible lucky, majeraha yote hayo bado yuko hai?

Huyo baba wa mtoto apelekwe Segerea moja kwa moja na wala kusiwepo dhamana. Hafai kuachwa kuendelea kuwa kwenye jamii kwani ni monster. Huwezi fanya hivyo kwa mtoto wako kuzaa hata awe ametenda kosa kubwa la namna gani

Comment by mathias mwita on February 6, 2013 at 17:47

HUYU BABA ALIKUSUDIA KUUA. ANGALIA ALIVYO KATA KILA SEHEME YA KICHWA!!!!!! HUYU DOGO AKIPONA ATAMUOGOPA SANA DINGI NA ISITOSHE AKIFANIKIWA HATA MSAIDIA BABA YAKE NA PI BABA UZEENI ATAJUTA ALICHOKIFANYA

Comment by OBED KITALIKA on February 6, 2013 at 17:28

Oh My God!!!!!

 

Comment by Tulonge on February 6, 2013 at 17:20

Hawa wazazi wengine sijui ni matahira?

Comment by mathias mwita on February 6, 2013 at 17:18

DAH!!!!!!!!!!!!!!!! HUYO BABA INABIDI ASHUGHURIKIWE KIKAMILIFU

Comment by Tulonge on February 6, 2013 at 17:17

Mtoto bado anaendelea vizuri na matibabu hospitali moja maeneo ya Banana (G/Mboto).Picha hizi zimepigwa na muuguzi aliyekua akimuhudimia.

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*