Tulonge

Baba amkata mwanae mapanga baada ya kuangusha baiskeli iliyokua na matrei 25 ya mayai(picha 3)

Tukio hili lilitokea eneo la Kitunda Dar es salaam pale mtoto huyu alipoangusha baiskeli iliyokua na trei 25 za mayai. Ni ngumu kuamini kama Baba mzazi wa mtoto ndiye aliyetenda kitendo hiki.

Views: 1686

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Efraem Solomon on February 6, 2013 at 16:51
je!! huyu mtoto bado ana uhai?huu ni unyama wa hali ya juu.
Comment by mathias mwita on February 6, 2013 at 16:18

mtoto hali yake ikoje @ tulonge?

Comment by Tulonge on February 6, 2013 at 16:15

Nimeanza kuamini kuwa baadhi ya binadamu wana mioyo ya Chui

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*