Tulonge

Picha 4 za tukio la kifo cha Padri Mushi huko Zanzibar

Gari alimokuwa Padre Mushi (Shukurani ya picha: Francis Dande)

Gari liliacha uelekeo na kugonga nyumba baada ya Padre Mushi kupigwa risasi (Shukurani ya picha: Francis Dande)

Waziri Dkt Nchimbi (wa pili kushoto) akiwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Mohamed Aboud na maafisa wengine walipotembelea eneo la tukio leo. (Shukurani ya picha: Francis Dande)
Mwili wa Marehemu Pandri Mushi

Via: wavuti.com

Views: 1895

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Dixon Kaishozi on February 19, 2013 at 11:06

R.I.P Father Mushi.

Comment by Mustafa Idd on February 18, 2013 at 21:28

Hakika kitendo hiki ni chakulaani sana,huwezi kumuuwa binadam mwenzako  kinyama hvyo ebu serekali ichukue hatua nakuwakamata wote waliohusika

Comment by emanuel Lyanga L. on February 18, 2013 at 18:11

mimi naamini serikali inawajua wauaji ila kuna kitu inaogopa haiwezekani kila linalotokea zanzibar iwe kwa viongozi wa dini tu. hapa kila mtanzania anatakiwa atafakari kwa kina jambo hili

Comment by David Edson Mayanga on February 18, 2013 at 16:04

Do haya maisha jamani sijajua twaerekea wapi mungu tusaidie

Comment by manka on February 18, 2013 at 14:26

kwa kweli inasikitisha na kuhuzunisha sana, na kama kweli ni vita ya udini Tanzania tumekwisha.R.I.P PADRE MUSHI.

Comment by Mustafa Idd on February 18, 2013 at 13:46

Si vyema kabsa kwa mauaji yakinyama kama haya,kitugani kinachoweza kupelekea kumuua binadam mwenzako bila sababu,jamaani watanzania tunaomba sana vitu kama hvi tusivikubali kabsaaa

Comment by Georgia Mushashu on February 18, 2013 at 11:23

Inauma sana aiseee ila Mungu atawaaangamiza wote wenye roho za kinyama.  Hawa watu wanakotupeleka jamani ni kubaya sana saivi picha inaonyesha tuendako ni kubaya zaidi ya tulikotoka Eee Mungu tunaomba huruma yako.  R.I.P. Father Mushi

Comment by Christer on February 18, 2013 at 9:36

RIP Father. Damu yako haijamwagika bure, Mungu yupo na hajasinzia, anaona.

Comment by MGAO SIAMINI,P on February 18, 2013 at 9:02

 Ngoja niwakumbushe kidogo hivi karibuni mambo yalivyo anza,Hatuesabiwi mpaka kipengele cha dini kiwemo kwenye dodoso la sensa sheria ipo ila waliokamatwa baada ya wenzao kuandamana walitolewa bila masharti,mahakama ya kadhi iwepo kisheria,padre wa kwanza kupigwa risasi zanzibar walikua wahuni wasiojua dini,yakachomwa makanisa ni makundi ya wahuni sio waislam,wakagombea kuchinja wakamchinja mchungaji oooh tunalaani sana kitendo hicho,Leo anapigwa risasi padre mwingine anakufa tumeshitushwa sana ni msiba wa wote tunaungana na wakristo wote ifanyiwe uchunguzi haraka.Haya subiri wataanza ijumaa nayo iwe siku ya mapumziko na mengine kibao mtashangaa tayari mbegu iliyopandwa na kina jk na sisiemu sasa inaota, nchi inaingia kwenye machafuko ya kihistoria.

Comment by Mama Malaika on February 18, 2013 at 3:28
Wote tunamuomba Mungu mmoja, na huyo Mungu wetu mmoja agizo lake kubwa kwa binadamu ni upendo. Mwanadamu kapindisha dini kwa manufaa yake kiasi kwamba dunia nzima haina amani.

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*