Tulonge

Picha 4 za tukio la kifo cha Padri Mushi huko Zanzibar

Gari alimokuwa Padre Mushi (Shukurani ya picha: Francis Dande)

Gari liliacha uelekeo na kugonga nyumba baada ya Padre Mushi kupigwa risasi (Shukurani ya picha: Francis Dande)

Waziri Dkt Nchimbi (wa pili kushoto) akiwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Mohamed Aboud na maafisa wengine walipotembelea eneo la tukio leo. (Shukurani ya picha: Francis Dande)
Mwili wa Marehemu Pandri Mushi

Via: wavuti.com

Views: 1897

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Mama Malaika on February 18, 2013 at 3:13
MHSRIP
Comment by Tulonge on February 18, 2013 at 2:33

Tazama picha ya mwisho, hapo kungekuwa na mtu na yeye angefariki kwa kugongwa na hilo gari.Uzuri hakukua na mtu.

Comment by ILYA on February 18, 2013 at 0:31

Kwa kosa lipi sasa uamue kumpiga risasi mtu ambaye hajakukosea kwa lolote,na hata kama kakukosea nani kakwambia uchukue maamuzi ya kumuua na wewe uendelee kuishi?.we nani alikwambia kuwa wewe ndiye uinayetakiwa kuishi na wengine uwaue?!.Watu wabaya kama hao wenye roho za kinyama namna hii Mola awaangamize katika moto wa jahanna.Akili ya mwanadamu inapinga unyama wa namna hii na dini zote za Mungu zinakemea mauaji kama hayo ya kinyama.Wale watu wapumbabvu wasio jua chochote katika dini zao ndio huchukua maamuzi ya kinyama kama hayo ya kumwaga damu za watu hovyo hovyo ardhini kwa dhulma.Na ndio maana mimi siku zote huwa napenda kusema kwamba:Any religion (narudia):

Any religion that believes in one God,are the most perfect Religion.But some followers of these religions,are very very bad people!.A good example:This murderer!.

Comment by Tulonge on February 17, 2013 at 23:43

RIP father

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*