Tulonge

Aliyemchoma mtoto mkono na kumlisha kinyesi, aswekwa jela maisha

Wilvina Mukandala (24) anayetuhumiwa kumnyanyasa mtoto wa dada yake aitwae Aneth Johannes (3) kwa kumfungia ndani na kumchoma kwa maji ya moto mtoto huyo kisha kukatwa mkono hospitali, amehukumiwa kifungo cha maisha jela.

Pichani kushoto ndiye mtuhumiwa mwenyewe akisomewa hukumu, kulia juu ni mtoto Aneth baada ya kuunguzwa, chini kushoto ni Aneth baada ya kukatwa mkono.

Unaweza jikumbusha tukio hilo hapa

Via: GPL and Mbeya yetu Blog

Views: 554

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Agnes Nyakunga on February 20, 2013 at 14:34

fundisho kwa wanawake wengine inasikitisha sana!

Comment by Christer on February 20, 2013 at 10:46

Angalia picha ya juu

Comment by Tulonge on February 20, 2013 at 10:06

Teh teh teh Christer ni noma, umejuaje ana mimba?

Comment by Christer on February 20, 2013 at 10:03

Salimia Jela dada, Alafu una mimba, doh!

Comment by Jeath Justin Prosper on February 19, 2013 at 13:40

kwani hakuna adhabu zaidi kitanzania zaidi ya hiyo......mi naona wakati mwingine sheria za kiislam ni nzuri....ukivunja mkono wa mtu na wewe unavunjwa mkono......this is stupid.......huyu dada hastahili kuishi duniani.............!

Comment by Dixon Kaishozi on February 19, 2013 at 10:58

Hamna cha pole hapa!!! 

Comment by emanuel Lyanga L. on February 18, 2013 at 21:00

angenyogwa ndio ingekuwa safi zaidi lakini hata hiyo safi

Comment by Mama Malaika on February 18, 2013 at 18:52
safi sana, yule mtoto alinitoa machozi
Comment by MGAO SIAMINI,P on February 18, 2013 at 18:37

safi sana ukatiri gani huo?

Comment by Tulonge on February 18, 2013 at 17:41

Uliyataka mwenyewe binti, nashindwa hata kukuhurumia.Nakutakia kila la kheri katika maisha yako mapya ya jela

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*