Tulonge

Iringa: Fundi umeme apoteza maisha juu ya nguzo

Fundi wa Shirika la Umeme Tanesco mkoani Iringa, Selemani Mbuma akiwa amenaswa na umeme baada ya wenzake kuwasha umeme kimakosa wakati akiendelea na matengenezo katika eneo la Mlandege mkoani humo. Picha na Geofrey Nyang’oro-Mwanachi

Views: 1310

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Hellen Attarsingh Gupta on February 22, 2013 at 16:11

Hatuwezi kujua kwa uhakika kama ni tukio lisilotarajiwa ama visa. Mungu ndiye ajuaye. Pole sana kwa familia, ndugu na marafiki zake Selemani. Tumaini la ufufuo wa wafu likawe faraja kwa wote. Yohana 5:28,29.

Comment by ANGELA JULIUS on February 22, 2013 at 15:51

huruma lol pumzika kwa amani fundi

Comment by Tulonge on February 22, 2013 at 15:03

Huyo mwenzake sijui alijisahau vipi akawasha umeme, Daaah! RIP Fundi

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*