Tulonge

Vurugu chuo cha Uhasibu Arusha: Mkuu wa mkoa azomewa na wanafunzi, Lema asikilizwa.


eshi la polisi mkoa wa Arusha limelazimika kutumia nguvu na mabomu ya machozi kuwatawanya maelfu ya wanafunzi wa chuo cha uhasibu Arusha kwa kufanya vurugu na kuwakamata baadhi ya wanafunzi pamoja na wakili maarufu Albert Msando huku mbunge wa Arusha Goodbless Lema anatafutwa kwa tuhuma za kuwachochea wanafunzi hao kufanya fujo.

Views: 540

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by MGAO SIAMINI,P on May 6, 2013 at 14:02

Tusiwe wabishi staili za uongozi wa kunyenyekewa zimepitwa na wakati,wasikilize watu hata kama wanaongea ujinga kwa sababu ndo unao waongoza sasa yule binti anasema huyu ni mtu wa tatu anachomwa kisu hakuna tamko makini halafu unafika kwenye mkusanyiko unasema hawana nidhamu nauliza kama walikua hawataki kuongea nae wangemsubiri? Kule UDOM mkuu wa wilaya alitekwa masaa sita acha kuzomewa nae aliwadanganya matatizo yao kashayapeleka na waziri mkuu atakuja kuongea na wanachuo cha ajabu waziri mkuu akaja kuzindua kisima cha maji watu wanamsubiri barabarani akapita, wakamng'ang'ania mkuu wa wilaya.watu wanajua haki sasa serikali ibadilishe mfumo wa kuwahudumia watu.

Comment by emanuel Lyanga L. on April 27, 2013 at 16:47

@mjata Daffa hapo umeongea kama watanzania watakuwa hawapimi mambo wanapokea kama yalivyo tunaenda kupotezwa na wanasiasa

Comment by Mjata Daffa on April 25, 2013 at 9:23

Kaka Salum kilichofanyika pale ni siasa tu, Lema alifika kabla ya Police wala usalama wa Taifa yeye ndie aliempigia Simu mkuu wa Mkoa. mpaka hapo utapata picha fulani na hasa tukikumbuka maneno ya Dr.Slaa " Nitahakisha Nchi haita tawalika mwisho wa kunukuu" maneno haya aliyatamka mara tu baada ya kutangazwa matokeo ya URAIS. Kwa mwenye kumbukumbu kama hizi hapati tabu kuona yalio tokea jana kule Arusha na LindI ambako nyumba za viongozi wa CCM zaidi ya kumi zilichomaw eti kwa sababu ya Vocha za pembejeo za kilimo haiingii akilini

Comment by salum kitila on April 24, 2013 at 22:02

kwa swala kama hilo hapo lazima wa2 wafikiri kimakin zaid koz haiwezekan siku zote side moja ndo iwe inaonekana na makosa tu.mfano 2naambiwa kuwa lema anatafutwa na polisi halafu hapohapo inaonyesha kuwa lema aliongea na wanafunzi hao vizuri tu tuangalie kwa makin hapo na kwanini mkuu wa mkoa azomewe?

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*