Tulonge

Mtoto (14) asafiri toka Dar hadi Dodoma akiwa chini ya basi

Pichani ni kijana mwenye umri wa miaka 14 akitoa maelezo baada ya kusaidiwa kutoka kwenye chassis ya basi alilokuwa amejificha tangu Dar es Salaam mpaka Dodoma.

Via: vijakazi.co.tz

Views: 659

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by ILYA on May 8, 2013 at 22:22

Inaonekana Dogo alikuwa na mpango wa kuzamia Dodoma!

Comment by Mama Malaika on May 1, 2013 at 20:57

Hivi ndivyo wafanyavyo wahamiaji haramu tokea Russia kuingia kisiwa cha Uingereza, wanabana chini ya malori ya mizigo tokea nchi kwenda nchi nyingine. Huyu dogo naamini akipata fursa ya kupenya pale Airport aweza ingia ndani ya mabawa ya Boeing kuingizwako mizigo au kijinafasi cha mataili na akabana kimya kusafiri na KLM tokea Dar hadi Amsterdam (7hrs flight). Kuna mmoja end of 2012 kadondoka mtaani London kipindi British Airways iko angani inafungua mataili kujiandaa kutua Heathrow Airport ikitokea Africa kusini.

Comment by Dixon Kaishozi on April 30, 2013 at 12:14

Dogo noma!!

Comment by MGAO SIAMINI,P on April 30, 2013 at 9:20

Wakimuacha dogo anaweza kuwa bonge la jambazi kitaa apelekwe jeshini atakua bonge la mpiganaji. Alikua anapeleka hoja binafsi bungeni 'maisha magumu'

Comment by Agnes Nyakunga on April 29, 2013 at 11:55

dogo anatisha sana!

Comment by Christer on April 29, 2013 at 11:15

Dogo  ni noma

Comment by KUNAMBI Jr on April 29, 2013 at 9:50

Dogo wampeleke jeshi tu

Comment by kabegulahamza on April 29, 2013 at 9:34
huyu,kamanda
Comment by Mjata Daffa on April 29, 2013 at 9:13

Omy nakuaamini huwezi kuchangamsha genge ila huyu ilikuwa opposite alikuwa akirudi home baada ya maisha ya bongo kushindikana nadhani anastahili zawadi zaidi fanya mpango umtupie BUKU 5 kama yule mwenzake.

Comment by Omary on April 28, 2013 at 2:00

Huu ni ukweli hawa madogo huwa wanasafiri umbali mrefu sana kuna mmoja nilimuona mwenyewe siku moja nikitokea Tabora tulishuka Ubungo saa 6 usiku na dogo alikuwemo mwanzo wa safari mpaka mwisho kiukweli nilimuona kidume kwani mimi nilikaa kwenye basi na nilichoka kwa safari ila dogo alikomaa mpaka tumeingia nae Dar kiukweli nilimtowa buku 5 na kuna jamaa akamuuliza lengo la kuja Dar akasema kutafuta maisha kuna mshkaji mkaanga chipsi akamchukuwa na kuondoka nae akamsaidie kumenya viazi dogo kama zali kwake kutuwa Dar na kazi juu.

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*