Tulonge

Poleni wadau kwa Tulonge kuwa kimya

Kwa siku mbili au tatu zilizopita kijiji chetu cha tulonge kilikua kimya sana, hakuna jipya lililoonekana hapa. Hii ni kutokana na kubanwa na majukumu mengi kwa Mwenyekiti 'Admin' hivyo kushindwa kuwajuza yaliyojiri ndani na nje ya Tanzania. Kesho nitaendelea kuwahabarisha kama kawaida. Unaweza kupitia video, mijadala, makundi, picha na vingine vingi tulivyo navyo hapa Tulonge.Poleni

Views: 688

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Tulonge on June 6, 2013 at 11:47

Teh teh teh Omary kumbe na wewe umestukia hilo, yani hata mimi naona kama performance yangu imeshuka sana siku hz teh teh teh

Comment by Tulonge on June 6, 2013 at 11:46

Anangisye usifanye mchezo, smtimes inabidi ukubaliane na mwili unachokitaka. Ukishachoka hata ujilazimishe vp kazi haziendi.

Comment by Omary on June 6, 2013 at 1:25

Halafu kijana unabahati umepiga copy mapema na hizo kazi zako za maserver hapo zinauwa watoto wote na ukichanganya na uchovu dah! ndoa unaiweka pembeni kabisaa na unakuwa kama mbogo ili usiguswe hahahah.

Comment by ANANGISYE KEFA on June 5, 2013 at 17:28

kijana kama wewe ukijitangazia kuchoka hujui kama utaruhusu nchi yako iuzwe.

 

Comment by Tulonge on June 5, 2013 at 14:19

Poa wadau, hizi kazi zinaweza kuniua. Kunambi mimi nilishaacha kukaa vijiweni siku nyingi sana teh teh eti vijiwe vya puri

Comment by Christer on June 5, 2013 at 14:14

Teheteheteheteheeeee pole dogo

Comment by Silas A. Ntiyamila on June 5, 2013 at 13:53

Duh pole sana umenikumbusha nikichoka nikifanyacho, huwa narudnda madafutari kisha kuingiza usingizi na kuutwanga. BIG UP

Comment by KUNAMBI Jr on June 5, 2013 at 9:16

kijana acha uvivu wewe,kuchoka gani huko wakati ulishinda kwenye vijiwe vya puri

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*