Tulonge

Hii ndiyo ndoa ya kwanza ya jinsia moja toka Ufaransa iruhusu ndoa za aina hiyo hivi karibuni

Vincent Autin (40), and his 30-year-old partner, Bruno Boileau

Hii ni ndoa ya kwanza ya jinsia moja kufungwa huko Ufaransa toka nchi hiyo iruhusu ndoa za aiana hiyo hivi karibuni. Tukio hili lilirushwa moja kwa moja na kituo kikuu cha TV cha nchi hiyo. Wageni waalikwa wakiwemo mawaziri wa Ufaransa walihudhuria sherehe hiyo iliyofanyika 'City Hall' kusini mwa Ufaransa.

Views: 721

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by MGAO SIAMINI,P on June 15, 2013 at 17:24

yaani mi hainingii akilini hata msisimko anapataje,halafu zaidi ya kuwa kinyume na mungu lakini hata biology inakataa kila system ina kazi yake na iko wazi kinyume chake haikubaliki. walaaniwe watu wote wanaoshabikia ndoa za jinsia moja

Comment by salum kitila on June 6, 2013 at 21:44

Ok! 2meona na 2mesikia! wait 4 god miracles only.

Comment by khamis mwinyikai on June 6, 2013 at 12:10

Twatarajia nini kwa watu wanaomkanusha Mwenyezi Mungu. kwa maoni yao hayo ndio maisha

Comment by David Edson Mayanga on June 6, 2013 at 10:52

EEEE MWENYEZI MUNGU SHUKA NATENDA MIUJIZA YAKO KATIKA HILI ,HATA KAMA NI GALIKA WAPELEKEEE

Comment by ANGELA JULIUS on June 6, 2013 at 7:24

dah tena kuna watu wanashangilia kabisa, kweli hawa ni neema tu ya Mungu ipite kuwakomboa.Mungu ibariki Tanzania , Mungu ibariki Africa dunia na watu wake wote

Comment by Omary on June 6, 2013 at 1:38

Hii ni laana isee hawa jamaa sijui wana akili gani? madem wote  hawa bado wanaoana wenyewe kwa wenye sasa watapata wapi? watoto wanasikia raha gani? ya ndoa ya wanaume watupu? kweli ulimwingu umekwisha, Ok hata kama umezaliwa mwanaume ila hufanyikazi sio sababu ya kuolewa

ila sie tumuachie Mungu mwenyewe ndio wakuwahukumu sisi yetu macho na kulaani ila hatuna lakufanya.

Comment by Mjata Daffa on June 5, 2013 at 9:46

Mungu wangu basi tena ninavyowajua waswahili lazima waige mungu tunusuru na balaa hili. AMEEN

Comment by Christer on June 5, 2013 at 9:11

OMG!

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*