Tulonge

Hawa ndiyo walioshinda Tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2013

Wimbo bora wa mwaka

Dear God – Kala Jeremiah

Msanii bora wa Kiume

Diamond

Msanii bora wa kike

Lady Jaydee

Msanii bora wa kike Taarab

Isha Mashauzi

Msanii bora wa kiume Taarab

Mzee Yusuf

Msanii bora wa kiume Bongo Flava

Diamond

Msanii bora wa kike Bongo Flava

Recho

Msanii bora wa Hip Hop

Kala Jeremiah

Msanii bora wa kiume Bendi

Chalz Baba

Msanii bora wa kike Bendi

Luiza Mbutu

Msanii bora anayechipukia

Ally Nipishe

Video bora ya mwaka

Baadaye – Ommy Dimpoz

Mtunzi bora wa mashairi Taarab

Mzee Yusuf

Mtunzi bora wa mashairi Bongo Flava

Ben Pol

Mtunzi bora wa mashairi hip hop

Kala Jeremiah

Mtunzi bora wa mashairi Bendi

Chalz Baba

Mtayarishaji bora wa mashairi muziki wa kizazi kipya

Man Walter

Mtayarishaji wa wimbo wa mwaka – Taarab

Enrico

Mtayarishaji wa wimbo mwaka – Bendi

Amoroso

Mtayarishaji chipukizi wa mwaka

Mesen Selekta

Rapper bora wa bendi

Fagasoni

Wimbo bora wenye vionjo vya asili

Chocheeni Kuni – Mrisho Mpoto ft Ditto

Wimbo bora wa bendi

Risasi Kidole – Mashujaa Band

Wimbo bora wa Reggae

Kilimanjaro – Warriors from The East

Wimbo bora wa Afrika Mashariki

Valu Valu – Jose Chameleone

Wimbo bora wa Bongo Pop

Me an You – Ommy Dimpoz ft Vanessa Mdee

Wimbo bora wa kushirikiana/Kushirikishwa

Me and You – Ommy Dimpoz ft Vanessa Mdee

Wimbo bora wa Hip Hop

Nasema Nao – Nay wa Mitego

Wimbo bora wa rnb

Kuwa na Subira – Rama Dee ft. Mapacha

Wimbo bora wa ragga/ dancehall

Predator – Dabo

Wimbo bora wa Taarab

Mjini Chuo Kikuu – Khadija Kopa

Wimbo bora wa zouk rhumba

Ni wewe – Amini

Bendi bora ya mwaka

Mashujaa Band

Kikundi bora cha Taarab

Jahazi Modern Taarab

Kikundi bora cha muziki wa Kizazi kipya

Jambo Squad

Hall of Fame – Institution

Kilimanjaro Band wana Njenje

Hall of Fame – Individual

Salum Abdallah

Views: 703

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by martin emmanuel on June 11, 2013 at 12:04

ETI WIMBO BORA WA HIP HOP NI NASEMA NAO-NEY WA MITEGO...................................!!11MMHHH.

Comment by ASHA ISMAIL MAKAME on June 11, 2013 at 8:31

tuzo za KILI mnatakiwa muwawezeshe wanamuziki wakongwe mfano HUSSEIN JUMBE aliyewahi kuwa ktk bendi za MSONDO, SIKINDE kwa hivi sasa ana BAND yake ambayo inaitwa TALENT BAND na yeye alishiriki pia ktk KILI MUSIC AWARDS sijui kama kuna la maana aliloambulia, ikiwa yeye ni mkongwe wa music mnatakiwa muwaenzi wanamuziki wakongwe km ZAHIR ALLY, MUHIDIN GURUMO n.k ili na cc vijana tuonjifunze kupitia kwao 

Comment by jemadari mimi on June 10, 2013 at 16:41

Halafu angalia kwenye upande wa taarabu kila siku ni walewale tu,hivi vikundi kama malindi,east african melody,jkt taarabu havipo jamani

Comment by jemadari mimi on June 10, 2013 at 16:26

Nimekuwa nikifuatilia sana tuzo hizi za kili music awards lkn nimeona ni tuzo ambazo ni za kiujanja ujanja  tena hazina maana kabisa na wala faida kwa wanamuziki wa TZ,labda unaweza kusema kwanini  eti nasema hivyo, zipo sababu za msingi ambazo hata wewe unaweza kuafikiana nazo,mfano ni tuzo  ktk upande wa muziki wa dansi,hivi hawa jamaa sikinde na msondo ambao ni wakongwe hapa nchni wanapiga mziki wa maana sana na tungo zao nibora sana lkn ebu niambie sikinde ngoma ya ukae walishawahi kupata hata tuzo moja.Msondo walishawahi kupata angalau,tena jiulize walishapewa hata nafasi za kuburudisha waalikwa kwenye shughuli  hiyoo ya tuzo

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*