Tulonge

Arusha: Kitu kinachosadikiwa kuwa ni bomu chalipuka kwenye mkutano wa CHADEMA Soweto

Kutoka mkoani Arusha Eneo la Soweto ni kwamba mda mfupi kuna mlipuko umetokea katika mkutano wa kufunga kampeni za udiwani uko Arusha kwenye mkutano wa Chama cha demokrasia Chadema katika eneo la Soweto na kuna majeruhi pamoja na vifo vya watu wawili katika tukio hilo...........!!!!

Taarifa za awali toka mlipuko huo kutokea ni kuwa watu waliojeruhiwa katika mlipuko huo wanakimbizwa hospitali.Taarifa rasmi kutoka kwa vyombo vya usalama pamoja na viongozi wa chama cha Chadema zinasubiriwa.

Majeruhi wakipatiwa matibabu

Lema na Mbowe wakijadiliana cha kufanya baada ya mlipuko

Mbowe akiondolewa eneo latukio baada ya polisi kuanza kupiga mabomu ya machozi

Umati kabla ya mlipuko

Viongozi jukwaani kabla ya mlipuko

Views: 542

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by MGAO SIAMINI,P on June 17, 2013 at 10:38

hili swala linauma ni hujuma

Comment by Monica on June 15, 2013 at 22:12
Sio bure,.wana Arusha msiogope kujitokeza kupiga kura,mpaka Hapo mmeshajua mumchague nani?chadema ni watetezi Wa ukweli ndio maana wanapigwa vita,.ipo siku
Comment by David Edson Mayanga on June 15, 2013 at 20:25

EEE MWENYEZI MUNGU KAMA INAKUWA HIVI ITABIDI ITIZAMWE JINSI YA KUWA WANA SIASA KUPIGA KAMPENI ZAO KWANJ SIASA KUPIGA KAMPENI ZAO KWANJ TUNAKOKWENDA KUBAYA SANA ITAKUWA KILAMKUSANYIKO WAWATU TUWE MAKINI. JESHI LA POLISI INABIDIKUONGEZA NGUVU.

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*