Tulonge

Video:Serikali yasema mlipuko uliotokea Soweto Arusha ni bomu la kutupwa kwa mkono


Serikali imesema imesema mlipuko uliotokea katika katika mkutano wa kampeni za uchaguzi mdogo jijini Arusha na Kusababisha vifo vya watu wawili na majeruhi zaidi ya 70 ni bomu la kutupwa kwa mkono .

Views: 478

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by CHA the Optimist on June 17, 2013 at 19:58

Wanasema "no evidence no right to speak"---lakini kwa hili la Arusha, ni ushahidi tosha kuwa SIRIKALE au ChiChiEm kwa kushirikiana na PoliCeCeEm inahusika moja kwa moja. Kwa maana baada ya yule aliyetenda tukio hilo kuanza kukimbia, wafuasi wa CHADEMA walianza kumkimbiza ili wamkamate, lakini supprisingly--PoliCeCeEm waliwadhoofisha kwa kurusha mabomu ya machozi. Niseme tu mnaweza kuwaua viongozi wote wa CHADEMA, lakini kuimaliza CHADEMA hamuwezi.

Comment by David Edson Mayanga on June 17, 2013 at 12:22

kama bomu limetupwa kwa mkono nani katupa je serikari ilifanyiaje kazi suara hili ukizingatia kuwa Tanzania yetu hii ni nchi ya amani naupendo mbona hao wanpaswakukamatwa haraka sana kwani wanahatarisha amani ktk nchi yetu jamani.

Comment by EMANUEL BARNABAS LUZIGAH on June 17, 2013 at 11:47
kwani ploisi hawakuwepo? hii ni njama tu mambo haya ni hatari sana.
Comment by MGAO SIAMINI,P on June 17, 2013 at 10:21

hali hii ni mbaya tusipokua makini tutagawanywa kwa itikadi ya vyama polisi walitakiwa wawe wameshawakamata wale waliotekeleza njama kama hii kwanza. mimi na mashaka makubwa na mambo haya.

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*