Tulonge

Matokeo ya Uchaguzi katika Kata Nne za Arusha

Uchaguzi uliofanyika leo Jumapili, Julai 14, 2013 wa kuwapata madiwani wa Kata Nne --Themi, Kaloleni, Kimandolu na Elerai-- za mkoani Arusha umemalizika.

Huku Tume ya Uchaguzi ikisubiriwa kuwatangaza rasmi washindi, taarifa za awali zinasema kuwa CHADEMA imepata ushindi kwa kunyakua Kata zote Nne kama ifuatavyo:

KATA YA THEMI: CHADEMA 678; CCM 326; CUF 313

KATA YA KIMANDOLU: CHADEMA 2,665; CCM 1,169

KATA YA KALOLENI: CHADEMA 1,019; CCM 389; CUF 169

KATA YA ELERAI: CHADEMA 1,715; CCM 1,239; CUF 213

Vyama vingine vilivyoshiriki vilikuwa ni TLP, CCK na Demokrasia Makini.

Views: 578

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by MGAO SIAMINI,P on July 16, 2013 at 18:22

ACHA WOGA@KUNAMBI CHADEMA NI WATANZANIA WANATOKANA NA FAMILIA AMBAZO NA CCM WANATOKA TENA WENGINE BABA 1 MAMA 1 NI VYAMA TU TOFAUTI HATA KENYA WALIJIULIZA ITAKUAJE BILA KANU LAKINI LEO WANAENDA VIZURI NA MTOTO WA MPIGANIA UHURU MUASISI WA KANU YUKO MADARAKANI KWA TIKETI YA UPINZANI, UPINZANI SIO UGOMVI ILA KWENYE UKOMBOZI HAIHITAJI LELE MAMA. MBONA AKINA NYERERE WAKO UPINZANI TENA UTASHANGAA CHADEMA WAKICHUKUA NCHI HATA KINA RIZIWANI,HUSSEN MWINYI NDANI YA NYUMBA.TANZANIA KWANZA.

Comment by Monica on July 16, 2013 at 10:41
Kama ni matusi hata CCM wanayo tena makubwa na wanajiamini Kwa vile chama chao ndio lipo madarakani,.chadema ndio wametufumbua macho kuhusu mambo mengi ambayo yalikuwa na manufaa Kwa wachache,.nashukuru sana upinzani angalau watendaji Wa CCM wakuwa na adabu,.kaka kunambi hata chadema isipochukuwa uraisi tunataka madiwani na wabunge wengi watoke upinzani tuwape mchakamchaka
Comment by Tulonge on July 16, 2013 at 9:11

teh teh teh Kunambi umesomeka

Comment by KUNAMBI Jr on July 16, 2013 at 8:51

Jaman twende mbele na kurudi mie sio mpinzani wa chama chochote lakn kwa mwenendo wa Chadema wakishika nchi sijui itakuaje?maana wana matusi,maneno ya kejeli,uhasama sasa tuwe makini tusishabikie mambo haya bali tusali na kuomba taifa hili linapoelekea

Comment by MGAO SIAMINI,P on July 15, 2013 at 21:52

kinyani chali

Comment by Monica on July 15, 2013 at 16:18
Chaliiiii,AIBU juu Yao,mwigulu jipange tena,.
Comment by BARAKA LAZARO LAIZER on July 15, 2013 at 10:58

mi nadhani ccm hawana chao ooh chadema ni njama zao kutupa bomu kisa wanahofia kushindwa uchaguzi huo wa madiwani kiko wapi ccm chali

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*