Tulonge

POLENI wadau wangu kwa kuwa kimya kwa muda, admin yupo hoi na majukumu

Kwa siku mbili au tatu zilizopita kijiji chetu cha tulonge kimekua kimya sana, hakuna jipya lililoonekana hapa. Hii ni kutokana na kubanwa na majukumu mengi kwa Mwenyekiti 'Admin' hivyo kushindwa kuwajuza yaliyojiri ndani na nje ya Tanzania.

Ila hata wewe mdau unaweza msaidia Admin kuweka habari. Angalia ukurasa wa kwanza (home) ,chini karibu na 'Chat room' utaona sehemu imeandikwa "Add Blog Post". Bofya hapo kisha weka habari yako. Itahakikiwa kabla ya kuiruhusu ionekane.

Tupo pamoja

Views: 635

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Tulonge on July 20, 2013 at 16:35

Asanteni wadau, soon tutakua pa1.

Mama na Mary mmepinda nyie

Comment by Mama Malaika on July 20, 2013 at 15:27
Pole sana.. Itabidi tukuletee net usipatwe malaria
Comment by Monica on July 20, 2013 at 12:18
Pole mkuu,
Comment by Wa Kimberly on July 20, 2013 at 9:58
Naona umelala ofisini.hapo umekosa shuka na Net tuu.pole na majukumu.
Comment by Yusha on July 20, 2013 at 8:22
Poleni sana

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*