Tulonge

Unaweza jikuta umemsalimia Simba 'Shikamoo'

Hii ni picha ya muda mrefu kidogo kwenye mitandao. Nimeshindwa kugundua kama ni tukio halisi ambalo lilitokea sehemu fulani au vipi. Kama unajua chochote kuhusu picha hii waweza tujuza. Ila ni picha ambayo inafurahisha na kuhuzuhisha pia. Najua wengi tuna shauku ya kujua nini kilitokea hapo.

Ingekua ni wewe mdau, ungechukua hatua gani hapo?

Views: 756

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by habiba mustafa mlawa on September 24, 2013 at 10:03
TOBA
Comment by Mama Malaika on September 23, 2013 at 15:08
Ha haa haaa.... Dixon yako kali, ingeiweka na kwa Youtube, siku 2 wapata 2million views. Wanangu humu ndani hamnazo kweli, wananiambia eti wangemsogelea na kumsemesha. Wamezoea simba wa maonyesho ya sarakasi barani Ulaya ambao unawashika na kuwapapasa mgongoni kama mbwa au paka.
Comment by Dixon Kaishozi on September 23, 2013 at 9:34

Dah.. Hilo ni bonge la "suprise visit" !!! hahahaaa... Hapo ningekua mimi ningetoa kamera na kumpiga picha alafu narusha fesibuku... hahahahaaa

Comment by Chikira Chikira on September 19, 2013 at 23:59

Wild beasts are friendly if u want to make them friend, so would just hug it an make it my friend!!!!!

Comment by Christer on September 19, 2013 at 17:27

Hahahahahahahaaaaaaa shikamoo kwa lugha zote kiswahili, kikwenu n.k

Comment by David Edson Mayanga on September 19, 2013 at 13:15

kweli Moreen haja zote zimesha toka hapo nakisha kufa hata kabla ya kurukiwa

Comment by David Edson Mayanga on September 19, 2013 at 13:14

mh hapo jamaa kila kitu kisha maliza hapo hapo katika kaptula yake .nakama ndil mie hapo mh sijajua 

Comment by Mama Malaika on September 18, 2013 at 8:42
Hapo ukute jamaa asema 'Hello beautiful, would you like some whiskey?'. Teh teh teh...
Comment by Mama Malaika on September 18, 2013 at 8:36
Duh! Hapo adrenaline kwangu mwili mzima ila ningetulia kimya (kuganda) kusikilizia next step maana nikifanya movement kidogo tu anirukia kujihami na huo ndio mwisho wangu. Ila kama angekuwa lioness siajabu ningezimia maana wawindaji wanasema simba jike balaa.
Comment by Moreen on September 17, 2013 at 23:32

Hapo ukute haja zote zimesha mtoka

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*