Tulonge

Rais Kikwete alipokea kombe la Dunia jijini Mwanza leo

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akilifunua na kulinyanyua Kombe la Dunia katika uwanja wa michezo wa CCM Kirumba mjini Mwanza leo jioni(picha na Freddy Maro)

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akilifunua na kulinyanyua Kombe la Dunia katika uwanja wa michezo Kirumba mjini Mwanza leo jioni. Kombe hilo limerejea jijini Dar es Salaam na kesho wananchi watapata fursa ya kupiganalo picha.

Views: 547

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by ANANGISYE KEFA on December 4, 2013 at 18:45

upuuuuuuuuuuuuuuuuuuzi mtupu.......!!!!!!!!?  TANESCO wanapandisha bei ya umeme hicho kisanamu cha kombe la dunia kinatusaidiaje.

Comment by Mama Malaika on December 4, 2013 at 16:20

Ha haaa haaa haaaa... Mjata.

Comment by Mjata Daffa on December 4, 2013 at 15:06

hahahaha mamaaaaa Malaika, kumbe mwepesi wakuelewa hivyo bilashaka degree yako ni ya first class

Comment by Mama Malaika on December 4, 2013 at 13:46

nimekuelewa Mjata. chiswahili chigumu mweee... ha haa haa haa haaa....

Comment by Mjata Daffa on December 4, 2013 at 9:54

ndio maana nikamsemea " CCM OYEEE!!" hapo nimetumia Lugha ya kiuandishi dada mambo ya fani hayo usijali tukopamoja

Comment by Mjata Daffa on December 4, 2013 at 9:51

Muangalie kikwete muonekano wake halafu fikiria anachosema moyoni, unadhani anaweza kusema Peoples Power au Haki sawa kwa wote? 

Comment by Mama Malaika on December 3, 2013 at 11:06
Mjata... hilo Kombe la Dunia liko TZ ajili ya CCM au?
Comment by habiba mustafa mlawa on December 2, 2013 at 9:32
tumepiga hatua
Comment by CHA the Optimist on November 30, 2013 at 16:00

  

Comment by Mjata Daffa on November 30, 2013 at 10:04

CCM OYEEEE

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*