Tulonge

Admin umeiona hiyo tiba ya tatu? Kweli wanganga wa Jadi ni wajanja

Nimeamini kuwa waganga wa jadi ni wajanja sana. Baadhi ya tiba zao huendana na tukio ambalo huonekana ni tatizo sana kwa wanajamii wengi kwa wakati huo.

Yafuatayo ni baadhi ya matukio ambayo yalitokea nyakati tofauti halafu waganga uchwara wakadai kuwa wanatoa tiba zake:-

-Kunasiana wakati wa kujamiiana.

-Kujiunga na Freemason

-Na sasa ni kubitisha unga bila kuonwa

Halafu angalia namba iliyopo hapo, cjui ni ya mtandao gani.Unaweza ukapiga akapokea shetani.

Views: 542

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Omary on August 19, 2013 at 0:31

Hahahahah hawa jamaa ni noma utasikia kalete mkojo wa kuku na Jogoo yule mkubwa kuliko wote na mchele kisha anachina unaruka damu chukuwa kichwa cha jogoo kakitupe njia panda halafu uondoke usiangalie nyuma hahahahhah umeshaliwa hapo, Kama kweli yeye mganga si ajiaguwe pesa zije zenyewe au ajipe utajiri mbona anakucharge? utasikia weka laki 4 hapo kwenye mizimu lol hawa jamaa wajanja halafu wanawapata bana. 

Comment by Mama Malaika on August 18, 2013 at 22:36
Huwa wanajua wapi pa kuchomekea ukizingatia 'wajinga ndio waliwao'
Comment by Geoffrey Masai on August 18, 2013 at 11:01

mwenzetu unatangaza biashara nini, tupe namba kamili basi tukutafute.

Comment by Omar on August 17, 2013 at 23:58
Nguvu za kiume ndiyo yoote! Maana mkuu uliwahi kuniambia wifi yangu kakuambia huna nguvu za kiume na wakati misuli yote uliyokuwa nayo, au haamini mpaka siku uje kumpigia mtu mbele yake ndiyo ataamini una nguvu za kiume!

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*