Tulonge

AFANDE SELE AUTAKA UBUNGE

MFALME wa Rhymes nchini Seleman Msindi 'Afande Sele' ameweka wazi mpango wake wa kugombea ubunge katika uchaguzi wa mwaka 2015.
Akizingumza hivi karibuni Sele alisema ameamua kugombea ili kuweza kuwatetea wanyonge ambao wamekosa watetezi bungeni.
Hata hivyo Msindi ambaye amekuwa akiimba nyimbo zenye 'mguso' kwa jamii zikiwemo 'Mtazamo' aliowashirikisha Solothang na Prof.J,Karata Dume na nyinginezo hakuweka wazi kuwa atasimama kwa tiketi ya chama gani.

Views: 690

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by ILYA on March 30, 2012 at 16:58

Safi sana Msindi,ingawa hujataja utasimama kwa tiketi ya chama gani,tutabakia tukiwa ni wenye kutega masikio kusikia ni chama gani utatinga nacho bungeni,lakini wakati huo sidhani kama kuna shaka kwamba hutasimama kwa tiketi ya sisiemu.

Comment by Bonielly on March 30, 2012 at 15:51

hapo kinachotakiwa awe na sifa za kuwa kiongozi muadilifu kama ni muhunimuhuni hapati, watu siku hizi wamsha amka wanajua kwamba siasa ni ujanjaujanja tu, kwa hiyo ukijinadi kwa ahadi rukuki imekula kwako kwanza wanaanza na maisha yako unakaa vipi na jamii inayokuzunguuka, kama uko poa unaahidi kitu unachokiweza basi tutakupa lkn unaahidi miahadi ambayo hauna uwezo nayo unalopoko ili upate ubunge hupati kitu, kama mimi kwa mtazamo wangu nilivyomcheki baba tunda, kura yangu hapati maana hata nidhamu kwa jamii inayomtazama yeye akiwa kama kioo cha jamii, kuimba sio kutenda,

Comment by Christer on March 30, 2012 at 14:51

Teheeeee ntaenda kumuuliza na kura nampa hukohuko kabla ya 2015 @ Dis.

Comment by Tulonge on March 30, 2012 at 13:08

Ndomaana yake Christer, ndomaana Afande kapashikilia. Waweza ukaenda kumuuliza mwenyewe,c mnakaa jirani huko Moro.

Comment by Christer on March 30, 2012 at 12:34

Hahahahahahhahhahahahaaaa Dis acha wehu wewe, kumbe panaweza dondoka eeeh?

Comment by Tulonge on March 30, 2012 at 12:30

Hahaahahaahaaa Afande alikosea sana kuvua nguo, hapo lazima alikuwa ameshavuta ile kitu.Halafu angalia rangi ya hiyo boxer ilivyo mbaya.Halafu ona aliposhika, naona bangi ilikua inamfanya ahisi panataka kudondoka ndomaana akapashikilia.

Comment by Christer on March 30, 2012 at 11:44

Hahahahahahahhahahahahaaa @ Manka, aya weeee

Comment by manka on March 30, 2012 at 11:19

mimi ni msanii mimi ni msanii, kioo cha jamii kioo chajamii,, mimi naona mbali mimi naona mbali kwa darubini kali kwa darubini kali!!! heee kumbe na wewe umetia aibu kuvua nguo hadharani, kura yangu hutapata ngooo!!.

Comment by Christer on March 30, 2012 at 10:08

Teheteeteeheteetheteheteeeee @ Dis, huyo hb mbona mi sijampa kura yangu? ila Afande atapata, lol!

Comment by ANGELA JULIUS on March 30, 2012 at 9:00

LOL TUMEINGILIWA SELE NI RAFIKI YANGU ILA KURA YANGU NO NO NO

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*