Tulonge

Afrika Kusini:Afungwa na polisi nyuma ya gari na kuburuzwa hadi kufa (Video)

Dereva Tax aitwaye Mido Macia, 27 raia wa Msumbiji alifariki Dunia huko Afrika Kusini baada ya kutendewa unyama na polisi kwa kufungwa nyuma ya gari na kuburutwa hadi kufa. Hii ni baada ya kijana huyo kuegesha gari yake sehemu isiyo ruhusiwa. Baadae alifariki baada ya kupata ya kichwa na kutokwa damu nyingi akiwa mahabusu.

Tukio hili lilitokea mchana mbele ya watu waliokua wakishangaa na wengine kurekodi.

.

Views: 403

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Dixon Kaishozi on March 7, 2013 at 8:58

Yote hii ni kuto kumwogopa Mungu!!! Ni ukatili uliopitiliza!!

Comment by Wa Kimberly on March 2, 2013 at 20:16

Huu ni unyama uliopitiliza.Police wanasahau wajibu wa kulinda  raia na kujichukulia sheria zao mkononi,hii ni kashfa mbaya sana kwa AFRICA

Comment by Mama Malaika on March 2, 2013 at 16:50

Dismas... Police wote barani Africa hawapishani. Hii habari imekuwa gumzo kubwa vyombo vya habari vya magharibi ambako police haruhisiwi hata ile kumsukuma au kumkaba mtuhumiwa hata we wa mauaji.

Comment by Tulonge on March 2, 2013 at 2:03

Kumbe hata huko kuna polisi wasiojua wajibu wao?? Inasikitisha sana

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*