Tulonge

Ahukumiwa miaka 10 jela kwa kuzini na MBUZI

Kushoto ni mbuzi aliyetendewa ukatili huo na Bwana Katana kulia wakiwa mahakamani

Katana Kitsao Gona (28) amehukumiwa miaka 10 jela baada ya kukutwa na hatia ya kufanya mapenzi na mbuzi huko Malindi Kenya. Tukio hili lilitokea tarehe 25 Novemba 2013. Shuhuda wa tukio alieleza kuwa alishangazwa kuona nguo zikiwa zimetundikwa kwenye mti alipokua akipinda karibu na kichaka ambapo tukio hilo lilitokea. Alipojaribu kufuatilia zaidi alimuona Bwana Katana akiwa uchi na akifanya mapenzi na Mbuzi aliyekua amefungwa kwenye mti kichakani. Ndipo alipoamua kutoa taarifa kwa mmiliki wa mbuzi huyo na kuja kumkamata Bw Katana na kumpeleka mbele ya vyombo vya dola.

 

Vipimo vilidhihirisha kuwa ni kweli mbuzi huyo alitendewa ukatili huo na mtuhumiwa. Sehemu za siri za mbuzi huyo zilikua zikitoka damu.

 

Licha ya mshitakiwa kujitetea kuwa ana mke ambaye ni mlemavu wa miguu na anamtegemea yeye lakini Mahakama haikutilia maanani utetezi wake na kumuhukumu kifungo cha miaka 10 jela.

Views: 860

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Bonielly on December 23, 2013 at 11:15

atakua anamapungufu hayuko sawa,

Comment by Severin on December 7, 2013 at 21:25

Hivi jamani hata nanihii ya mbuzi ni tamu kama ya msichana/mwanamke? 

Comment by Omary on December 7, 2013 at 19:46
Sasa mkuu CHA unawahukumu wanaume kwa huyu mwehu 1 alienjunja mbuzi lol ila kila mtu na Darubini yake utazamaji uko tofauti. Amani kwako Mkuu CHA the....jina lako bado sijaling'amuw.
Comment by Mama Malaika on December 7, 2013 at 15:28
Hii balaa hadi mwili umenisisimuka. Wampeleke hospital ya vichaa akapimwe, siajabu akili yake iko nusu
Comment by ANGELA JULIUS on December 6, 2013 at 7:39

TENA SIJUI MGANGA WAKE ALIMWAMBIA AKAMWINGILIE MBUZI MWEUSI JINGA KWELI HILI JAMAA HAFAI HATA KWENYE JAMII SOME TIMES MTU ANAFANYA TUKIO LA AJABU HADI NAJIULIZA HUYU KWELI AMEZALIWA NA BINADAMU WA KAWAIDA KWELI AU AMETOKEA FROM NO WHERE?

Comment by ANGELA JULIUS on December 6, 2013 at 7:34

kabisa si bure alikuwa anatimiza masharti ya mganga sasa jumba bovu limembomokea na yeyey aende akageuzwe kama alivomfanya mbuzi wa watu kweli Mungu hamfichi mnafiki.kumbe ana mke ambaye ni mlemavu wa miguu lkn sidhani kama ni mlemavu wa KUM............ YAKE SI ANGEMWINGILIA MKEWE?

kitu kingine nilichopendea hukumu yake haikuchukua muda ingekuwa hapa kwetu Tanzania hadi upelelezi ukamilike ni miaka kadhaa na kuna mawili kama pesa ipo hata hiyo jela utaisikilizia kwa wengine.

Comment by ANANGISYE KEFA on December 6, 2013 at 7:07

alikuwa anatimiza mashariti ya mganga.

Comment by Omar on December 6, 2013 at 0:13

siku hizi wapo wanaokopesha huyu anaenda kwa mbuzi dah! halafu uzuri wa wale wanaokopesha hawana wivu wala nini au ndiyo hata kukopa ulishindwa . kweli na ule mwisho wa dunia bado.

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*