Tulonge

Alicho andika Mh Zitto Kabwe kupitia Facebook

Views: 586

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Hellen Attarsingh Gupta on April 27, 2013 at 17:21

Chalii soma vizuri tafadhali. Mh. Zitto anamaanisha Wabunge wasipewe "sitting" allowance. kama wanapewa, kwa nini Waalimu wasipewe "standing" allowance?

Comment by Hellen Attarsingh Gupta on December 22, 2012 at 15:06

Safi sanaaaaa! Kwa nchi maskini kama Tanzania (Umasikini wa kusababishwa) seating allowance zinatia aibu sana. Tena kwa watu wenye kipato kizuri kwa kulinganisha na watumishi wengine!!!

Comment by ILYA on May 30, 2012 at 12:16

Hahahahahaha, e bwana eeee, Ndugu wadau@

Unajua hapo sasa nimeamini kuwa kuna ihtimali kubwa Mheshimiwa zitto akawa "Preza" ikiwa ataamua kugombea 2015 kama alivyokwisha sema na kuweka wazi kuwa: Urais anautaka!, maana inaonekana wazi ana mvuto wa kisera kwa watanzania wote, kwa vile wanafuatilia sera zake katika siasa,na inaonekana sera hizo ni  sera hai kwa Watz walio wengi.

Kuna mtz rafiki yangu  niko nae hapa ughaibuni,mara nyingi huwa ananiambia kuhusu suala la posho kwa wabunge kuwa kampango hako kalipotua bungeni idadi kubwa ya wabunge hawakuthubutu kukapa mgongo,bali takriban wote walikapokea kwa ile style ya "njoo huku"!,ispokuwa baadhi ya wabunge  waadilifu bungeni, ndio waliofanikiwa kupinga mpango huo na kuona sio wa kiadilifu,unakwenda kinyume na uadilifu pamoja na haki,na mfano wa baadhi ya wabunge hao walioupa mgongo mpango huo wa kujilimbikizia mali (au Fedha kupitia mbinu kama hizo zilizopewa muoenekano wa uhalali) kwa nguvu kubwa ni Mheshimiwa Zitto.

Kwa kuwa mimi niko Ughaibuni,sikuwa mwepesi kumuamini kama ni mkweli kuhusu madai yake hayo maana ukizingatia tuko mbali na Tanzania na pengine news mitandaoni huenda hazina ukweli wowote.

Nilipoona kama kamekuja hapa Tulonge kuhusu suala posho kw awabunge,ikabidi nichokoze mzinga wa nyuki ili nijue kama kuna!,na sasa nimeamini kuwa kumbe suala hilo la Zitto kukataa mpango wa posho kwa wabunge ni suala lililo wazi kwa watanzania wote ndani na nje ya nchi,nimefuta shaka kuhusu hilo na kuwa na uhakika na hilo baada ya mimi kutikisa kiberiti mtaa huu wa Tulonge,kwani nimepata jibu kutoka kwa Tulonge linalothibitisha kuwa mbunge huyu si kwamba tu alikataa posho bali pia mbali na kukataa posho alitetea na anaendelea kutetea  posho hizo ziwaendea na kuwaelekea wasio jiweza wenye kuhitajia wasiokuwa nacho si wabunge waliokuwa nacho maana wao wanapokea mshahara kwa kazi yao waliotumwa na wananchi,kuna sababu ipi ya wao kupkea posho kwa kazi ambayo ndio kazi yao na ndio majuku yao,je inaingia akili mtu kupewa posho kwa kutekeleza majukumu yake,na ukizingatia bado anapokea mshahara wa kazi hiyo.?!. Sina shaka kwamba hiyo ndiyo siri ya mheshimiwa zitto kukataa posho hiyo.

Hivyo sikwamba sijamuelewa Zitto katika maelezo yake,bali maelezo yangu katika comment yangu yana lengo la utafiti na udadisi.Nukta.

Comment by Tulonge on May 30, 2012 at 8:37

Mkuu Chalii huyo Zitto ni moja kati ya wabunge wanaopinga kwa nguvu sitting allowance wanazopewa wabunge. Yeye alikataa kupewa hiyo posho japo wabunge wengine wanaendelea kupokea. Ndiyo maana akasema kama wabunge wanapewa hiyo sitting allowance basi na walimu wapewe standing allowance,akimaanisha si sahihi kwa wabunge kupata posho hiyo wakati wanapewa na mshahara pia.

Comment by Jacob Kitalika on May 30, 2012 at 8:22

Chalii_a.k.a_ILYA, nafikiri hujasoma vizuri maelezo ya Zito au kama umesoma hujayaelewa.

Comment by ILYA on May 29, 2012 at 17:04

Huyu zitto nae inaonekana yuko kipesa zaidi@,! badala ya kutetea hizo pesa zikatumika kuwasaidia watu wenye shida matatizo na maproblem ,kama vile kuimarisha hospital,kununua dawa hospitalini,kusaidia vituo vya watoto yatima na.kadhalika,anaishia kudai posho na bila aibu anawatetea wale wanaojiweza ambao ni watangazaji wa redi ati nao wafaidi kaposho hako,!! sijawahi kusikia mbunge yoyote akitetea wanyonge wasiokuwa nacho.!

Comment by manka on May 29, 2012 at 9:11

haaapo chacha.wameajiriwa kukaa na kutunga sheria sasa hizo sitting allowence za nini?

Comment by Mama Malaika on May 28, 2012 at 10:30

Spot on!

Comment by Bonielly on May 28, 2012 at 7:04

ha ha ha ha haaaaaa,

Comment by Severin on May 28, 2012 at 0:25

Hahahahhaaa tena kama walimu wa shule ya msingi wanatakiwa wapate talking,standing and heavy punishment allowances. 

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*