Tulonge

Alimwendea Mganga kutaka ‘dawa ya kurudisha penzi’, akaingiliwa kingono

Masuala ya uchawi na ushirikina Tanzania, binti anaelelea katika kipindi cha ‘Heka heka’ cha redio CloudsFM alivyokwenda kwa mganga katika harakati za kutafuta ‘limbwata’ kwa ajili ya kurejesha mapenzi ya mpenzi wake!Alichoambulia ni kubakwa mara mbili na kupoteza shilingi milioni na ushee... bado hasira, muda na...!

Views: 618

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Mama Malaika on October 17, 2012 at 18:03

Ha haa haa haa... ILYA umenena, utakuwa unatoa dose za 'limbwata' huku unajipatia mamilioni kwa mwezi kiulaini kuzidi hata mtu anayefaka kazi kwa office.

Comment by Christer on October 17, 2012 at 10:22

Kwangu mimi Yesu ndiye Mganga wa kila kitu. pole sana mdada!!!!!!!!!!!!!!!! Ndo ujifunze next time amini ktk imani yako na kila kitu kitaenda kwa kadri ya mapenzi na wakati wa Mungu.

Comment by ILYA on October 17, 2012 at 9:29

Hi sasa kali! Itabidi niwe mganga na mimi nitoe dozi! Maana kazi hii mtu hukosi wateja!Hahahaha 

Comment by ANANGISYE KEFA on October 17, 2012 at 9:15

Hicho alichokipata kwa mganga ndio dawa yenyewe ambayo waganga huwapatia wanawake wanaosaka dawa za mapenzi kwa waganga.

Comment by Mercy Kimario on October 17, 2012 at 8:43

Mganga angekuwa na mbinu za mapenzi tungeona kwa mke wake. Je ulishawahi kumwona mganga akiwa na mke? mh wajinga ndio waliwao

Comment by Mama Malaika on October 16, 2012 at 23:11

Mapenzi hayana dawa.... ukisikia wajinga ndio waliwao basi ndio huyu.

Dismas yako kali, talaka 8??? LOL.....

Comment by Tulonge on October 16, 2012 at 15:13

Fundisho kwa wengine, nani kakwambia mganga ni suluhu ya mapenzi? Nikikustukia umeniendea kwa mganga nakupa talaka 8.

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*