Tulonge

Bahi: Vurugu zaibuka katika mkutano wa hadhara kupinga Serikali kuwazuia Waganga wa kienyeji kufanya kazi

Vurugu kubwa zimezuka katika mkutano wa hadhara baina ya mkuu wa wilaya ya Bahi mkoani Dodoma Bety Mkwasa na wakazi wa kata ya msisi iliyoko wilayani humo kufuatia serikali ya wilaya hiyo kupiga marufuku shughuli za waganga wa kienyeji maarufu kama "Lambalamba" ambapo wananchi wamesema lazima waganga hao wafanye kazi katika kata hiyo hata kama damu itamwagika

Views: 334

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Mama Malaika on March 20, 2013 at 15:07

Duh! Toka Bety Mkwasa mara kawa Mkuu wa Wilaya???

Comment by Mama Malaika on March 20, 2013 at 15:07

Ha haa haa haaa... "Lambalamba" hawezi tibu Climate Change.

Comment by ANANGISYE KEFA on March 8, 2013 at 17:31

kinachotakiwa hapa ni elimu tu

Comment by MGAO SIAMINI,P on March 8, 2013 at 8:56

mambo ya kishirikina yanaitesa jamii huyo wanamuona mkombozi.

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*