Tulonge

Bajeti ya bilioni 11.1 yapitishwa kukamilisha maziko ya Mandela

Bendera zikipepea nusu mlingoti mbele ya Bunge huku Cape Town Afrika Kusini kufuatia kifo cha Mzee Mandela.

 

Bajeti ya Land 72 millioni ambazo ni sawa na sh. 11.1 bilioni za Kitanzania zimepitishwa na Baraza la jiji la Cape Town kwaajili ya maandalizi na kukamilisha zoezi zima la maziko ya Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Nelson Mandela aliyefariki wiki iliyopita.

 

Soma zaidi

 

Views: 950

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by ANGELA JULIUS on December 11, 2013 at 17:03
must be mama Malaika its too much as kaka Mjata said kuwa thamani ya Madiba ni kubwa kuliko hata pesa ya kiwango chochote Duniani the same replies kwa binadamu yoyote yule kuwa na thamani kubwa kuliko pesa.
lakini ndo hivo all in all apumzike kwa amani tata Madiba
Comment by jemadari mimi on December 11, 2013 at 16:47

Wabongo n watu wa ajabu sana,serikali wameshataja bajeti yao ya kumzika mzee mandela,sasa tatizo lipo wapi hapo mpaka muone watu wamechakachua,wangetaja bajeti ndogo mngesema wamekosea na kuonyesha dharau kwa mandela.nataka niwaulize swali moja tu hivi alipokuja obama hapa bongo unaweza kuniambia bajeti iliyotumika? na pia mbona tulifiwa hapa na mzee wetu nyerere unajua pesa iliyotumika

Comment by Mama Malaika on December 11, 2013 at 16:37
Umenena @ Mjata. Madiba deserves every penny kwani katupatia heshima kubwa sana Africa.

Angela, sirikali za Africa hazipishani. Hapo ukute genge la Jacob Zuma limechakachua
Comment by Mjata Daffa on December 11, 2013 at 8:49

Thamani ya madiba hailingani na pesa, hata kama wangechukua budget yote ya serikali bado madiba ni zaidi ya pesa. 

acha pesa itumike kwani alijitoa zaidi kwa nchi yake, 

Comment by ANGELA JULIUS on December 11, 2013 at 7:53

dah hii bajeti ni kubwa sana kwani gharama hapo ni nini hasa? ingekuwa anafufuka sawa lakini maziko tuu hapo lazima kuna ulaji wa watu.

Comment by Deoscorous Bernard Ndoloi on December 11, 2013 at 7:11

If you think this budget is too big, he deserves every cent.

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*