Tulonge

Bodi ya mikopo Tz yatoa majina ya wanafunzi wanaotakiwa kuanza kurejesha mikopo yao haraka iwezekanavyo.

Bofya hapa kuona kama upo katika orodha ya wanao daiwa.
The Higher Education Student' Loans Board (HESLB), hereby notifies all loan beneficiaries who are not servicing their loans and whose names appear on the website of the Board (www.heslb.go.tz) that it is a legal requirement as per section 19 (i) of the HESLB Act. No. 9 of 2004 (as amended), that all loan beneficiaries should submit to the Board or to the Debt Collectors assisting the Board to recover the loans, information which would facilitate repayment of their loans. To this end, Loan Beneficiaries whose names appear in the Board website are hereby reminded to furnish the Board with the necessary information regarding their whereabouts and current employment.

The said Loan defaulters are further notified that after expiry of this notice the following consequences shall fall upon those who will have not communicated or submitted their information to the Board or to the Debt Collectors:-

1. Shall be liable to legal action as per Sect. 19 (a) (1) of the HESLB Act.
2. Shall be subjected to additional monthly Penalty of 5% p.a. on the outstanding loans, over and above the 5% that was levied earlier.
3. Shall have his/her outstanding loan loaded with the cost of tracing that will be charged after being traced by the Debt Collection Agent of the Board.
4. Shall be blacklisted and his/her information shall be submitted to the Credit Reference Bureaux, following which they shall be barred from access to credit facilities from all Financial Institutions.
5. Shall be barred from securing Government scholarships or admission for Postgraduate studies in any Higher Learning Institution within and outside the country.
6. Their details shall be submitted to the Ministry of Home Affairs, Department of Immigration and all Embassies where they will be denied approval for travelling abroad.

Views: 15234

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by ROSEMARY KACHEBONAHO on November 21, 2013 at 16:17

Lipeni hiyo mikopo ili na wengine ambao bado wako vyuoni waweze kupata mikopo. Naishauri serikali kwa wale waliokopa na wakapata ajira ya serikali baada ya kumaliza masomo yao hela hiyo iwe inakatwa kwenye mishahara yao na wale ambao hawajaajiriwa serikali itafute njia ya kudai mikopo hiyo

Comment by Mama Malaika on November 14, 2013 at 0:14
Ina maana hiyo mikopo wanayodai ilipwe kuna viwango vya mishahara au hata kama wapokea kima cha chini wanakata? Kwa hakika namkumbuka Nyerere, vyuo vilitoa elimu bureeeee...
Comment by Alfan Mlali on January 28, 2012 at 14:55

Hahahahahha! Wale jamaa wanafuatilia kwenye makampuni mbalimbali kuulizia kama wana wafanyakazi wenye majina wanayoyatafuta. Pia nilisikia wanaanzia NSSF ndipo wanajua fulani na fulani wanafanya kazi wapi ndio wanapeleka barua kwa HR inayoonyesha deni unalodaiwa. We jifanye wamekusahau iko siku watagundua halafu utapigwa penalty kubwa ziadi bora ujipeleke mwenyewe tu....!

Comment by Tulonge on January 26, 2012 at 21:22

Haa! wewe Alfan walikukamata lini na kivipi??? Nani alikupa taarifa kuwa unakatwa? Mbona mimi sikatwi na wala jina langu halipo kwenye orodha.  Hata wewe jina lako sijaliona. Au ulijipeleka mwenyewe? Sasa endelea kukatwa hivyo hivyo peke yako,usiende kuwaambia kuwa sisi tumesahaulika hahhhahaaaaa.

Comment by manka on January 26, 2012 at 10:18

lipeni vya watu,  kwanini mnakuwa wakaliii@ ILYA.

Comment by Alfan Mlali on January 25, 2012 at 12:43

hahahahahaha! Mi walishanibamba siku nyingi na nakatwa mshahara kila mwezi kulipa deni..!

Comment by ILYA on January 25, 2012 at 2:09

Hizo hela wakawadai mafisadi wanaokula mabilioni ya wananchi,wacha nao wajipoze kwa hizo za mkopo maana zilizochukuliwa na mafisadi na ni za wananchi hazijarudi.Mafisadi wakirudisha na wanafunzi hao watarudisha.Tumechoka kuonewa bwana,mafisadi mbona hamuwatumi barua za kuwadai na kuwataja kwenye mitanda,alaaa.

Tabia  gani hiyo ya kutajana majina,Mtu kachukua mkopo kwa faragha unamdai mbele ya kadamnasi tena hajakutangazia kuwa hakulipi  unakurupuka kumuanika wazi tena kwenye mitandao mpaka yule babu yake wa State kule kwa Obama anaona Mjukuu wangu anadaiwa.

Comment by Severin on January 25, 2012 at 0:03

Mimi siwalipi,labda wanipeleke kwa Pilato. Hizo wanazoendelea kuchakachua bado haziwatoshi hadi waseme niwalipe? Kiendacho kwa mganga hakirudi mazee,imekula kwao. Mimi lazima niwaendee kwa Babu Sumbawanga ili niwasahaulishe wasinikumbuke.

Comment by Tulonge on January 24, 2012 at 21:42

Haya sasa, tulikua tunazichota tu na kwenda kutanulia.Mara leo Bills, kesho Jolly,kesho Ohio. Sasa ngoma imeanza, haya tujumuike kuicheza kama tulivyokuwa tunajumuika kuzikinga na kuzitumbua teh teh teh teh.Kazi kweli kweli.

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*