Tulonge

Bondia Francis Cheka aanza masomo rasmi

Bondia Francis Cheka akiwa darasani hapa akimsikiliza mwalimu aliyekuwa anafundisha somo la computer.Cheka ametimiza ahadi yake ya kurudi shuleni kuongeza ujuzi zaidi mara daada ya chuo cha St Joseph cha mjini Morogoro Kumpa nafasi ya bondia huyo kusoma bure chuoni hapo ikiwa ni ahadi waliyoitoa mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Wakati wa sherehe ya kumpongeza bondia huyo

 Bondia Francis Cheka Akiwa na wanafunzi wa chuo hicho katika picha ya pamoja


 Bondia Francis Cheka  pamoja na baadhi ya wanafunzi wa chuo cha St Joseph cha mjini Morogoro wakijisomea mara baada ya kumaliza kipindi


 Na shekidele blog

Views: 306

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Tulonge on October 12, 2013 at 0:58

Na akaze buti kweli, maana ishu za shule aliziacha muda mrefu.

Comment by Mama Malaika on October 12, 2013 at 0:04
Safi sana. Kusoma hakuna mwisho. Kaza buti...

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*