Tulonge

Cambodia: Baba amfunga mwanae kwenye nguzo ya umeme kwa mnyororo baada ya mtoto kutoroka shule na kwenda kucheza 'computer games'

An angry Cambodian father punished his son for skipping school to play computer games by chaining him by the neck to a powerline pole.

Motorbike taxi driver Sok Thoeun, 40, spotted his son in an internet cafe in the northern town of Battambang playing online games when he should have been in class.

Mr Thoeun was so outraged he decided to 'teach his son a lesson' by publicly humiliating him by chaining him by the neck to a thick wooden powerline pole.
Mr Thoeun's punishment is similar to the ancient use of stocks, which immobilized its victims in a public place, exposing them to the scorn and ridicule of passers-by.

But the 13-year-old's public ordeal came to an end in less than two hours after neighbours alerted the police who brought in a locksmith to free the child.

Battambang deputy police chief Cheth Vanny said: 'The father was so angry when he found his son at an Internet cafe instead of at school that he chained him up in public for people to see to teach him a lesson.'

Mr Thoeun, who also beat his son, is now wanted on child abuse charges.

Mr Vanny added: 'He is still on the run. This kind of torture is not acceptable.'

Impoverished Cambodia's Internet usage rate is among the lowest in southeast Asia, with less than 1.5 per cent of its 14 million people listed as Internet subscribers in 2010, according to government statistics.

But as more Internet cafes have sprung up in urban areas in recent years, the popularity of online gaming has soared among the country's teenagers, most of whom have no Internet access at home.

Views: 537

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Mama Malaika on April 3, 2012 at 14:36

DISMAS unanivunja mbavu. Ha haa aa haaa

Comment by Mama Malaika on April 3, 2012 at 14:34

Hii ni unyama. Hebu fikiria huyu mtoto bahati mbaya anakufa kwa hiyo adhabu, huyo baba naona atajutia maisha yake yote.

Comment by Christer on March 31, 2012 at 21:17

Hahahahhhhhhaaaaaaaaa @ Dis mi usinichekeshe bwana, unamdanganya nani wakati ulikua unadundwa, kwani unadhani mie sijui? unajua huyu mtoto ana ndoto ya kuwa IT mwenye sifa zote A-Z, Dis na Alfan cha mtoto, tatizo babake ni goigoi kichwani, angekua mzima angelijua hili mapema.

Comment by Tulonge on March 31, 2012 at 16:00

Ni kweli Christer, kosa alilofanya dogo nila kawaida tu.Hata mimi nilikua natoroka shule halafu tunaenda kupigana chini chini ya daraja. Si unajua mambo ya ujinga wa shule ya msingi. Maza aliponistukia alinichapa kweli,toka hapo nikabadilika. Sasa si bora huyo mtoto alikua anaenda kucheza games za computer, sasa mimi nilikua naenda kupigana yani nakosa masomo na nilikua ktk hatari ya kuumia.

Ila mara nyingi nilikua nawabonda, nikiona nataka kuzidiwa nakutoa nduki na mawe kudadeki zako.

Comment by Christer on March 31, 2012 at 8:39

Huo sio ukauzu, ni unyama. watoto hukosea hata yeye alipokua mtt alikua anakosa tena inawezekana alikua anakosea zaidi ya anayofanya mwanae, ila kumfunga mtoto mnyororo km mbwa au mbuzi ni unyama, huyu angekua mume wangu ndo amenifungia mtoto hivyo, salaleeeeeeeeee chapaaaaaaa!!!!!!!!!!  huyu alitakiwa akutane na kenyan ladies, angejuta kwann mamake alimzaa mwanaume.

Comment by Tulonge on March 30, 2012 at 22:05

Usiombe uwe na dingi kauzu, linaweza kukuua ukitoroka shule

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*