Tulonge

DSM: Mnigeria akamatwa na kete 99 za dawa za kulevya JNIA

Anthonia Ojo (25) Raia wa Nigeria akiwa na kete 99 za madawa ya kulevya baada ya kukamatwa kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Dar es Salaam jana, akieleke Roma Italia kupitia Paris Ufaransa kwa ndege ya Ethiopian Airways. Msichana huyo aliingia hapa nchini Agosti 30 akitokea Nigeria. Kwa mujibu wa Kaimu Kamanda wa Viwanja vya Ndege, Renatus Chalya, Ojo anaendelea kubaki chini ya ulinzi wa polisi kwa uchunguzi zaidi, wakati madawa hayo yamepelekwa kwa ofisi ya mkemia Mkuu wa Serikali ili kubaini aina ya dawa hizo, thamani yake na hatimaye atafikisha mahakamani.

Passport yake

Begi lililokua na kete hizo

Akizitoa kete hizo zilizokua kwenye mikebe na poda na shampoo

Chanzo: Robert Okanda

Views: 669

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by salum kitila on September 6, 2013 at 17:21

utajiri jaman ni noma

Comment by Mama Malaika on September 6, 2013 at 10:32
Shika wote, Binti mdogo tamaa utajiri haraka huku wakiharibu vijana mitaani.
Comment by matabhangi msufu on September 5, 2013 at 13:27

eeeehhhhhhh hakika hiyo ni hatari sana

Comment by Agnes Nyakunga on September 5, 2013 at 9:49

jamani pesa kweli haina mwenyewe angalia vazi alilovaa huwezi amini!

Comment by MGAO SIAMINI,P on September 5, 2013 at 8:45

kamata wote

Comment by Dixon Kaishozi on September 5, 2013 at 8:20

Watu wana roho ngumu ajabu!!!

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*