Tulonge

Duh! watoto walipolazimika kuhatarisha maisha ili kupata elimu huko Indonesia(video)

Hili ni daraja lililopo kijiji cha Sanghiang Tanjung huko Indonesia. Lilivunjika baada ya mafuriko kutokea katika mto huo. Hali hii ilipelekea wanafunzi kupata shida wakati wa kuvuka kwenda shuleni kama uonavyo pichani wakilazimika kuvuka kwa kujishikiza kwenye mabaki ya daraja hilo.

 

Hii ni hatari kubwa, sijui watoto hawa walitoa wapi ujasiri wa kuthubutu kuvuka hapo. Wazazi walikua wanafahamu kuwa watoto wao wanapata tabu hii? Tukio hili lilitokea mwaka 2012.

Hapa ni kabla ya daraja kuvunjika

VIDEO

Views: 605

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Mama Malaika on December 3, 2013 at 16:09
Indonesia ndio wale wale @ Habiba!
Indonesian government wezi wa kura, no liberty, nchi yaongozwa na genge la established families, barabara zao mbaya, shule mikoani mbaya, hospitals mbaya. Na wana madini mengi na rainforest iliyo maarufu duniani ukiacha the Amazon, na bado wanatengeneza Bio-fuel soko la EU lakini wananchi wao maisha mabayaaaaaaa
Comment by CHA the Optimist on November 29, 2013 at 17:54

!!!!!!!!!!!!!

Comment by Omary Maftuhi Mwinshekhe on November 29, 2013 at 14:56

All an' all i like da place

Comment by habiba mustafa mlawa on November 29, 2013 at 11:26
ingekuwa tz mngesikia ccm imeoza haya na huko Indonesia tusemeje

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*