Tulonge

Elimu yetu inatiririka tu bila kujua iendako

Views: 453

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Tulonge on February 26, 2013 at 18:22

Hahahhahahhahahahaaaaaaa yani hii katuni kila nikiiangalia nacheka peke yangu. Yani huyo "Elimu yetu" anatoka nduki kwa nguvu zote utadhani anajua aendako.

Manka anasema anatiririkia Baharini hahahahhaaaaaaa.

Comment by Alfan Mlali on February 26, 2013 at 14:46

hahahahahahah..Tiririka mwanangu utajua ukishafika uendako...hahahahaha

Comment by Mama Malaika on February 26, 2013 at 12:28

Asanteni wadau mmenifumbua macho maana sikuelewa "Elimu yao".

Hashimu.. mie nabaki kutikisa kichwa tu

Comment by manka on February 26, 2013 at 11:11

TEHE TEHEE, HATA SIJAELEWA MI NAONA MWENGINE ANTIRIRIKIA BAHARINI!!

Comment by ABRAHAM PONERA on February 25, 2013 at 22:27

                                       Hooray mchoraji!

Hiyo inayo panda ni ya TZania inayotiririka ya nchi za jirani - Nimesema hayo kwa logic ya WAZIRI WA ELIMU wakati anatangaza matokeo ya DRS la VII Des 2012 alisema ufaulu umeongezeka wakati ukweli Elimu yetu Inatiririka kwa maana ya kushuka.

Comment by Hashim Said on February 25, 2013 at 13:40

Mie nadhani "Elimu yao" ni ya nchi za jirani zetu ambayo sasa inaonekana iko juu ukilinganisha na yetu!

Hahaa... eti umeshindwa hata kucheka, wewe nawe Mama Malaika!

Comment by Mama Malaika on February 25, 2013 at 13:07

Sasa hiyo Elimu yao ndio ya kina nani? Hata kucheka nashindwa

Comment by Christer on February 25, 2013 at 11:59

Teheteeteeehheeeeeeeeeeeeeee INATIRIRIKA haswa!!!!!!!

Comment by Tulonge on February 25, 2013 at 10:26

Hahahhahaaaaa katuni nyingine huwa zinasababisha unatoa kicheko cha uchungu

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*