Umati huu hapa si kwamba hupo kwenye sherehe fulani, balni mambo ya uswahilini haya wakishudia fumaninzi la mwanamke aliyekutwa na mwanaume asiye mume wake,huu umati wa watazamji waliokusanyikakushuhudia sokomoko hilo,inadawa dada huyo aliyefumani alichezea kichapo cha nguvu toka kwa m wenye mali,inadawai dada huyo alitolewa nje ya chumba akiwa hana chochote mwilini
Add a Comment
hii noma mchanamchana duu bora ingekua usiku basi,
MHUUU! KWANI HUYO MWANAUME NDIYO ATAACHA? HAPO JIHESABIE HUNA CHAKO, ANZA KUSONGA MBELEE.
Asiye na mwana aeleke jiweeeeeeeeeeeeeeee,mwenye macho aambiwi tazama
mmmmmmmmmmh
unajua tena mambo haya sana sana sehemu za uswazi lakini mimi sioni kama kufanya hivyo ndo solution kwamba mume ataacha sasa ndo atazidisha mapenzi na huyo nyumba ndogo, wewe wa ndani subiri kununiwa hadi utajuta kuzaliwa!
Duuh! hii kali sana. Ilitokea maeneo gani? Mwanamke kufumaniwa ni noma sana. Si unajua wabongo, mwanamke akiwa na wanaume wengi ni Malaya ila mwanaume akiwa na wanawake wengi ni Dume la mbegu hahhahahaaaaaaaa
© 2022 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge